Tangazo

Pages

Thursday, August 27, 2015

BONDIA THOMASI MASHALI AJIFUA BARABARANI KUMKABILI TAMBA JUMAMOSI AGOUST 29 TAIFA

Kocha Haji Ngoso kushoto akimwelekeza bondia Thomas Mashali jinsi ya kutupa makonde mazito yaliyonyooka wakati wa mazoezi yake ya mtaa kwa mtaa kwa ajili ya mpambano wake na Ibrahimu Tamba utakaofanyika jumamosi ya agost 29 katika uwanja wa ndani wa taifa mazoezi haya alikuwa akifanyia katika makutano ya barabara ya Uhuru na Msimbazi Dar es salaa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Tomas Mashali kushoto akielekezwa kutupa ngumi zilizo nyooka na kocha Haji Ngoso wakati wa mazoezi yake ya hadhara yaliyofanyika katika makutano ya barabara ya uhutu na msimbazi Kariakoo Dar es salaam mashali anajiandaa na mpambano wake na Ibrahimu Tamba utakao fanyika jumamosi katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Tomas Mashali kushoto akielekezwa kutupa ngumi zilizo nyooka na kocha Haji Ngoso wakati wa mazoezi yake ya hadhara yaliyofanyika katika makutano ya barabara ya uhutu na msimbazi Kariakoo Dar es salaam mashali anajiandaa na mpambano wake na Ibrahimu Tamba utakao fanyika jumamosi katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Wednesday, August 26, 2015

BONDIA LULU KAYAGE ATIMKIA AFRIKA YA KUSINI KUKIPIGA TENA

Bondia Lulu Kayage akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya Afrika kusini kupigana mpambano mwingine agoust 28 picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage akiwa katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere kwa ajili ya safari yake ya Afrika kusini kupigana mpambano mwingine agoust 28 picha na SUPER D BOXING NEWS

Mdau wa mchezo wa ngumi nchini Hamissi Berege kushoto akizungumza na George Sabuni ambaye anambatana na bondia lulu Kayage kulia kwenda kwenye mpambano wake mwingine utakaofanyika agous 28 Afrika ya kusini picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
BONDIA wa Kike Lulu Kayage amenda tena nchini Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake mwingine na bondia mwingine kutoka uko utakaofanyika agost 28 nchini Afrika ya kusini

akiongea kabla ya kupanda ndege bondia huyo alijingamba kuwa ataenda uko na atashinda kwa kuwa yupo fiti zaidi kwa sasa

hivyo nitaendeleza wimbi la ushindi aliongeza kwa kusema anaomba duwa kwa watanzania wamuombee ili aweze kumchakaza msauzi uyo tena kwa K,O mbaya kama alivyo mpiga 

mwenzake Lizbeth Sivhag bondia huyo aliyeambatana na bondia mkongwe wa siku nyingi George Sabuni kwa ajili ya kumbumbusha mambo mbalimbali awapo uringoni

amesema kwa sasa watanzania wategemee furaha kutoka kweke kwani mchezo anaocheza ni mgumu sana na yeye amejizatiti kuleta mafanikio kwa taifa nzima la Tanzania
 

Monday, August 24, 2015

ONESMO NGOWI AMPIGA TAFU YA VIFAA BONDIA LULU KAYAGE


Rais wa I.B.F Africa Onesmo Ngowi kulia akimkabidhi vifaa vya mchezo wa ndondi bondia Lulu Kayage baada ya kutembelea ofisi za rais huyo zilizopo posta Dar es salaam Lulu Kayage ataondoka nchini kuelekea Afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wake mwingine kabla ya kugombania ubingwa wa I.B.F Afrika mnamo Desemba 2 mwaka uhu
Rais wa I.B.F Africa Onesmo Ngowi wa pili kulia akiwa na bondia Lulu Kayage wa pili kushoto kulia ni George Sabuni na kushoto ni Hamisi Berege
BONDIA LULU KAYAGE AKIPOZI KATIKA OFISI ZA I.B.F AFRIKA
BONDIA LULU KAYAGE AKIPOZI KATIKA OFISI ZA I.B.F AFRIKA
BONDIA LULU KAYAGE AKIPOZI KATIKA OFISI ZA I.B.F AFRIKA

