Tangazo

Pages

Saturday, July 25, 2015

NGUMI KUPIGWA TENA VIJANA KINONDONI

B0NDIA Mbena Rajabu atapanda tena uringoni kuzidunda na Twaribu Mchanjo mpambano utakaofanyika Septemba 6 katika ukumbi w
a Vijana Kinondoni kugombania ubingwa wa Taifa wa uzito wa kg 57

mpambano uho unaoratibiwa na Ibrahimu Kamwe utakuwa na mapambano mengine ya utangulizi yatakayowakutanisha mabondia mbalimbali nchini ambapo bondia Abdallah Pazi atazidunda na Ambokile Chusa na Georger Alen wa Muheza Tanga atazipiga na Mwinyi Mmzengela  wakati Epson John wa Morogoro atazidunda na Mohamed Alkaida 

Kamwe aliongeza kwa kusema mpambano uho ameuandaa kwa kuakikisha wanakuwa na mabondia wengi ambao watakuwa mabingwa na kuwakilisha nchi katika mapambano mbalimbali ya kitaifa na kimataifa


Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vileFloyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengipia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

Wednesday, July 22, 2015

MBILINYI ALIVYOPAMBANA NA HONGO

Bondia Khalidi Hongo kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mmbilinyi wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mwishoni mwa wiki iliyopita mpambano uho ulimalizika kwa kutoka sare Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mmbilinyi kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalidi Hongo wakati wa mpambano wao uliofanyika Bagamoyo mwishoni mwa wiki iliyopita mpambano uho ulimalizika kwa kutoka sare Picha na SUPER D BOXING NEWS

Friday, July 17, 2015

MABONDIA WA KIKE KUZIDUNDA KESHO


Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Mwanne Haji kushoto na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika sikukuu ya Iddi Mosi katika ukumbi wa Frends Corner  Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Mmwanne Haji kushoto na Lulu Kayage wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya Iddi Mosi Katika ukumbi wa Frends Ccorner Manzese Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji

Promota Stamili Mmtengwa katikati akiwainuwa juu mabondia Habibu Pengo kushoto na Yonas Segu

Bondia Mwanne Hhaji akipimwa Afya na Dokta Mmixchael Midadi

Bondia Lulu Kayage akipimwa na Ddokta Michael Madadidi kwa ajili ya mpambano wake na mwanne Haji

Monday, July 13, 2015

MABONDIA WA KIKE KUMALIZA UBISHI SIKU YA IDDI MOSI KATIKA UKUMBI WA FRENDS CORNER MANZESE DAR
Na Mwandishi Wetu

 MABONDIA wa kike kupanda uringoni siku ya Iddi Mosi katika ukumbi wa frends corner Manzese Dar es Salaam mambondia hawo ni Lulu Kayage ambaye atavaana na Mwanne Haji katika mpambano wao wa raundi sita uzito wa kg 49 

Mratibu wa mpambano uho Dikumbwaya Mtengwa siku hiyo pia kutakuwa na ngumi kazi za wanaume wa shoka alisema bondia

Yonas Segu atapambana na Habibu Pengo mpambano wa raundi nane uzito wa kg 63 na  Nassibu Ramadhani Kudura Omar mpambano wa kg 53 raundi sita wakati Shadrack Juma atakabiliana na Bakari Ostadhi 
mbali na mipambano hiyo ya ngumi pia kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo ambatana na sherehe ya sikukuu ya Iddi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha

BONDIA MOHAMED MATUMLA KUMVAA KOBA DONATI IDI PILI BAGAMOYO


Na Mwandishi Wetu

BONDIA Mohamed Matumla anatalajia kupanda tena uringoni siku ya Idi pili katika ukumbi wa TASUBA uliopo Bagamoyo Mkoa wa Pwani kupambana na Koba Nodat katika uzito wa KG 57 mpambano wa raundi sita Matmla anapambana mpambano uho baada ya mpambano wake wa mwisho kumtwanga Mchina kwa point

mratibu na promota wa mpambano uho Muhsin Sharif amesema amesema mbali na mpambano uho kutakuwa na mapambano mengine ya utangulizi litawakutanisha bondia Iddi Pialali kutoka Kiwangwa Bagamoyo na Mesharck Mwankemwa kutoka Mbeya mpambano wa raundi nane kg 66 wakati bondia machachari katika tasnia ya mchezo wa masumbwi nchini Vicent Mbilinyi atavaana na Khalidi Hongo mpambano wa raundi nne wakati Twalibu Tuwa atavaana na Sudi Sudi

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha