Katika Mchezo huo kutakua na DVD Mpya kabisa za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja
na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha
wa mchezo huo mkoa wa kimichezo wa Ilala Rajabu Mhamila 'Super D' kwa
ajili
ya kuwapa mambondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua
sheria za masumbwi.Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny
Paquaio, Amiri
Khani,
Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na
matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa
dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa
Bondia Francis Miyayusho atapanda ulingoni kuzidunda na Nassibu Ramadhani siku ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublie akizungumza na waandishi wa habari Dar es salaam lao Msemaji wa mpambano huo Yasini Abbdallah amesema kuwa kwa sasa mapromota wanangalia kuamasisha ngumi kwa vijana kwani ndio wenye uwezo wa kucheza kwa mda mrefu kuliko kupigiana kelele na mabondia waliopoteza muelekeo katika masumbwa katika mpambano huo kutakuwa na mpambano mwingine wa ubingwa wa I.B.F Africa uzito wa Feather ambapo watapigana bondia kutoka Tanzania Ramadhani Shauli na Sande Kizito wa Uganda mbali na mipambano hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali kutoka kwa wasanii nchini
No comments:
Post a Comment