Saturday, August 22, 2015

BONDIA IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' AMDUNDA ALLY MUHURO KWA T.K.O YA RAUNDI YA TATU

Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kulia akimshambulia kwa makonde mazito Ally Muhuro wakati wa mpambano wao ulifanyika siku ya jumamosi Class alishinda kwa T.K.O ya raund ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ibrahimu Class 'King Class Mawe' kushoto akimtupia konde mpinzani wake Ally Muhuro wakati wa mpambano wao uliofanyika jumamos Class alishinda kwa T.K.O raundi ya tatu Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Rojas Massamu kushoto akipambana na Subea Chube wakati wa mpambano wao Massamu alishinda kwa K,O ya raundi ya nne Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Awadhi Faraji kushoto akipambana na Shomari Mirundi wakati wa mpambano wao Mirundi alishinda kwa .K.O ya raundi ya pili Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Kelvin Majiba kushoto akipambana na Vicent Mbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika katika viwanja vya shule ya Uhuru kariakoo Dar es salaa Mbilinyi alishinda kwa point Picha na SUPER D BOXING NEWS

Friday, August 21, 2015

NGUMI KUPIGWA KESHO SHULE YA UHURU

MABONDIA Vicent Mbilinyi na Kelvin Majiba wamepima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika agost 22 katika viwanja vya mpira wa kikapu vilivyopo ndani ya shule ya Uhuru Wasichana Dar es salaam

mbali na mabondia hawo kupima uzito bondia mwingine bingwa wa WPBF na U.B.O Afrika Ibrahimu Class 'King Class mawe' nae amepima uzito kwa ajili ya mpambano wake na bondia kutoka mji kasoro bahari Ally Muhuro na Fadhili Boika atapambana na Fransic Haule na Shomari Mirundi atakabiliana na Huseni Pendeza uku Roger Masawe akimkabili Raymond Mbwago

mipambano hiyo yote na ya raundi sita sita akizungumza baada ya kupima uzito kwa mabondia hawo mratibu wa mpambano uho ambaye ni kocha wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa siku hiyo mchezo utaanza mapema ili kuwapa watu wengi fursa ya kuangalia mipambano hiyo mikali zitakazokuwa na michezo takribani minne ya utanguliza

mchezo uho wenyenia ya kukuza viwango vya mabondia nchini ili wapate uzoefu wa  mchezo kupigana mara kwa mara

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasishaThursday, August 20, 2015

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA

Na Mwandishi Wetu

MPAMBANO Mkali wa masumbwi unatar

ajiwa kufanyika agost 22 katika viwanja vya shule ya uhuru wasichana kariakoo Dar es salaam akizungumzia mpampambo uho kocha  wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema kuwa siku hiyo kutakuwa na mipambano mikali ya kumaliza ubishi ambapo

Bondia bingwa wa Afrika Ibrahimu Class 'King Class mawe' atapambana na Ally Mulo wakati bondia anayechipukia kwa kasi ya ajabu nchini Vicent Mbilinyi atapambana na Kelvin Majiba wakati Raymond Mbwago atacheza na Roger Masawe uku Husein Pendeza atapambana naShomari Mirundi mipambano yote hiyo itakuwa ni ya raundi sita sita kwa ajili ya kuongeza ufanisi wa mabondia pamoja na kuwaweka bize kila  wakati kwa ajili ya mashindano mbalimbali

Super D aliongeza kwa kusema anaomba  sapoti kwa  wadau mbalimbali kufanikisha mpambano uho mkali wa masumbwi utakaofanyika Agost 22 katika uwanja wa shule ya Uhuru Wasichana ambapo mabondia wote watapima uzito siku ya ijumaa pale kariakoo mtaa wa ndanda tawi la Yanga Bomba saa nne asubui kwa ajili ya mpambano uho siku ya jumamosi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

TANGAZO TANGAZO TANGAZO

TUNAKODISHA TREKTA.....

Kwa wale wakulima wenye ekari za kutosha maeneo kuanzia Kisemvule, Mkuranga, Mwarusembe, Kimanzichana ya Mkiu, Mkamba nk hadi maeneo ya Ikwiriri na Rufiji.... mkombozi kapatikana sasa. Ile hofu ya kulima kwa muda muafaka imepata jawabu!!
Tumeleta trekta linalofaa kupambana kwa kazi maeneo hayo, hili FORD 7500.
Bei zetu ni nzuri zipo baina ya Tshs. 40,000/= hadi 60,000/= kulingana na umbali.

