Tangazo

Pages

Monday, February 29, 2016

NGUMI KUPIGWA BAGAMOYO MARCH 5 UKUMBI WA TASUBA

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Seba Temba wa kg 66 kutoka mkoa wa Morogoro anatarajia kupanda ulingoni march 5 katika ukumbi wa Tasuba Bagamoyo kupambana na mkali wa mkoa huo wa Pwani Iddi Pialali mpambano uho ambao umeandaliwa na Muhsin Sharif 

promota huyo alisema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine mengi ya mchezo wa ngumi likiwemo la wanawake Joyce Awino kg 64  na Mariam Tembo na Abdallah Pazi kg 76 atakumbana na Georger Dimoso na Flank Lampad kg 69 atavaana na Mwaite Juma wakati bondia kutoka mkoa wa Tanga Jacobo Mganga kg 72

atapambana na Maono Ally

mpambano uho ni rasmi kabisa kwa ajili ya kutoa burudani kwa wakazi wa Bagamoyo mkoa wa Pwani pamoja na vitongoji vyake ambao walikuwa wakisubili burudani hiyo ya mchezo wa masumbwi nchini

nae bondia Seba Temba amejinasibu kwa kujigamba lazima amlaze Iddi Pialali na ndio itakayokuwa njia yake ya mazoezi kabla ya kupambana na bondia Pius Kazaula mpambano utakaofanyika march 27 katika uwanja wa ndani wa taifa siku ya sikukuu ya Pasaka

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile

Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

Friday, February 26, 2016

orodha ya wachezaji 18 waliochaguliwa kujiunga/kuendelea na timu ya Taifa ya Ngumi

orodha ya wachezaji 18 waliochaguliwa kujiunga/kuendelea na timu ya Taifa ya Ngumi itakayo shiriki mashindano mbalimbali ya kimataifa ikiwemo ya Kufuzu Olympic yatakayo fanyika Yaounde,  Cameroon 9-20 March, 2016 na Olympic Rio 2016 nchini Brazil mwezi wa August.
Pamoja na wachezaji hao pia nimeorodhesha walimu watakao ifua timu yetu ya Taifa.
WACHEZAJI
49.Kg Light fly weight
1. Said Jabir (Ngome)
2. Mustafa Amri (Kawe)
52.Kg Fly weight


1. Said Omary (Kigoma)
2. George Constantino (Ngome)

56. Kg Bantam weight
1. Hamadi Furahisha (JKT)
2. Hamduni Issa (JKT)
60. Kg Light weight
1. Ismail  Galiatano (Ngome)
2. Mwalami Salumu (Temeke)
3. Nasa Mafuru (Magereza)
64. Kg Lightwelter weight
1. Kevin Kipinge (Ngome)
2. Adam Hassan (JKT)
69. Kg Welterweight
1. Selemani Salum Kidunda (Ngome)
75. Kg Middle weight
1. Joseph Peter (Ngome)
2. Moses John (Kigoma)
81. Kg Light heavy weight
1. Leonard Machichi (Ngome)
2. Mohamed Hakimu (Kawe)
91 Kg. Heavy weight
1. Alex Sita Mpini Sulwa (JKT)
91+  Super heavy weight
1. Haruna Swanga Mhando (Ngome)
KOCHA MKUU
1. Benjamin Musa OYOMBI - Ni kutoka Kenya na ana Nyota 3 ya ukocha wa Kimataifa inayotambuliwa na shirikisho la Ngumi la Dunia AIBA.
MAKOCHA WASAIDIZI
1. Remmy Ngabo - Magereza
2. Said Omary (Gogopoa) - Temeke
3. Jonas Mwakipesile.
Kuelekea kwenye Mashindano ya kufuzu Olympic yatakayofanyika Yaounde, Cameroon 9-20 March 2016,  Timu ya Taifa itapeleka mabondia 8 kushiriki mashindano hayo.
Shirikisho liko katika mchakato wa kutafuta kiasi cha Dola za kimarekani 29,300 (Tzs 64,500,000), Tunaomba wadau, wadhamini na serikali kujitokeza kutuunga mkono kufanikisha safari hii kwenda kushiriki mashing a no haya ya kufuzu nchini Cameroon.

