Tangazo

Pages

Monday, September 17, 2012

MASHINDANO YA TAIFA YA NGUMI YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo Hussein Khasim akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia wa Timu ya Mkoa wa Ilala Kimichezo  Shabani Kaoneka akipima uzito kwa ajili ya mashindano ya taifa wa mchezo wa masumbwi yaliyoanza leo katika uwanja wa ndani wa taifa katikati ni mwalimu msaidizi wa timu hiyo Juma Mwalimu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment