Tangazo

Pages

Tuesday, October 2, 2012

CHEKA APOKEWA KISHUJAA MKOANI MOROGORO BAADA YA KUMTWANGA NYILAWILA



Bingwa wa Mabara bondia Francis Cheka akiwa na mikanda yake minne ya ICB, IBF, WBC na UBO mara baada ya kuwasili mjini Morogoro leo akitokea Dar es Salaam alikopanda ulingoni kupambana na bondia Karama Nyilawila. (Picha na Joseph Malembeka).

No comments:

Post a Comment