MABONDIA KUTWANGANA KESHO LEADERS CLUB KESHO NI CHEKA NA AJETOVIC

Bondia Lulu Kayage kushoto akinuliwa juu mkono na Promota Jay Msangi baada ya kupima uzito wakati mpinzani wake Mwanne Haji akiinuliwa mkono na Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security Limited ambaye ni mlatibu wa mpambano uho kulia kabisa ni Rashid Nassoro 'Mzee wa Mbele' mdau wa mchezo wa ngumi picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji kesho jumamosi ya feb 27 kulia ni Emanuel Mlundwa picha na SUPER D BOXING NEWS

Luilu Kayage

Bondia Mwanne Haji akipima uzito kwa ajili ya mpambano weake na Lulu Kayage kulia picha na SUPER D BOXING NEWS

  • Mabondia Lulu Kayage kushoto akitunishiana misuli na Mwanne Haji baada ya kupima uzito kwa ajili a mpambano wao kesho katika viwanja vya Leaders Club Kinondoni picha na SUPER D BOXING NEWSMabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Securit
picha na SUPER D BOXING NEWSMabondia Fransic Cheka kulia akitunishiana misuli na Mserbia Geard Ajetov baada ya kumia uzito kwa ajili ya mpambano wao kulia ni mdau wa mchezo wa ngumi Nassoro Rashidi na
meneja wake cheka, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Securit
picha na SUPER D BOXING NEWS

CHEKA AKIPIMA UZITO
Bondia Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mp[ambano wake kesho

 NA MWANDISHI wetu
 MABONDI fransic Cheka na Geard Ajetovic  wamepima uzito kwa ajili ya pambano lao la mabara la uzito wa super middle la Shirikisho la Masumbwi ya Kulipwa Duniani (WBF)   ambapo  waziri wa Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo, Nape Nnauye,  atawaongoza Watanzania kwenye Viwanja vya Leaders Club, Kinondoni, kushuhudia pambano la ubingwa wa Mabara wa WBF Intercontinental kati ya Francis Cheka na Geard Ajetovic. Cheka anamkaribisha Ajetovic, Mwingereza mwenye asili ya Serbia, katika pambano hilo la raundi 12 uzito wa Super Middle, linalotazamwa kama marudiano ya mtifuano baina ya wawili hao waliowahi kuchapana jijini Manchester, Uingereza mwaka 2008. na Cheka kupoteza mpambano uho kwa point  Wawili hao wametambiana vya kutosha, kila mmoja akijinasibu kuwa yu tayari kumuadabisha mwenzake, Cheka akienda mbali zaidi kwa kusema hatarajii kuwaangusha Watanzania, hususani anapopigana katika ardhi ya nyumbani. Pambano hilo limeratibiwa na Kampuni za Advance Security kwa kushirikiana na Hall of Fame Boxing and Promotions zote za Dar es Salaam, ambalo litatanguliwa na mapambano mengine manne, ikiwamo burudani ya muziki kutoka kwa Bendi ya Twanga Pepeta. Akizungumza na waandishi wa habari wakati wa upimaji uzito, Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile, alisema maandalizi yote ya pambano hilo yamekamilika na kuwataka Watanzania kujitokeza kwa wingi kumsapoti Cheka. Ndambile, alisema viingilio vimegawanyika makundi mawili, ambako kiingilio cha juu kitakuwa ni Sh. 50,000 kwa Jukwaa la VIP, wakati cha chini ni Sh. 15,000 kwa viti vya kawaida. Aliyataja mapambano ya utangulizi kuwa kati ya Mohammed Matumla dhidi ya Mustapha Dotto (uzito wa Light raundi nane), Mohammed Bakari na Cosmas Cheka (Feather raundi nane) na lile la Lulu Kayage dhidi ya Mwanne Haji (Fly Raundi sita)a ajili ya
  mpambano wake


Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile

Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha
Friday, February 19, 2016

KOCHA SUPER D AWAKILISHA LAMBILAMBI ZA WADAU KWA FAMILIA YA MAREHEMU MOHAMED CHIBUMBUI

  Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbui kilichotokea  Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

KOCHA wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amekabidhi fedha za lambilambi kwa wafiwa wa bondia Mohamed Chibumbui ambaye alikuwa anachezea timu ya taifa ya mchezo wa masumbwi nchini

Chibumbui  aliefaliki feb 10 alikuwa anasumbuliwa na ugojwa wa kisukari na alizikwa feb 13 katika  kijiji cha Mihima kata ya Namupa Tarafa ya Mtama wilaya ya Lindi Mkoa wa Lindi

Bondia Mohamed Chibumbui aliezaliwa April 24 mwaka 1988 

Alianza kujifundisha mchezo wa masumbwi mwaka 2003 akiwa chini ya kocha  Juma Urungu 'Mkebezi' na timu ya mavituzi

baada ya hapo aliamia timu ya polisi kisha timu ya JKT na mwisho mapaka kifo kinamkuta alikuwa akichezea timu ya Magereza

akizngumza wakati wa kupokea ubani uho uliotolewa na wadau mbalimbali wa masumbwi wakiongozwa na
Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT  na Tanzania Boxing Fans  'TBF' inayowakutanisha wadau mbalimbali  kwa njia ya mtandao wa Watsap Group mama wa marehemu 

Hadija Likamba ameshukuru kwa kufikiwa na lambilambi hiyo kutoka kwa wadau wa mchezo wa ngumi nchini na kuzidi kuwaombea duwa ili mchezo wa ngumi usonge mbele

Nae baba wa marehemu Said Chibumbui amewashukuru wadau wote na kwamba wataendelea kushirikiana bega kwa bega ambapo watakaa kikao kwa ajili ya alobaini ya marehemu na kufikishiwa taharifa

Marehemu alimuowa Ratifa Adrea june  7 mwaka 2008 na kubahatika kupata watoto wawili  mmoja ni Alhaj Mohamed Chibumbui (7) na Abubakari Mohamed Chibumbui (2) jumla marehemu ameacha watoto wawili na mke mmoja 

aliongeza kwa kusema kuwa shughuli nzima ya alobaini itafanyika nyumbani alipozaliwa marehemu tndika azimio tambukareli eneo la maputo 


KOCHA SUPER D AWAKILISHA MICHANGO YA WADAU WA MASUMBWI KWA FAMILIYA YA MAREHEMU MOHAMED CHIBUMBUI

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi mama mzazi wa marehemu Mohamed Chibumbui  Hadija Likamba ubani uliotolewa na wadau mbalimbali wa mchezo wa masumbwi nchini kutoka Tanzania Boxing Fans pamoja na chama cha ngumi za ridhaa BFT katikati ni Baba mzazi Said Chibumbui Picha na SUPER D BOXING NEWS

BONDIA FRANSIC CHEKA ATAMBA KUMDUNDA MSERBIA GEARD AJETOVIC

Bondia Fransic Cheka 'katikati' akiwa katika picha ya pozi na meneja wake, Juma Ndambile wa Kampuni ya Advanced Security Limited baada ya kuzunumzia mpambano wake na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika 
kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 kushoto ni meneja msaidizi Nassoro Said 'mzee wa mbele
 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msanii wa bendi ya muziki wa dansi African Stars 'twanga pepeta' Luiza Mbutu kulia akizungumza na waandisho wa habari awapo pichani wakati wakitangaza mpambano wa bondia Fransic Cheka na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika 
kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 katikati ni msanii Ally Choki na kushoto ni promta Jay Msangi
Picha na SUPER D BOXING NEWS


