Tangazo

Pages

Tuesday, December 30, 2014

MABONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA COSMAS CHEKA KUGOMBANIA MKANDA WA U.B.O AFRICA FEB 28

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb  katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS


Mabondia Cosmas Cheka kushoto akitunishiana misuli na Ibrhahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa U.B.O Africa utakaofanyika feb 28 katika ukumbi wa Frends Corner Manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS


 
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa UBO Africa Antony Rutta katikati akiwainua mikono juu mabondia Cosmas Cheka kushoto na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa utambulisho wao watakaozipiga 28 feb  katika ukumbi wa frends corner manzese Dar es salaam picha na SUPER D BOXING NEWS

Sunday, December 28, 2014

Mayweather could face Cotto on May 2nd

cotto3434By Dan Ambrose: Just as I thought – Saul “Canelo” Alvarez may have spoken too soon about taking the May 2nd Mexican holiday from Floyd Mayweather Jr. It seems that the Canelo vs. Miguel Cotto negotiations have reached an impasse, and Cotto’s management are now thinking about facing superstar Floyd Mayweather Jr on May 2nd instead of Canelo.
I figured something like this would happen, because Canelo is a fighter that is a hard negotiator and that kind of thing doesn’t work when you have an A-side star like

Thursday, December 25, 2014

KOCHA SUPER D AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA VIFAA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING 


Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING 
Na Mwandishi Wetu

KOCHA wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wa kijamii wa watsupp wamemkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumwi nchini

Super D alimkabidhi vifaa hivyo bondia huyo hivi karibuni alivyotembelea jijini Dar es salaam kuja kushiliki mchezo wa masumbwi ambapo alipatiwa glove,gum shit,clip bandeji pamoja na kamba kwa ajili ya kurukia

vifaa hivyo vilivyotolewa na super D kwa kushilikiana na mdau mkubwa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mkumba ambaye ndie mwamasishaji mkubwa katika mtandao huo kwa ajili ya kusaidia mabondia

baada ya kukabidhiwa msaada huo bondia Mussa Chitepete wa Songea alishukulu wadau 
 mbalimbali kwa kumpatia vifaa na kumpongeza kocha Super D kwa kuanzisha mtandao ambaoumekuwa muhimu sana kwangu kwa mimi kupata vifaa najua sitotumia peke yangu wapo na wenzangu tutakao tumia nao pamoja vifaa hivi ambavyo itakuwa chachu ya kuinua mchezo wa masumbwi Songea

nae mdau mkubwa wa masumbwi nchini Rajabu Mkamba amesema kwa kushilikiana na Super D wamefanya mambo mengi kwa ajili ya kuinua mchezo wa masumbwi nchini hivyo atutoishia hapa tutaendelea kutoa sapoti kwa mabondia na wadau mbalimbali ili mchezo usonge mbele na wadhamini wajitokeze kusaidia ili vijana wawe na moyo wa kucheza mchezo wa masumbwi

SUPER D BOXING COACH AMSAIDIA VIFAA MUSSA CHITEPETE WA SONGEA

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akimkabidhi vifaa bondia Mussa Chitepete wa Songea vilivyotolewa na Super D kwa kushilikiana na marafiki zake wa kwenye mtandao wengine kulia ni Kiliani Shayo na Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D katikati akionesha vifaa alivyompatika Mussa Chitepete wa Songea kushoto kulia ni mdau wa Rajabu Mkamba ambaye ni mdau mkubwa wa kuhamasisha kusaidia mchezo wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimtambulisha bindia wa kike ambaye ndie bingwa wa wanawake kwa sasa Halima Ramadhani

