Tangazo

Pages

Wednesday, May 9, 2012

BONDIA SELEMANI KIDUNDA AFUZU KUSHIRIKI MASHINDANO YA OLIMPIKI


 Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akipa mkono bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpik yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
Makamu Mwenyekiti wa chama cha ngumi za ridhaa nchini Michael Changalawe akitoa nasaa zake kwa mabondia wa timu ya Taifa  wakati wa kumpongeza  bondia Selemani Kidunda baada ya kufuzu katika mashindano ya Olimpik yanayotarajia kufanyika hivi karibuni.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha David Yombayomba kushoto akimpongeza bondia Selemani Kidunda wakati wa kumpongeza baada ya kufuzu mashindano ya Olipiki yanayotarajia kufanyika hivyi karibuni
Baadhi ya mabondia,viongozi na makocha wakiwa wameweka mikono kwa pamoja kwa ajili ya kumuombea dua bondia Selemani Kidunda atakaewakilisha Taifa katika Mashindano ya Olimpiki

No comments:

Post a Comment