Tangazo

Pages

Tuesday, April 29, 2014

MIKANDA YA DUNIA NA KIMATAIFA YA NGUMI YAWASILI NCHINI

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa ameshikilia mikanda ya ubingwa wa dunia kushoto na ubingwa wa kimataifa kulia utakaogombaniwa na bondia Thomas Mashali na Kalama Nyilawila na mwingine atagombania bondia Alan Kamote wa Tanga na bondia kutoka nje

Bondia Obota Ameme akiwa ameshikilia mikanda ya ubingwa wa dunia kushoto na ubingwa wa kimataifa kulia utakaogombaniwa na bondia Thomas Mashali na Kalama Nyilawila na mwingine atagombania bondia Alan Kamote wa Tanga na bondia kutoka nje

Monday, April 28, 2014

DVD MPYA ZA MASUMBWI KUTOKA SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION

 DVD HII YA MASUMBWI IKIMUHUSISHA IBRAHUMU CLASS .KING CLASS MAWE.  MAPAMBANO MAKALI YA NGUMI ZOTE KALI LIPO KWENYE DVD MOJA SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
mhamila1@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938, +255713406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

DVD MPYA ZA MASUMBWI ZIKIMSHILIKISHA BONDIA IBRAHIMU CLASS KING CLASS MAWE
MPAMBANO WA MASUMBWI AMBAO UMEACHA HISTORIA KATIKA MCHEZO WA NGUMI DUNIANI

IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE SASA ATAKA KUWANIA UBINGWA

Ibrahimu Class King Class Mawe birth place Iringa, Tanzania won 10,
birthdate 1990-10-10 (age 23)
division light welterweight

WLADIMIR KLITSCHKO AMTWANGA LEAPAI KAMA GUNIA NA KUTETEA MATAJI YAKEBONDIA Wladimir Klitschko ameendeleza ubabe wake katika ndondi za uzito wa juu baada ya usiku wa kuamkia leo kumchapa kwa Knockout (KO) ya raundi ya tano, Alex Leapai katika pambano la kutetea mataji yake. 
Klitschko, alitumia mikono yake mirefu kumchapa kama 'mwanawe' mpinzani huyo wa Samoa mzaliwa wa Australia, ambaye raundi ya tano alisalimu amri katika pambano lililofanyika mjini Oberhausen, Ujerumani Magharibi. 
Leapai alikwenda chini baada ya kuchanganyiwa makonde ya mikono yote, kushoto naa kulia mfululizo. 
Aliinuka kujaribu kutaka kuendelea, lakini kwa nia nzuri, Klitschko raia wa Ukraine akajisogeza mbali zikiwa zimesalia sekunde 58 raundi hiyo kumalizika.
Pokea hiyo: Konde la Klitschko likichapa kidevu cha Leapai jana katika pambano la ubingwa wa dunia uzito wa juu mjini Oberhausen, Ujerumani Magharibi.
Down you go: Klitschko watches as Leapai falls to the canvas
Chini: Klitschko akimuangalia mpinzani wake, Leapai anavyopambana na sakafu
Conveyor belt of success: Wladimir Klitschko celebrates victory over Australia's Alex Leapai after the WBA, IBF, WBO and IBO title bout
Mataji kibao: Wladimir Klitschko akisherehekea ushindi wake dhidi ya Alex Leapai ambao umemfanya atetee mataji yake ya WBA, IBF, WBO na IBO

Friday, April 25, 2014

BONDIA THOMAS MASHALI APATA AJARI

Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
JERAHA LINALO ONEKANA MKONONI
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
THOMAS MASHALI
Bondia Thomas Mashali wa tatu kushoto akiwa na baadhi tya ndugu na jamaa akiuguza majeraha ya vidonda baada ya kupatas ajari hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Thomasi Mashali akionesha majeraha aliyoyapata baada ya kupata ajali hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Thomasi Mashali amepata ajari ya gari mara baada ya kuangukia mtaloni akiwa anaendesga gari aina ya vitz lenye namba za usajili T 777 BMW ajari hiyo iliyotokea maeneo ya kimara baruti siku ya april 20

wakati akitokea manzese kwenda nyumani kwake kimara mwisho akielezea tykio zima la ajari hiyo Mashali 'Alisema nilikuwa naendesha mwenyewe nikakutana na tuta nikaruka tuta nilivyomaliza tu tuta kumbe mbele yangu kulikuwa kumefungwa kutokana na matengenezo ya barabara ya morogoro  ile nataka kukwepa uzioambapo nilipo kwepea nika ingia mtaloni moja kwa moja

