Tangazo

Pages

Friday, August 30, 2013

KING CLASS MAWE,THOMASI MASHALI,CHEKA WAENELEZA UBABE KWENYE MASUMBWI NCHINI

Bonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Add captionBonia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Simba Watunduru wakati wa mpambano wao uliofanyika siku ya ijumaa katika ukumbi wa Diamondi Jublee King class alishinda kwa pointi picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondi Fransic Cheka kushoto akioneshana umwamba na ubingwa wa WBF uliofanyika katika ukumbi wa iamondi jublee cheka alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Thursday, August 29, 2013

MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE KUFIKIA TAMATI IJUMAA HII

Bondia Festo Ngabo Kushoto na Mohamedi Chibumbui wakipeana mikono kabla ya kuanza kwa mpambano wao wakati wa mashinano ya wazi yaliyofanyika TEMEKE Dar es salaam Chibumbui alishinda kwa TKO ya raundi ya kwanza Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Mchezo wa ngumi Kimataifa Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akibadilishana mawazo na Mwenyekiti wa chama cha mchezo wa Ngumi Mkoa wa Temeke GOGO POA
Bondia Festo Ngabo Kushoto na Mohamedi Chibumbui wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano waowa mashinano ya wazi yaliyofanyika TEMEKE Dar es salaam Chibumbui alishinda kwa TKO ya raundi ya kwanza Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baadhi ya makocha wakibadilishana mawazo kushoto ni Ndame,Remmy Ngabo,Majeshi Kibilabila na Gogo Poa
Mohamedi chibumbui akinyoshwa mkono kluashilia ushindi wake

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUPAMBANA AUGOST 30 IJUMAA HII

Bondia Thomasi Mashali kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya Mpambano wao wa ubingwa wa WBF Africa utakaofanyika katika ukumbi wa Diamondi Jublee Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mdau wa Mchezo wa masumbwi ambaye pia ni Promota wa mchezo wa ngumi nchini Mohamedi Bawaziri Katikati akiwa na Mgeni rasmi katika pambano la Kimataifa wa Ubingwa wa WBF, Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' (wa pili kushoto) na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg

Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani

Wednesday, August 28, 2013

MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YAENDEREA KUPAMBA MOTO


Bondia Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Wasimamizi wa mashindano hayo wakifatilia kwa makini kushoto niRemmy Ngabo na Majeshi Kibilabila
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoenderea katika ukumbi wa CCMKata 15 Temeke mwisho Mohamedi alishinda kwa point Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo
mabondia wakiwa katika picha ya pamoja
Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja
Mabondia Mussa Kimweri
Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde

Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi
Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi

TANGAZO: FRANCIS CHEKA (TZ) NA PHILL WILLIUM (USA) KUPIMA UZITO KESHO MAELEZOMAHALI                  :       MAELEZO IPC
TAREHE                   :       29/08/2013
MUDA                     :       3:30 ASUBUHI
 
FRANSIS CHEKA (TZ) NA PHILL WILLIUM (USA) WATAPIMA UZITO KWA AJILI YA MAANDALIZI YA MCHEZO WA KIMATAIFA WA NGUMI ZA KULIPWA WA PAMBANO LA KUGOMBEA TAJI LA UBINGWA WA DUNIA WA SHIRIKISHO LA NGUMI ULIMWENGUNI.

Tuesday, August 27, 2013

BONDIA MMAREKANI PHIL WILLIAMS ATUA KUMKABILI CHEKA IJUMAA HII

Kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na bondia Phil Williams wa marekani baada ya kutua nchini kwa ajili ya mpambano wake na Francis Cheka utakaofanyika August 30 siku ya ijumaa hii  katika ukumbi wa Diamon Jubilee jijini Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku huu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mdau wa michezo nchini Saidi kindeka kushoto akiwa na Bondia Phil Williams wa marekani
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa katika picha ya pamoja na wadau wa mchezo huo kushoto ni promota Jay Msangi kulia ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila 'Super D wengine ni wadau waliokuja kulaki uwanja wa ndege baada ya kutua usiku huu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams wa marekani akiwa na mkanda wake wa ubingwa wa WBU
Bondia Phil Williams wa marekani

