Tangazo

Pages

Wednesday, October 3, 2012

MAKONDE BEACH RESOLT MTWARA KUWAKA MOTO OCTOBER 28


hili ni tangazo la tamasha la kimataifa la ngumi litakalofanyika mkoani mtwara ktk ukumbi wa MAKONDE BEACH RESOLT .

tamasha hilo litasimamiwa na ORGANAIZESHENI YA NGUMI ZA KULIPWA TANZANAI ---TPBO, na maandalizi ya tamasha hilo yanaendelea vizuri sana na bondia patrick amote kutoka kenya anatarajiwa kuwasili nchini tanzania tarehe 23-10-2012 tayari kuanza safari ya kuelekea mkoani MTWARA tarehe 24 -10 -2012.

                             imeletwa kwako na yassin abdallah -ustaadh

                              


          RAIS -TPBO

No comments:

Post a Comment