katika gari hiyo tulikuwa wawili na mdogo wangu George Maluma ambaye ajaumia chochote katika ajari hiyo

akizungumzia mchezo wake unao mkabili ambao ulikuwa ufanyike siku ya mei mosi katika ukumbi wa PTA Sabasaba kwa ajili ya kumkabili Kalama Nyilawila, mashali alisema kuwa kwa sasa sifanyi mazoezi kwa kuwa nauguza majeraha yangu ya kuchubuka na kutoka kwa ngozi katika mkono wangu wa kulia na ubavuni mwangu

namwambia Kalama kuwa kafala laker limegonga mwamba hivyo akae tayali kwa kipigo cha mbwa mwizi kama nilivyo mfanya mwenzie Mada Maugo

kwani na yeye alikuwa anachonga sana lakini mwisho wa siku nikachukuwa ubingwa kupitia kwake yeye mana mpambano huu nilikuwa nausubili kwa hamu kubwa sana leo kesho

mbali na majeraha haya napenda kuwashukuru baadha ya watu walionisaidia  katika tukio zima la mimi kupata ajari na kunisaidia kutoa gari bondeni mpaka sasa ipo katika mikono salama ingawa imearibikwa kwa sababu ya kubondeka

mbali na hivyo nashukuru  promota Ally Mwazoa kwa kuwa na moyo wa huruma na kuhamua kusogeza mbele mpambano huo mpaka siku utakapotangazwa tena pia naomba watanzania waniombee duwa kwani naenderea vizuri kutibu majeraha yangu 

Thursday, April 24, 2014

DVD MPYA ZA NGUMI HIZI HAPA

DVD MPYA YA MASUMBWI AMBAYO IMESHILIKISHA MABONDIA WA TANZANIA,IRAN PAMOJA NA THAILAND ILIKUWA P.T.A SABASABA SASA ZINAPATIKANA KUTOKA SUPER D BOXING COACH UHURU NA MSIMBAZI KARIAKOO DAR ES SALAAM TANZANIA ZAIDI WASILIANA 
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mob;+255787 406938
        +255713 406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania
MPAMBANO AMBAO UNAFANYIKA MEI 3 UKO MGM GRAND LAS VEGAS
MPAMBANO AMBAO UNAFANYIKA MEI 3 UKO MGM GRAND LAS VEGAS

DVD YA MYWETHER NDANI KUKIWA NA CHEKA VS MASHALI

Wednesday, April 23, 2014

MWAITE JUMA AENDELEZA UBABE CHALINZE JUMA BIGLEE AMCHAKAZA JACK SIMELA

Bondia Juma Biglee kulia akishambulia kwa makonde na Jack Simela wakati wa mpambano wao wa masumbwi uliofanyika jana katika ukumbi wa Ndelema inn chalinze mjini mkoa wa pwani Biglee alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Juma Biglee akinyooshwa mkono juu baada ya kumshinda Jack Simela wa chalinze

Bondia Mwaite Juma kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Godfrey Sadiki 'Pacho Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika jana katika ukumbi wa ndelema inn chalinze mkoa wa pwani juma alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Sunday, April 20, 2014

BONDIA FRANSIC MIYEYUSHO KUTO SHILIKI MAZOEZI KWA MWEZI MZIMA ILI KULINDA AFYA YAKE

BONDIA Fransic Miyeyusho ' Chichi Mawe' baada ya kupokea kichapo cha mbwa mwizi hivi karibuni na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand na kupelekwa hospital na kupatiwa huduma ya kwanza

kwa kufanyiwa uchunguzi wa kina sasa itamlazimu akae pembeni bila kufanya mazoezi ya aina yoyote pamoja na kazi ngumu katika kipindi cha mwezi mzima ili aweze kurudi katika hali yake ya kawaida baada ya kichwa chake kupigwa ngumi nyingi kali kwa mfululizo

