Tangazo

Pages

Thursday, October 4, 2012

RAIS WA IBF AZITEMBELEA OFISI ZA DHL DAR-ES-SALAAM!





Kampuni ya kusafirisha vifurushi ya DHL inatoa punguzo kwa kusafirisha vifurushi katika promosheni yake inayoendlea sasa!
Hayo yalibainishwa wakati Rais wa IBF Afrika, Masharikiu ya Kati, Ghuba ya Uarabu na Uajemi Onesmo Alfred McBride Ngowi alipotembelea ofisi zao leo katuka jingo la Peugeot . jijini Dar-Es-Salaam na kupiga picha na wafanyakazi wa DHL. 
Ngowi ambaye pia ni Mkurugenzi wa Baraza la Ngumi la Jumuiya ya Madola (CBC), Rais wa Shirikisho la Ngumi la Afrika ya Mashariki na Kati (ECAPBA) na Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania (TPBC) alifurahiswa sana na huduma wanazotoa DHL na kuwahimiza wafanyakazi wake waendelee na kutoa huduma hizo nzuri!

No comments:

Post a Comment