Tangazo

Pages

Tuesday, August 16, 2011

MADAKTARI WAKUTANA KUJADILI AFYA ZA WANAMICHEZO


Madaktari wakiwa katika picha ya pamoja leo

Baadhi ya Wataalamu wa chama cha Tiba ya wanamichezo Tanzania (TASMA) wakiwa katika kozi ya ngazi ya kati wakisikiliza mada mbalimbali zilizokuwa zikitolewa Dar es Salaam jana kozi hiyo iliandaliwa na Kamati ya Olimpiki Kimataifa

No comments:

Post a Comment