Tangazo

Pages

Tuesday, May 1, 2012

MAYWETHER VS COTTO KUZIPIGA MAY 5

Bingwa wa Dunia mchezo wa masumbwi Duniani Floyd Mayweather juzi alifanya mazoezi hadharani mbele ya waandishi wa habari ikiwa na maandalizi yake ya mwisho kabla ajakumbana na bondia Miguel Cotto may 5 mwaka huu Mayweather mwenye histori ya kutopoteza ata pambano moja duniani atakambana na bondia mweye histolia ya kuwa mbishi wa kupigwa kiraisi ingawa ameshapoteza mapambano yake mawili moja ikiwa na bingwa wa Dunia na ni Mbunge wa Filipino Manny Paquaio na Antonio Marilarito mbali ya kupigwa na maligalito mara ya kwanza mara yapili alilipa kisasi na kumshinda kwa K,O ya raundi ya kumi hivyo kufanya mpambano wake ma Maywether kuwa mgumu kwani si wakutabilika wapenzi wa mchezo wa masumbwi duniani wanalisubili kwa hamu kubwa mpambano huo kuwa wa histolia ya pekee pindi watakapo kutana jumamosi hii

No comments:

Post a Comment