Bondia Imani Daudi Mapambano kushoto akitunishiana misuli na Japhert Kaseba baada ya kusaini kuzipiga Novemba 28 Dar es salaam
Bondia Swalehe Mkalekwa kushoto na Ramadhani Shauli wakitunishiana misuli baada ya kusaini mkataba wa kuzipiga Novemba 28 katika ukumbi wa Next Door uliopo Masaki Dar es salaam
Mratibu wa mpambano wa masumbwi Amosi Nkondo 'Amoma' katikati akiwainuwa mikono juu mabondia Paul Kamata kushoto na Kanda Kabongo
Bondia Paul Kamata kushoto akitunishiana misuli na Kanda Kabongo baada ya kusaini mkataba |