Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Bonifasi Cheka kushoto akizungumzxa
na waandishi wa habari Dar es salaam lkeo kuusu mpambano wa mwanae
utakaofanyika siku ya sabasaba kulia ni
Baba wa bondia Japhert Kaseba, Josepher Kaseba wa pili kushoto ni
meneja matukio wa Dar Live na Promota wa Mpambano huo Kaike Silaju.Picha
na www.superdboxingcoach.
Baba wa bondia Japhert Kaseba, Josepher Kaseba kushoto akipeana mkono
na
Baba Mzazi wa bondia Fransic Cheka , Bonifasi Cheka wakati walipokuwa
wakizungumza na waandishi wa Habari Dar es salaam leo kwa ajili ya
kutangaza mpambano wa watoto waoi utakaofanyika siku ya Saba saba.Picha
na www.superdboxingcoach. blogspot.com
Taifa. Picha na www.superdboxingcoach.
No comments:
Post a Comment