Sunday, December 21, 2014

BONDIA TWAHA KASSIM WA MOROGORO AMTWANGA KWA KO, MUSSA CHITEPETE WA SONGEA

Mabondia Twaha Kassim wa morogoro kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mussa Chitepete wa Songea wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kassim alishinda kwa K,O ya raundi ya sita Picha na SUPER D BOXING NEWSBondia Mussa Chitepete wa Songea akiwa chini baada ya kupokea konde zito kutoka kwa Twaha Kassimu wa Morogoro wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Kassim alishinda kwa K,O ya raundi ya 6 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Cosmas Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ramadhani Shauri wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Cheka alishinda kwa point mpambano uho wa raundi 8 Picha na SUPER D BOXING NEWS

Saturday, December 20, 2014

NGUMI NDONDI MAWE KUPIGWA JANUARY 2 IFAKALA UKUMBI WA MAKUTANO


Na Mwandishi Wetu

MPAMBANO wa ngumi wa kufungua mwaka unatarajia kupigwa Ifakala mkoa wa morogoro kwa ajili yas kuhamasisha na kukuza mchezo wa masumbwi nchini akizungumza na waandishi wa habari promota wa mpambano huo Hiari Bohari amesema kuwa kwa sasa anataka aendereza mchezo wa masumbwi Ifakala kwa kuwa watu wapo na mchezo unapendwa

aliongeza kwa kusema siku hiyo ya january mbili itakuwa ni siku ya kufungua mwaka kwa mpambano wa masumbwi kati ya Abdallah Kilima na Abdul Amwenye uku Saleh Makuka akipambanma na Said Chamak

vile vile kutakuwa na mpambano miwili kwa ajili ya kuamasisha wanawake waje washiriki katika michezi ya ngumi siku hiyo Aika Georger atapambana na Najma Ally

aliongeza kwa kusema anawaomba wadau mbalimbali kutoa sapoti na kumuunga mkono katika harakati za kuinua mchezo wa masumbwi ili uweze kusonga mbele

Friday, December 19, 2014

BONDIA MAOKOLA AMDUNDA MKALAKALA KWA K,O YA RAUNDI YA 7 NA KUTETEA MKANDA WAKE

Mabondia Antony Peter kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Hamidu Mussa wakati wa mpambano wao Mussa alishinda kwa point mpambano huo Picha na  SUPER D BOXING NEWES
 Mabondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Selemani Mkalakala wakati wa kugombania ubingwa wa Taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC Maokola alishinda kwa k,o ya raundi ya saba  Picha na  SUPER D BOXING NEWES
Bondia Selemani Mkalakala akiwa chini kwa konde zito alilotupiwa na Ibrahimu Maokola wakati wa mpasmbano wao wa ubingwa Picha na  SUPER D BOXING NEWES
IBRAHIMU MAOKOLA

Mgani rasmi katika mpambano huo Joseph Vitalis kulia akimvisha mkanda wa ubingwa unaotambulika na chama cha TPBC bondia Ibrahimu Maokola baada ya kumdunda Seleman Mkalakala kwa k,o ya raundi ya 7 kushoto ni promota wa mpambano huo Shabani Adiosi Picha na  SUPER D BOXING NEWES

Thursday, December 18, 2014

NGUMI KUPIGWA IJUMAA YA TAREHE 19 UKUMBI VIGAE CLASSIC ZAKHEM

Promota wa mpambano wa masumbwi nchini Shabani Adios 'Mwaya mwanya' katikati akiwangalia mabondia Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wanavyotunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC utakaofanyika leo ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem Picha na SUPERDBOXING NEWS
Selemani Mkalakala akipima uzito
Mabondia Ibrahimu Maokola na Selemani Mkalakala wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa ubingwa wa taifa unaotambuliwa na chama cha TPBC utakaofanyika ijumaa katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem
Picha na SUPERDBOXING NEWS


Bondia Ibrahimu Maokola akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa taifa na Selemani Mkalakala kushoto kulia ni Rais wa TPBC Chaurembo Palasa mpambano utakaofanyika ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem
Saleh Mkalekwa akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Abdalaaha Mohamedi mpambano utakaofanyika ijumaa ya Desemba 19 katika ukumbi wa Vigae classic Mbagala Zakhem
Dr Hesea Ronard akimpima afya bondia Ibrahimu Maokola kwa ajili ya mpambano wake wa kesho Ijumaa

