Tangazo

Pages

Monday, August 8, 2011

TIMU ZA RIDHAA, NGUMI WARAMBA MILIONI TATU TATU TOKA KWA NSSF

Kaimu Meneja Uhusiano na Huduma kwa Wateja wa Mfuko wa Taifa wa Hifadhi ya Jamii NSSF, juma Kintu  (katikati) akimkabidhi milioni tatu kwa Katibu wa Shilikisho la ngumi za Ridhaa BFT , Makore Mashaga kwa ajili ya kujiandaa na mashindano ya all Afrika Gem kulia ni Katibu wa mchezo wa Ridhaa Selemani Nyambui
  1.  Selemani Nyambui akiwa na kitita hicho leoo
 Makore Mashaga akiwa ameshikilia kitita baada ya kukabidhiwa

No comments:

Post a Comment