Tangazo

Pages

Thursday, June 7, 2012

SUPER D KUSAMBAZA DVD ZA NGUMI KATIKA MPAMBANO WA NASIBU RAMADHAN V/S FADHILI MAJIA 9/6/2012


uwa ulinzi na
usalama utakuwa wa hali ya juu na sehemu ya kuegesheaFADHILI MAJIA(pichani) ANAMKABILI NASIBU RAMADHAN katika pambano la
ubingwa wa WBO la raundi kumi azito wa fly weight,siku ya jumamosi
9/06/2012 katika ukumbi wa friends corner
hotel-manzese.nikilizungumzia pambano hilo mimi katibu mkuu wa
T.P.B.O. IBRAHIM KAMWE”BigRight” ambao ndio wasimamizi wa pambano hilo
ni kuwa maandalizi yote yamekwisha kamilika na mabondia wote wapo
katika hali ya morali wa kulisubiria pambano kwa hamu kubwa sana.siku
hiyo pia kutakuwepo na mapambano kadhaa ya utangulizi kama vile
ABDALLAH MOHD’prince naseem’ ataminyana na YOHANA MATHAYO, JUMA FUNDI
na SHABAN MADILU, VENANCE MPONJI na JONAS GODFREY na mapambano
mengineyo mengi,pia sisi kama TPBO tumejipanga vizuri tukiwa na marefa
na majaji wenye uzoefu na ngumi, siku zote huwa tunasimamia mchezo kwa
haki na kufuata sheria na taratibu za ngumi hakuna upendeleo wa upande
wowote.hivyo tunawaomba mje kwa wingi kutizama ngumi zenye ufundi wa
hali ya juu na ushindani mkubwa,mimi ibrahim kamwe nimehakikishiwa na
promota kaike na kunionesha vielelezo vyote vya polisi k magari ipo ya
usalama Mbali na kuwepo mapambano ya ngumi kutakuwa na uuzwaji wa DVD zenye mapambano ya mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywherth, Roy Jones,Miguel Cotto,Linox Lewis na wengine kiba DVD hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu zitakuwa zikiuzwa kwenye mpambano huo na Kocha wa Kimataifa wa mchezo huo. Rajabu Mhamila ‘Super D’, alisema kuwa kutakuwa na DVD ili kuweza kuwauzia mashabiki kwa ajili ya kujifunza Kanuni na Sheria za mchezo huo.
“Ninatarajia kuwepo kwa ajili ya kuwauzia DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika Mpambano  ili kuweza kujifunza mambo mbalimbali ikiwa ni pamoja na sheria za mchezo wa ngumi”, alisema Super D
.

--
Super D Boxing Coach
Email.superdboxingcoach@gmail.com
www.burudan.blogspot.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Mob;+255787 406938
        +255774406938
        Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments:

Post a Comment