BONDIA Timothy Bradley AMDUNDA Manny Pacquiao KWA POINT
BONDIA Timothy Bradley akimshambulia kwa makonde Manny Pacquiao wakati wa mpambano wao uliofanyika Katika ukumbi wa MGM
Ngumi mawe masumbwi mfululizo
Bondia
Timotheo Bradley akinyoshwa mkono juu baada ya kumdunda bondia Manny Paquaio usiku wa kuamkia leo kwa point
No comments:
Post a Comment