Tangazo

Pages

Sunday, August 28, 2011

BONDIA Robert Helenius ATWAA MATAJI YA WBA NA WBO


Robert Helenius (kushoto) wa Finland akishangilia baada ya kumbwaga Siarhei Liakhovich (kulia) wa Belarus kwenye raundi ya tisa katika pambano la kuunganisha mataji ya WBA na WBO Intercontinental uzito wa juu kwenye ukumbi wa Messe Erfurt, mjini Erfurt, Ujerumani, juzi.

No comments:

Post a Comment