Kwa mawasiliano:
1. 0787519910 na 0767519910... Tutakujibu kwa sms na whatsapp!
2. Email: moddyguyz@yahoo.com
 Sisi tupo Kimanzichana ya Mkwechembe; kama kilometa tatu kutoka Kimanzichana getini....
Wednesday, August 19, 2015

MABONDIA KUPIMA UZITO IJUMAA KUPIGANA JUMAMOSI KARIAKOO UHURU WASICHANA

MABONDIA Ibrahimu Class 'King Class Mawe' na Ally Mulo watapima uzito siku ya ijumaa kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi utakaofanyika katika viwanja vya basketball vilivyopo katika shule ya uhuru wasichana Kariakoo Dar es salaam

akizungumzia mpambano uho mratibu ambaye pia ni kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' amesema mabondia hawo watapima uzito siku ya ijumaa sdaa tatu asubui kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika jumamosi agost 22

mbali na mabondia hawo mabondia wengine watakao oneshana kazi siku hiyo ni kelvin Majiba atakaepambana na Vicent Mbilinyi wakati Husein Pendeza akioneshana umwamba na Shomari Mirundi na Raymond Mbwago atazidunda na Roger Masawe na mapambano mengine mengi ya mabondia chipkizi

mabondia hawo watapima uzito katika tawi la mashabiki wa yanga bomba lililopo mtaa wa ndanda Kariakoo na mpambano wao kufanyika siku ya jumamosi kuanzia saa kumi na mwisho kabisa itakuwa saa kumi na mbili jioni ili kila mtu afurahie ngimi izo zitakazochezwa mapema na kumalizika mapema kabisa katika siku hiyo
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha
Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

Copy the BEST Traders and Make Money (One Click) : http://ow.ly/KNICZ

Friday, August 14, 2015

IBRAHIMU CLASS 'KING CLASS MAWE' NA VICENTI MBILINYI KUWAKABILI WAPINZANI WAO AGOST 22

Bondia  bingwa wa Afrika wa mikanda miwili WPBF na UBO Afrika Ibrahimu Class 'King Class Mawe'anapanda tena uringoni kwa mara nyingine kukabiliana na Ally Muro katika mpambano wake  wa kumaliza ubishi nani zaidi kati ya mabondia hawo utakaofanyika katika viwanja vya basketball vilivyopo katikashule ya msingi Uhuru Wasichana Kariakoo Dar es salaam

bondia huyo mwenye historia ya kucheza machezo mzuri wa masumbwi misri ya mfalme wa ngumi duniani Mohamed Ali amekuwa kivutio kikubwa nchini ambapo mashabiki wengi wamekuwa wakimulizia kuwa anacheza lini hata hivyo jibu limepatikana kuwa anacheza agost 22 katika viwanja vya shule ya Uhuru wasichana

katika mpambano uho watasindikizwa na bondia machachali anaechipukia kwa sasa Vicent Mbilinyi atakayemenyana na Kelvin Majiba wakati Raymond Mbwago atacheza na Roger Masawe wakati Husein Pendeza atamalizana ubishi na Shomari Mirundi mipambano yote hiyo ni ya raundi sita

 lengo likiwa ni kuwashulisha mabondia wafanye kazi yao ya ngumi na kufanya mazoezi kila wakati ili mabondia hawo wapate chachu na changamoto za mchezo kila wakati ili waweze kupata mapambano makubwa ambaya yatawapeleka mbali zaidi kimchezo ambapo michezo yote itakayochezwa siku hiyo itawekwa katika madaraja mbalimbali ya viwango vya mabondia boxrec
Lengo  kubwa la mchezo huo ni kumpongeza Lulu Kayage bondia pekee wa kike katika ngumi za kulipwa aliyethubutu kuonesha uwezo wake akiwa ugenini na kumpiga kwa T.K.O ya raundi ya pili bondia wa Afrika ya kusini Lizbeth Sivhaga na ndie atakaekuwa mgeni wa heshima katika mapambano hayo

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

Sunday, August 9, 2015

BONDIA LULU KAYAGE AIBUKA KIDEDEA AFRIKA YA KUSINI

BONDIA wa Kike Lulu Kayage mwishoni mwa wiki iliyopita alibuka kidedea nchini Afrika ya kusini baada ya kumdunda vibada   Lizbeth Sivhaga wa nchini humu
huu ni mpambano wake wa kwanza Lulu kucheza nje ya nchi na kufanikiwa kushinda kwa T.K.O ya raundi ya pili mchezo uho ulioanza kwa kasi ya mashambulizi ya uku na kule kila mmoja kutaka kumpiga mwenzie raundi za awali

ata hivyo ilivyofika raundi ya pili bondia Lulu Kayage alimwelemea sana mpinzani wake kwa makonde mfululizo na wasaidizi wake kumuokoa kwa kumtupia taulo hivyo kusababisha Lulu kushinda T.K.O ya raundi ya pili

ushindi wa Llulu Kayage ulichagizwa na kocha maarufunchini Rajabu Mhamila 'Super D' ambapo siki mbili kabla ya kuondoka nchini alimzawadia vifaa mbalimbali vya mchezo wa masumbwi na kumwaidi ushindi kwa asilimia zote

bondia huyo anatarajia kurudi nchini agost 11 kwa ajili ya maandalizi ya mapambano yake mengine ya kimataifa wakati uho uho bondia Ramadhani Shauri amepoteza mpambano wake kwa kupigwa K.O ya raundi ya nne na bondia mzoefu Philip Ndlovu wa Afrika ya Kusini ambapo mpambano uho wa raundi nane ulijikuta ukisha katika raundi ya nne


Bondia Lulu Kkayage akiwashukuru mashabiki walio udhulia kwa kuwapigia magoti na kuwapungia mikono baada ya kumchakaza bondia Lizbeth Sivhaga wa Afrika ya Kusini mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS

Refarii akiwa katikati uku akiwashika mikono mabondia Llulu Kayage na Lizbeth Sivhaga wa Afrika kusini kwa ajili ya kutangaza mshindi Lulu alishinda kwa TKO ya raundi ya pili kushoto ni Yassini Abdallah
Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' akimnyoosha mkono juu bondia Lulu Kayage baada ya kuibuka mshindi
Yassin Abdallah 'Ostadh' akimwinua juu mkono baada ya kushinda kwa T.K.O ya raundi ya pili

Saturday, August 8, 2015

MABONDIA LULU KAYAGE NA RAMADHANI SHAURI WAPIMA UZITO

Bondia lulu KayaGE AKIWA NA WAPENZI WA NGUMI aFRIKA YA kUSINI
Wakifuraia kwa pamnoja
 Mabondia Lulu Kayage kushoto Yasini Abdballa na Ramadhani Shauri
LULU KAYAGE NA RAMADHANI SHAURI WATUA AFRIKA YA KUSINI KWA AJILI YA KUPAMBANA AGOST 9

 Mabondia Lulu Kayage kushoto na Ramadani Shauri katikati wakiwa katika picha ya pamoja na Promota wao Afrika ya kusini mara baada ya kushuka katika ndege mwingine ni rais wa TPBO Yasini Abdallah
MABONDIA LULU KAYAGE NA RAMADHANI SHAURI WAKIPOKELEWA NA WENYEJI WAO

PROMOTA AKIPEANA MIKONO NA MABONDIA BAADA YA KUWAPOKEA UWANJA WA NDEGE AFRIKA YA KUSINI

Friday, August 7, 2015

MABONDIA RAMA SHAURI NA LULU KAYAGE WAPAA AFRIKA YA KUSINI

Rais wa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' katikati akiwa na mabondia Lulu Kayage kulia na Ramadhani Shauri wakienda kupanda ndege kwenda afrika ya kusini mabondia hawo wanapanda uringoni agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Othadhi katikati akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa na mabondia Ramadhan Shauri kushoto na Lulu Kayage kabla awajapaa kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS
BONDIA LULU KAYAGE

MABONDIA WAKIWA NA WADAU MBALIMBALI WA MASUMBWI KABLA YA KUPAA AFRIKA YA KUSINI KWA AJILI YA MCHEZO WAO WA AGOST 9


Bondia Lulu Kayage kulia  akihakiki nyalaka zake za kusafiria kushoto ni mshauri wake wa karibu Hamisi Berege kutoka kambi ya mchezo wa ngumi Ilala Lulu amenda Afrika ya kusini kwa ajili ya mpambano wake wa Agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Othadhi katikati akingia katika uwanja wa kimataifa wa ndege wa julius nyerere kwa ajili ya safari pamoja na mabondia Lulu Kayage kushoto na Ramadhani Shauri mabondia
kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS
Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO Yassin Abdallah Othadhi katikati akiwa uwanja wa ndege wa kimataifa na mabondia Ramadhan Shauri kushoto na Lulu Kayage kabla awajapaa kwenda afrika ya kusini kwa ajili ya mchezo wao utakaopigwa agost 9 Picha na SUPER D BOXING NEWS