Meneja wa Cheka ambaye pia ni Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile kushoto akizungumza na waandishi wa habari awapo pichani juu ya mpambano wa bondia Fransic Cheka katikati kulia ni promota Jay Msangi
mpambano wa Cheka na Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika 
kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27
Bondia Fransic Cheka  kushoto akizungumza na waandishi wa habari juu ya mpambano wake na  Mserbia Geard Ajetovic utakaofanyika 
kwenye viwanja vya Leaders Club Februari 27 katikati ni meneja wake
Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile  na promota Jay Msangi
Picha na SUPER D BOXING NEWSSUPER D KUSHOTO NA FRANSIC CHEKA

Na Mwandishi Wetu

BONDIA maarufu nchini  Francis Cheka na Mserbia, Geard Ajetovic.watazipiga katika
Pambano  la raundi 12 la kuwania ubingwa wa mabara wa WBF la uzani wa super middle limepangwa kufanyika kwenye viwanja vya Leaders Dar es Salaam ambapo bendi ya Twanga Pepeta itatoa burudani.
Meneja wa Cheka ambaye pia ni Mkurugenzi wa Advance Security, Juma Ndambile alisema Jana kuwa maandalizi yote yamekamilika na Waziri Nape ameridhia kuwa mgeni rasmi siku hiyo.
Kwa mujibu wa Ndambile, mpinzani wa Cheka atawasili Jumatano hii sanjari na wawakilishi kutoka Shirikisho la ngumi la dunia (WBF) wakiongozwa na Rais wake, Goldberg Haward ambao watawasili Alhamisi hii.
"Maandalizi yote yamekamilika, Serikali Yetu imetusapoti kwa namna ya pekee na Waziri wa Michezo ameridhia kuwa mgeni rasmi siku hiyo.
"Kabla ya Cheka kupanda ulingoni, kutakuwa na burudani ya bendi ya Twanga Pepeta na pambano rasmi litaanza saa moja Jioni ," alisema.
Akizungumzia pambano hilo, Cheka alisema yuko fiti na kusisitiza  hajawahi kuwaangusha Watanzani hivyo wajitokeze kumpa sapoti.
"Nimefarijika kuona Waziri wa Michezo anakuja kunisapoti, nimuombe pia hata Waziri Mkuu (Kassim Majaliwa) aje alishuhudie na waahidi Watanzania sitawaangusha," alisema Cheka.
Cheka na Ajetovic watazichapa kwa Mara ya pili jijini Dar es Salaam baada ya Mara ya kwanza nchini England mwaka 2008 na Cheka kupigwa kwa pointi.
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile


Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi
pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Kocha Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

Sunday, February 14, 2016

MABONDIA SHABANI KAONEKA NA IMANI MAPAMBANO AKUNA MBABE DROO MECH

Yasini Abdallah katikati akiwainua mikono juu mabondia Imani Mapambano kushoto na Shabani Kaoneka baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao uliofanyika siku ya feb 14 katika ukumbi wa musoma bar tandika Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Shabani Kaoneka kushoto akimshambulia Imani Mapambano wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar siku ya feb 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Shabani Kaoneka kushoto akimshambulia Imani Mapambano wakati wa mchezo wao uliofanyika katika ukumbi wa musoma bar siku ya feb 14 Picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA SAID MBELWA NA IBRAHIMU TAMBA KUZICHAPA MARCH 26 MANZESE

Mabondia Ibrahimu Tamba kushoto na Said Mbelwa wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa makubaliano wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam katikati ni promota Jaffari Kitemo Picha na SUPER D BOXING NEWS

Promota Jaffari Kitemo 'katikati' akiwainua mikono juu mabondia Ibrahimu Tamba kushoto na Said Mbelwa wakati wa utambulisho wa mpambano wao jana utakaofanyika march 26 katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA Ibrahimu Tamba na Said Mbelwa jana wamesaini mkataba wa kuzipiga march 26 katika ukumbi wa Frends corner manzese Dar es salaam

mpambano uho wa raund nane kg 76 umeratibiwa na 
Jaffari Kitemo


akizungumza mara baada ya kutiliana saini mikataba ya kuzipiga Kitemo amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mapambano mbalimbali ya utangulizi ukiondoa pambano hili