akizungumzia mpambano wake huo na mthailand huyo chichi mawe amesema mpambano huu umekuwa ukisogezwa mbele kila wakati na nikibadilishiwa mpinzani kila siku mara ya kwanza mpambano huu ulikuwa ufanyike mwanzoni kabisa mwa mwaka huu ikashindikana nikambiwa nakuja kupigana na  Ronald Pontillas   raia wa Ufilipino nayo ikaota mbawa nikambiwa tena napigana na bondia mwingine pia ikawa hivyo hivyo

ndio nika letewa huyu mthailand kwa sasa ata hivyo mpambano ulikuwa ufanyike april 12 ikasogezwa mbele mpaka april 19 ndipo nilipo panda ulingoni hivyo mpambano ulikuwa na mizegwe sana mana kila siku mkataba ulikuwa ukisogezwa mbele kwa kutumia mkataba hule hule

aliongeza kwa kusema anaomba mashabiki wake wamsamehe kwa kilichotokea kwa kupoteza mpambano huo kwani hata promota mwenyewe alikuwa mbabaishaji na nilikuwa nabadilishiwa ata mapromota mara Jay Msangi mara Mussa Kova hivyo nilikuwa sijui promota alisi ni nani wakati mwanzo nilikuwa namjua msangi

naomba watanzania wenzangu waniombee duwa kwani mchezo kuna kupigwa na kushinda nita hakikisha siwakatishi tamaa
mashabiki wangu pindi nitakapokuwa sawa kwa kurudia ali yangu na kuanza mazoezi

hata hivyo nasikitika kusema mpambano wangu uliokuwa ufanyike mei 10 kuzipiga na Mohamed Matumla nitamuomba promota Ally Mwazoa apeleke mbele kwani sito kubali kupoteza mpambano huo kirahisi najua mwazoa ametumia galama nyingi sana kutangaza mpambano wangu na Matumla sina budi kumuomba msamaha kwa yaliyotokea kwa kuwa yeye ni mwanamichezo na anajua madhala ya mchezo wa ngumi atanielewa kwa kulisogeza pambano hilo mbele

Bondia Bernard Hopkins amshinda Beibut Shumenov kwa point

Bondia Bernard Hopkins  kushoto akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
 Bondia Bernard Hopkins  kulia akimtupia konde mpinzani wake wakati wakipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12
Bondia Bernard Hopkins  kulia akipambana na Beibut Shumenov wakati wa mpambano wao uliofanyika usiku wa kuamkia leo Hopkins  alishinda kwa majaji wawili kwa mmoja mpambano huo wa raundi 12

MABONDIA DIMOSO NA TAMBA WAPIMA UZITO KUPIGANA JUMATATU YA PASAKA

Bondia George Dimoso kushoto na Ibrahimu Tamba wakiwa mbele ya kamera ya super D Blog baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika Manyara Park Tandale CCM siku ya jumatatu ya pasaka picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia George Dimoso akipima uzito kwa ajili ya mpambano wao utaka
Ibrahimu Tamba

Saturday, April 19, 2014

MABONDIA CHEKA,MIYEYUSHO WASHINDWA KUTAMBA KING CLASS MAWE AMSAMBALATISHA MUSTAFA DOTO

 Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kulia  akiendelea kumwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Mustafa Dotto kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Ibrahimu Class 'King Class Mawe' wakati wa mpambano wao uliofanyika PTA Sabasaba King Class alishinda kwa Point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
  Bondia Ibrahimu Class' King Class Mawe' kushoto akimwadhibu Mustafa Dotto wakati wa mpambano wao uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba April 19 jijini Dar es salaam King class alishinda kwa pointi mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 FURAHA YA USHINDI
 KING CLASS MAWE AKIOJIWA BAADA YA KUIBUKA MSHINDI
 KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
 KING CLASS MAWE KATIKATI ALIEKAA AKIWA NA MARAFIKI ZAKE BAADA YA USHINDI
Bondia Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Gavad Zohrehvand wa Iran wakati wa mpambano wao wa kirafiki wa kimataifa uliofanyika katika ukumbi wa PTA Sabasaba jijini Dar es salaam mpambano huo uliamliwa kwa droo ya kufungana point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

 Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand kulia akiwa amemkalisha bondia fransic Miyeyusho katika raundi ya kwanza ya mpambano wa raundi kumi na kufanikiwa kwshinda kwa K,O Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Fransic Miyeyusho kushoto akijitutumua kupigana na  Bondia Sukkasem Kietyongyuth  kutoka Thailand  miyeyusho alipigwa raundi ya kwanza bila huruma picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com