Tangazo

Pages

Thursday, August 29, 2013

MABONDIA WAPIMA UZITO KWA AJILI YA KUPAMBANA AUGOST 30 IJUMAA HII

Bondia Thomasi Mashali kushoto akitunishiana misuli na Mada Maugo wakati wa upimaji wa uzito kwa ajili ya Mpambano wao wa ubingwa wa WBF Africa utakaofanyika katika ukumbi wa Diamondi Jublee Dar es salaam Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mdau wa Mchezo wa masumbwi ambaye pia ni Promota wa mchezo wa ngumi nchini Mohamedi Bawaziri Katikati akiwa na Mgeni rasmi katika pambano la Kimataifa wa Ubingwa wa WBF, Bondia bingwa wa Dunia wa Uzito wa Juu Zamani, Francois Botha 'White Buffalo' (wa pili kushoto) na Rais wa World Boxing Federation ,Howard Goldbeg

Mabondia Fransic Cheka na Phil Williams wa Marekani

No comments:

Post a Comment