KOCHA SUPER D ,YASSIN ABDALA WAMPOKEA FRANCOIS BOTHA LEO PAMOJA NA RAIS WA WBF

Mgeni rasmi katika pambano la Kimataifa wa Ubingwa wa WBF, Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' (wa pili kushoto) baada ya kupokelewa alipowasili katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere Dar es Salaas, kwa ajili ya kushuhudia pambano hilo siku ya ijumaa.  Kushoto ni Rais wa TPBO Yassini Abdalla na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg pamoja na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  Mpambano wa ubingwa wa Dunia wa chama hicho unafanyika kwa mara ya kwanza kwa kuwakutanisha Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani August 30 katika ukumbi wa Diamond Jubilee. Bondia huyo, Faru Mweupe anatarajia kupanda ulingoni kuzipiga na Evander mwezi wa nne mwakani. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa Masumbwi Nchini Rajabu Mhamila wa pili kutoka kulia akifuraia jambo na Francois Botha pamoja na yassini Abdalla kulia

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwa katika picha ya pamoja baada ya kuwafikisha wageni katika hotel ya Southern sun wa pili ni Rais wa WBF, Howard Goldbeg, Rais wa TPBO, Yassini Abdallah na mmoja wa Majaji wa mpambano huo pamoja na Bondia bingwa wa Uzito wa Juu Duniani Francois Botha Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

BONDIA WA DUNIA FRANCOIS BOTHA WA PILI KUSHOTO AKIWA NA JAY MSANGI RAISI WA WBF ,HOWARD GOLDBEG,YASSINI ABDALL, NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'


Monday, August 26, 2013

PAC MANN RIOS WATAMBIANA KUMARIZA UBISHI NOVEMBER 23 CHINA

Bondia wa siku nyingi Georger Foreman katia kati akiwa amewashika na kuwanyoosha mikono juu mabondia Manny Pacquiao na Brandon Rios wakati wa utambulisho wa mpambano wao utakaofanyika November 23 katika nchi ya China mpambano huo unaosubiliw kwa hamu umekua gumzi Dunia nzima kwa sasa


Wednesday, August 21, 2013

SUPER D AMWAGA SUMU KWA MABONDIA ANAOWAFUNDISHA


Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila'Super D' akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kutupa ngumi uku bega lake likisapoti ngumi kuwa na nguvu zaidi wakati wa mazoezi anayoyatoa bule katika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam jana Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Tanzania Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa  katika picha ya pamoja na mabondia kushoto ni Ibrahimu Class 'King Class Mawe', Cosmas Kibuga,Saidi Mbelwa na Shomari Mirundi baada ya kumaliza kwa mazoezi yanayoendelea katika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam jana icha na BLOG YA SUPER D
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimfundisha jinsi ya kurusha makonde bondia Saidi Mbelwa wakati wa mazoezi yaliyofanyika ufukwe wa gymkhana Dar es salaam yanayotolewa bule na kocha huyo kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi nchini Picha na blog ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kupiga ngumi uku kidevu chake kikiwa kimeficha na bega kwa ajili ya kukinga ngumi za mpinzani wake wakati wa mazoezi yaliyofanyika Dar es salaam jana Picha na Blog ya www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimwelekeza bondia Saidi Mbelwa jinsi ya kupiga ngumi ya kifua pamoja na chembe kwenye kivaa maalumu kwa ajili ya kupiga ngumi mbalimbali za tumbo 'Body Punch' wakati wa mazoezi Dar es salaam jana Picha na SUPER D

SUPER D AKIZUNGUMZA NA MABONDIA WALIOJITOKEZA WAKATI AKIGAWA SUMU ZA KUWEZESHA MABONDIA HAWO KUPIGA NGUMI ZA AINA MBALIMBALI NA ZA UMAILI WA ALI YA JUU Dar es salaam jana Picha na SUPER D