Tangazo

Pages

Tuesday, October 9, 2012

KOZI YA AWALI YA WAAMUZI WA NGUMI ZA RIDHAA





*Yah: KOZI YA AWALI YA WAAMUZI WA NGUMI ZA RIDHAA
 TAREHE 11-30/11/2012 DAR ES SALAAM.

Shirikisho la ngumi Tanzania BFT limeandaa kozi ya awali ya waamuzi wa ngumi.itakayofanyika Dar es salaam kwa tarehe hizo hapo juu.
SIFA ZA KUJIUNGA NA KOZI: Awe mpenzi wa ngumi.
Elimu ya kuanzia darasa la saba na kuendelea na awe anajua kusoma na kuandika vema lugha ya Kiswahili na kingereza.
Kama ni mchezaji wa ngumi awe ameacha kucheza kwa sababu yoyote na hataruhusiwa kucheza tena ngumi kwa mashindano kama mchezaji.
Awe raia wa Tanzania

No comments:

Post a Comment