na tumeandaa mpambano uhu kwa ajili ya kuondoa ubishi wa nani zaidi mana kila mmoja anatamba mtaani kuwa yeye ni zaidi ya mwenzie sasa jibu tutalipata march 26 pale manzese

nae bondia Mbelwa amesema kuwa kawaida yake ni kugawa dozi kwa kumpatia kipigo kitakatifu Tamba

akijibu majigambo hayo Tamba amesema mkuwa yeye ana makuu huvyo atakikisha anafanya mazoezi ya kutosha kwa ajili ya kumpiga Mbelwa kwani ngumi ni ngumi tu

siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za ngumi  mabingwa wa Dunia akiwemo mpya za masumbwi kati ya bondia Amir Khan vs Nichlaus Maidana na Floyd mayweather vs Nichlaus Maidana one and two Manny Paquaio, Floyd Maywether, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis, David Haye,Mohamed Ali
 

Friday, February 12, 2016

MASHINDANO YA NGUMI YA TAIFA YAMALIZIKA LEO TANGANYIKA PACKERS

Rais wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa Nchini BFT Mutta Rwakatare katikati akimkabidhi Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' mchango uliotolewa na wadau mbalimbali kwa ajili ya lambilambi ya marehemu Mohamed Chibumbuli kilichotokea jana Mkoa wa Mtwara Wilaya ya Masasi kushoto ni katibu Mkuu wa shirikisho hilo Makole Mashaga Picha na SUPER D BOXING NEWS
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga kushoto akipeana mkono na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kumkabidhi fedha za lambilambi zilizotolewa na wadau mbalimbali wakati wa mashindano ya ngumi ya taifa yaliyofanyika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Selemani Kidunda kushoto akimshambulia Mstafa Mtoro wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe jijini Dar es salaam Kidunda alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza Picha na SUPER D BOXING NEWS

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto akipambana na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakirushiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba

Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA' wakinyoshwa mikono juu baada ya mpambano wao wakati wa mashindano ya taifa ambapo wao walionesha umwamba
Msanii wa filamu, Shamsa Ford  kushoto  na MTANGAZAJI WA TIMES FM, KHADIJA SHAIBU "DIDA'
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu bondia Leonard Machichi wakati wa mashindano ya taifa
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake BFT Aisha Voniatis akimvisha medali ya dhaabu kwa bondia Zulfa Macho kulia ni bondia Halima Ramadhani wa pili kushoto ni
Katibu Mkuu wa Shirikisho la Ndondi Tanzania (BFT), Makore Mashaga
Bondia Ismail Gaitano kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mwalami Salum wakati wa mashindano ya taifa yaliyomalizika katika viwanja vya Tanganyika Packers Gaitano alishinda mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWSSUPER D ATOA SADAKA WA NIABA YA BONDIA OMARI KIMWERI WA AUSTRALIA

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Deer Park, Victoria, Australia  mtoto Mohamed Mussa wa Madrasatul _Noor Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33  Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS  Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akitoa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia kwa mtoto Kauthar Seif wa Madrasatul Nool Hudaa iliyopo mtaa wa mafia Dar es Salaam Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akigawa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia  kwa watoto wa
Madrasatul _Noor Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33  Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA  mzaliwa wa Tanzania Omari Kimweri ambaye ni bingwa wa uzito wa flyweight nchini Deer Park, Victoria, Australia  

amewakumbuka ndugu zake kwa kutoa sadaka kwa watoto wa Madrasatul _Noor-Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33

akizungumza baada ya kutoa msaada uho kwa niaba ya Kimweri Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa mfano uhu ni wakuigwa kwa mabondia mbalimbali 

kukumbuka kutoa sadaka japo kidogo kwa kipato wanachokipata kupitia mchezo wa masumbwi   

aliongeza kwa kusema kuna mabondia wengi nchini wanapata pesa nyingi kupitia mchezo wa ngumi lakini awawakumbuki watu wenye mahitaji mbalimbali

 Kimweri anatalajia kucheza mpambano wake mwingine  feb 26 akizipiga na  Michael Camellion kutoka Philippines mpambano wa raundi kumi ubingwa wa WBA Pan African light flyweight title  utakaopigwa katika ukumbi wa


