Tangazo

Pages

Monday, August 29, 2011

TIMU YA TAIFA YA NGUMI YAKABIDHIWA VIFAA KUJIANDAA KWENDA ALL AFRICAN GAMES MSUMBIJIKatibu Mkuu wa Shirikisho la Ngumi za Riadhaa Tanzania,Makore Mashaga akimkabidhi vifaa vya michezo bondia wa timu ya Taifa ya ngumi, Suleiman Kidunda, jijini Dar es Salaam jana ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya timu hiyo inayojiandaa kuondoka nchini kuelekea Msumbiji kushiriki katika mashindano ya All African Games. Katikati ni Kocha Msaidizi wa timu hiyo, Edward Emmanuel.

No comments:

Post a Comment