Wednesday, December 10, 2014

BFT WAKABIDHIWA ULINGO RASMI WA MASUMBWI


Bondia Zulfa Macho kushoto akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Zulfa Macho kulia akipambana na Vumilia Kalinga wakati wa maskabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Baadhi ya wadau wa mchezo wa masumbwi wakifatilia afla ya makabidhiano hayo
Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara akivishwa glove na
Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis kushoto ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose wakati wa makabidhiano ya ulingo mpya wa masumbwi uliotolewa na kampuni ya Zantel Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose kushoto akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara baada ya kukabidhi ulingo mpya wa masumbwi kulia ni Mjumbe wa maendeleo ya wanawake  BFT Aisha Voniatis  na wa pili kushoto ni Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT' Lukelo Willilo na Katibu mkuu wa chama hicho Makore Mashaga
Bondia Fransic Cheka kushoto akipeana mkono na Waziri wa Habari,Vijana Utamaduni na Michezo DR. Fenela Mkangara wakati wa hafla ya makabidhiano ya ulingo mpya kutoka Zantel
Bondia Fransic Cheka akisalimiana na Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Zantel Patap Ghose
BAADHI YA WADAU MBALIMBALI WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI WAKIWEMO MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA

Monday, December 8, 2014

PAMBANO LA MAOKOLA NA MKALAKALACHAMA cha Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC),
limeidhinisha pambano la ubingwa wa taifa uzani
wa kilo 69 litakalowakutanisha Ibrahim Maokola
dhidi ya Selemani Mkalakala.
Kwa mujibu wa Rais wa TPBC, Chaurembo Palasa,
pambano hilo limepangwa kufanyika Desemba 19,
mwaka huu kwenye Ukumbi wa Vigae Pub,
Mbagala jijini Dar es Salaam.
Palasa alisema pambano hilo litasindikizwa na
mapambano mengine ya utangulizi kati ya Abdallah
Mohamed dhidi ya Salehe Mkalekwa.
Alisema maandalizi kuelekea kwenye pambano hilo
ni mazuri na kwamba wanategemea mashabiki
wengi watajitokeza kuwaunga mkono vijana hao.
“Tumekuwa tukihamasisha mchezo wa ngumi
sehemu mbalimbali ili kuleta mvuto kwa wakazi wa
jiji na sehemu nyingine ili kuvutia wadhamini,”
alisema Palasa.
Alisema ngumi sio mchezo wa fujo kama baadhi ya
watu wanavyodhani, bali ni mchezo wa
wastaarabu ambao wanapigana kwa kufuata
sheria. Alisema atakayebainika kukiuka sheria
zilizowekwa awe ni bondia au promota
atachukuliwa hatua za kisheria.

FAINAL YA MASHINDANO YA WAZI YA TAIFA YA NGUMI YALIVYO MALIZIKA MWISHONI MWA WIKI UWANJA WA NDANI WA TAIFA 
 Mabondia latifa Halidi  kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS
Makamu wa Rais wa Shirikisho la ngumi za Ridhaa nchini 'BFT' Lukelo Willilo akimvisha medali ya dhaabu bondia Robert Kyaruzi baada ya kushinda katika fainal ya mashindano ya taifa ya wazi iliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita
Mabondia Siwatu Elieta kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Zulfa Macho wakati wa fainali za mchezo wa masumbwi Macho alishinda kwa point mpambano huo
 Mabondia latifa Halidi  kushoto wa Kigoma na Vumilia Kalinga wa JKT wakioneshana umwanmba wa kutupiana makonde wakati wa mashindano ya taifa ya wazi yaliyomalizika mwishoni mwa wiki iliyopita picha na SUPER D BOXING NEWS

 Mfanya biashara na mdau na promota maarufu nchini Zahoro Maganga akisalimiana na bondia 
 wakati wa fainali
ya mashindano ya taifa