bondia wa ngumi za kulipwa kutoka kyela mkoani mbeyaMAISHA SAMSON
ameahidi kumtwanga mpinzani wake THOMAS
MASHALI kwa knock-out ya raundi ya 9 ktk pambano lao litakalo fanyika tarehe 24-06-2012 katika ukumbi wa FRIENDs- CORNER ulioko jijini dar-es-salaam.
MASHALI kwa knock-out ya raundi ya 9 ktk pambano lao litakalo fanyika tarehe 24-06-2012 katika ukumbi wa FRIENDs- CORNER ulioko jijini dar-es-salaam.
ktk pambano hilo la raundi 10 thomas mashali atakuwa anatetea
ubingwa wake wa taifa unaotambuliwa na oganaizesheni ya ngumi za kulipwa
nchini tanzania chini ya rais wake YASSIN ABDALLAH -USTAADH.
Mabondia hao watapigana ktk uzito wa kati [middle kilo 72.5 .maisha
amesema anasikia sana sifa za mashali anayejiita SIMBA ASIYEFUGIKA,lkn
ajuwe siku ya pambano atamuonesha kazi ngumu na akamtaka mashali awe
mvumilivu ulingoni kwani yeye ni tofauti na ambao mashawahi kuwapiga.
nina mapambano 8 ambayo sijapigwa hata pambano moja na nimepigana
na mabondia wajeuji zaidi ya THOMAS MASSHALI ,na wanatoka nchi za malawi
,zambia na namibia ,hivyo siona sababu kwa nini nishindwe kumpiga
THOMAS MASHALI na kumpora mkanda wake na kurudi nao kyela [mbeya]
alijigamba bondia huyo kutoka mkoani mbeya.
kwa kumalizia nawataka wazawa wa mkoa wa mbeya waishio
dar-es-salaam wafike kwa wingi siku hiyo ya pambano kushuhudia kiyama
nitakachomshushia THOAS MASHALI. Alimliza kusema maisha samsom.
mabondia wa ngumi za kulipwa tarehe 30-06-2012 ktk ukumbi wa
community center watapambana na mabondia kutoka dar-es-salaam katika
pambano lenye lengo la kumuenzi bondia magoma shabaani aliyfariki dunia
hivi karibuni.promota wa pambano hilo ndg ally mwazoa amesema sehemu ya
mapato hayo yataisaidia familia ya magoma shabani.
na hii ni ratiba ya kuendelea na siyo ya muda ,tutajitahidi kufanya
hivyo kila baada ya miezi 6 kwani magoma ameacha familia ambayo ilikuwa
inamtegemea hivyo ni wajibu wetu sisi familia ya ngumi za kulipwa
tendelee kuwa pamoja na familia yake.
hivyo ninawataka wapenzi wa masumbwi na wapenzi wa magoma shabani
kujitokeza kwa wingi siku hiyo kwa ajili ya kufanikisha lengo la
mapambano haya
mapambano haya yatasimamiwa na TPBO
Mbali na kuwepo mapambano ya ngumi kutakuwa na uuzwaji wa DVD zenye
mapambano ya mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywherth,
Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis na wengine kiba DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya
juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super
D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa
ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D .
--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D .
--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania
No comments:
Post a Comment