The Melbourne Pavilion, Flemington, Victoria, Australia
 
Kimweri mpaka sasa amepanda uringoni mara 17 tangia aanze kucheza ngumi za kulipwa mwaka 2007 akiwa ameshinda michezo 14 na kupoteza michezo 3
 
bondia huyo mtanzania anaefanya shughuli zake uko amewaomba watanzania kumuombea duwa kwa ajili ya mpambano huo ili afanye vizuri mana akishinda mchezo uho 
 
atakuwa na uwezo wa kupigania ubingwa wa Dunia wa WBA 
 
kwa kuwa maandalizi anayoyafanya kwa sasa ni mazuri na sapoti anayoipata ni nzuri sana 
 
na akishinda mchezo uho itabadilisha maisha ya mchezo wake wa masumbwi na kuwa na kipato kikubwa wakati akipigania mikanda mikubwa inayotambulika Duniani akianzia na mkanda wa WBA ambao ameaidiwa kucheza baada ya kushinda mechi yake hii ya feb 26
 
Kimweri alitoa shukrani za kumsapoti kwa makocha wa Tanzania aliokwisha fanya nao kazi ambapo mpaka sasa anawakumbuka kwa mchango wao mkubwa katika mchezo wa masumbwi ni Baba yake mzazi Idd Kimweri, kaka yake Riadha Kimweri, Habibu Kinyogoli , Rajabu Mhamila 'Super D' 
 
Kocha wa Tanzania Prison Remmy Ngabo,Kameda Antony pamoja na mabondia wa mkoa wa Tanga na Antony Edoa pamoja na kaka zake wote katika mchezo wa masumbwi Twalib Kimweri Mzonge Hassan, Ibrahimu Mashi, na mama zake wote kutoka mkoa wa Tanga 
 
ambao amekuwa chachu katika mchezo wa ngumi mpaka amefikia hatua ya kuwa hapo alipofikia na ata kama anaishi nje ya Tanzania ato sahau asili yake kwa kuwa kitovu chake ndipo kilipozikiwa

SUPER D ATOA SADAKA KWA NIABA YA BONDIA OMARI KIMWERI

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Deer Park, Victoria, Australia  mtoto Mohamed Mussa wa Madrasatul _Noor Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33  Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimkabidhi sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Deer Park, Victoria, Australia  mtoto Mohamed Mussa wa Madrasatul _Noor Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33  Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWSKocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akitoa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia kwa mtoto Kauthar Seif wa Madrasatul Nool Hudaa iliyopo mtaa wa mafia Dar es Salaam Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akitoa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia kwa mtoto Kauthar Seif wa Madrasatul Nool Hudaa iliyopo mtaa wa mafia Dar es Salaam Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akitoa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia kwa mtoto Kauthar Seif wa Madrasatul Nool Hudaa iliyopo mtaa wa mafia Dar es Salaam Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akigawa sadaka kwa niaba ya bondia Omari Kimweri anaefanya shughulizake Australia  kwa watoto wa
Madrasatul _Noor Hudaa iliyopo kariakoo mtaa wa mafia namba 33  Sadaka hiyo imetolewa na Kimweri kwa ajili ya kuwakumbuka wenzake kwa kuwa yeye kazaliwa nchini Tanzania Picha na SUPER D BOXING NEWS

Tuesday, February 9, 2016

BONDIA IBRAHIMU MAOKOLA AJIFUA KUMKABILI JOSEPH SINKALA MARCH 12 DAR LIVE

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kurushiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' Maokola anajiandaa na mpambano wake wa ubingwa atakaozipiga na Joseph Sinkala march 12 katika ukumbi wa Dar live katikati ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D' Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini 'upcut'  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D'  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini 'upcut'  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D'  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akielekezwa jinsi ya kupiga ngumi kali za mkunjo wa chini 'upcut'  na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'super D'  jana wakati wa kujiandaa na mpambano wake na Joseph Sinkala march 12 mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa Dar Live Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS