Tangazo

Pages

Sunday, August 31, 2014

BONDIA IMANI DAUD AMSAMBALATISHA HAMADUU MWALIMU KWA POINT

Bondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa Daud alishinda kwa point www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Nobel Syrvesta kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Nobel alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Friday, August 29, 2014

BONDIA THOMAS MASHALI KUMKABILA HENRY WANDERA WA KENYA OKTOBA 4 TANDALE

 Bondia Thomas Mashali katikati akisaini mkataba wa kucheza na Henry Wandera kutoka Kenya oktoba 4 katika ukumbi wa New Madiba 'Korini' uliopo Tandale Dar es salaam wanaoshudia kushoto ni Raisi wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO, Yassini Abdallah 'Ostadhi' na promota wa mpambano huo Khamis Ally picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
 Rais wa TPBO Yassin Abdala akiandika mkataba wa bondia Thomas Mashali katikati atakaepambana na mkenya Henry Wandera oktoba 4 katika ukumbi wa New Madiba 'Korini' uliopo Tandale Dar es salaam kulia ni  promota wa mpambano huo Khamis Ally picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Thomas Mashali katikati akisaini mkataba wa kucheza na Henry Wandera kutoka Kenya oktoba 4 katika ukumbi wa New Madiba 'Korini' uliopo Tandale Dar es salaam wanaoshudia kushoto ni Raisi wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBO, Yassini Abdallah 'Ostadhi' na promota wa mpambano huo Khamis Ally picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Na Mwandishi Wetu

BONDIA Thomas Mashali 'Simba asiyefugika' anatarajia kupanda uringoni tena  oktoba 4 mwaka huu kumvaa mkenya Henry Wandera mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa New Madiba zamani Korini

Mashali anapigana uku akiwa na historia ya kupoteza mpambano wake wa mwisho zidi ya bondia Mada Maugo ambapo walicheza katika uwanja wa taifa na kupoteza kwa point mpambano huo

akizungumzia mpambano huo Mashali amesema atokubali kupoteza tena mchezo huuo ukizingatia anachezea nyumbani kwao alopozaliwa na ndipo alipoanzia ngumi maeneo ya Tandale hivyo sito kubali niaibike mbele ya ndugu zangu hivyo nawambia wapenzi waje kwa wingi kuangalia mashali anavyofanya kazi yake ya mchezo wa masumbwi

nae promota wa mpambano huo Khamis Ally amewahakikishia kuwa sehemu ya parkingi ni kubwa na ulinzi ni wa kutosha kifupi katika ulinzi tumejipanga vizuri pia siku hiyo kutakuwa na mapambano mengine mazuri ya utangulizi ambapo mabondia wengi wamejitokeza kucheza siku hiyo

siku hiyo pia kutakuwa na huuzwaji wa 
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.

Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi Duniani
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi

Wednesday, August 27, 2014

Meet the African base in Germany Female Boxer Bintou Yawa Schmill a.k.a " The Voice"

 Meet the African German based Female Boxer Bintou Yawa Schmill also known as "The Voice"

Female Boxer Bintou Schmill "The VOICE" will fight on the ring on
26.September 2014 ,time 18.00 hour in Stadthalle/ Saalbau Frankfurt-Nied, in Germany
 
 African ladies are otherwise known for other things than Boxing, except for this one who is changing and making the story looks different.
Ms.Bintou Yawa Schmill, 29 years young, a totally black African breed  1.71m, Togo born and based in Germany, started her boxing career at a tender age. Something she did as an Amature has become a success story. She wickedly punched competitors, messlessly and won 24 fights ,and 2 draw in the category welterweight -64Kg.
Her fingerprint show her since 2007, to have been a professional boxer with unbeatable record of 4 fights, 4wins in a package including 3 K. O
Her case study is exceptional, she has not only broken the gender rule, she’s representing the African continent in a Boxing ring , punching evil out the brains of her competitors, Bintou is the Lioness that roars and the Lions make a way. Now she´s back on stage, live and ready for a face2face catch, one on one.
Any brave hearted out there to sponsor and make a name with Bintou? Bintou needs you to make it happen… a man is a man because of another man –UBUNTU
For more information write to
 Africans support your children and make them proud NOW! http://www.youtube.com/watch?feature=player_embedded&v=iEmjbWJr

MABONDIA CHEKA NA SHAURI KUZIPIGA AUGOST 30 JAMUHURI MOROGORO

Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli
  Na Mwandishi Wetu

Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka watazipiga tena mwishoni mwa mwezi huu Augost 30 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro akizungumzia mpambano huo bondia Shauri amesema kuwa yupo fiti ingawa katika mechi yake ya mwisho aliyocheza nje ya nchi alipa cuting katika jicho la kulia ata hivya ata hakikisha anafanya vizuri katika mpambano huo

utakaofanyika Morogoro nae mratibu wa mpambano huo Kaike Siraju amesema maandalizi yote ya mpambano huo yameshakamilika kinachosubiliwa ni siku tu ya mpambano huo tu aliongeza kuwa katika mpambano huo kutakuwa na mapambano ya utangulizi yatakayowakutanisha mabondia 

Twaha Kiduku atakaezipiga na Deo Njiku wakati Juma fundi atazipiga na Epson John na mapambano merngine ya utangulizi

siku hiyo pia kutakuwa na huuzwaji wa 
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.

Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi Duniani
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi

Monday, August 25, 2014

Mshindi kati ya Muddy matumla vs Nassibu Ramadhani atapambana na Francis miyeyusho kuwania ubingwa wa dunia WPBF

Bondia Mohamed Matumla kushoto akipambana na Nassibu Ramadhani   mpambano wao wa kwanza alishinda Matumla

MSHINDI wa mpambano wa September 27 kati ya Mohamed Matumla na Nassibu Ramadhani atamvaa bondia Mshindi kati ya Muddy matumla vs Nassibu Ramadhani atapambana na Francis miyeyusho kuwania ubingwa wa dunia WPBF

mpambano utakaofanyika nchini kwa ajili ya kugombania ubingwa uho baada ya mpambano wa Matumla na Nasibu kupatikana mshindi

Miguel Cotto ordered to defend WBC title against Golovkin vs. Rubio winner

By Cameron Gillon: The WBC have officially ordered that their middleweight champion Miguel Cotto defend his newly won title against the winner of October’s middleweight clash between IBO/WBA middleweight champion Gennady ‘GGG’ Golovkin and Marco Antonio Rubio.
 miguel cotto marco antonio rubio gennady golovkin This is a good call from the WBC as Cotto is not seen as a real middleweight. He won the title off of a injury prone and past his prime Sergio Martinez. Rubio currently holds the WBC interim title which means this title will be on the line in his fight against Golovkin also so if Golovkin wins he will become Cotto’s mandatory challenger

Wednesday, August 20, 2014

MABONDIA MOHAMED MATUMLA NA NASSIBU RAMADHANI KUZIDUNDA TENA SEPTEMBA 27 FRIENDS CORNER MANZESE

Bondia Mohamed Matumla kushoto na Nassibu Ramadhani wakitunishiana misuli 
Na Mwandishi Wetu
 MABONDIA Nassibu Ramadhani pamoja na Mohamed Matumla wameingia makubaliano ya kuzipiga kwa mara ya pili siku ya septemba 27 katika ukumbi wa

friends corner hotel manzese Dar es salaam

akizungumzia mpambano huo mratibu wake Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema mabondia hawo wamekubaliana na kusaini mkataba wa kuzipiga siku hiyo

ambapo mabondia hawo walikutana mara ya kwanza na bondia Mohamed Matumla alimshinda kwa point Nassibu Ramadhani hivyo kuufanya mchezo huu kuwa mgumu zaidi kwa Matumla kuendeleza kipigo au Ramadhani kurudisha kisasi

 katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na mapambano ya utangulizi

 bondia Issa omari atamkabili juma fundi.kg 53 raundi nane. na Sadiq momba vs Tasha mjuaji kg 59 raundi nane. wakati Juma mustafa atamkabili Bakari dunda kg 61 raundi sita. huku kina dada Lulu  Kayage akipambana na fatma yazidu.kg 51 raundi nne.

siku hiyo pia kutakuwa na huuzwaji wa 
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.

Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi Duniani
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi

MABONDIA CHEKA NA SHAURI KUZIPIGA AUGOST 30 JAMUHURI MOROGORO

Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka wakitunishiana misuli
  Na Mwandishi Wetu

Mabondia Ramadhani Shauri na Cosmas Cheka watazipiga tena mwishoni mwa mwezi huu Augost 30 katika uwanja wa Jamuhuri Morogoro akizungumzia mpambano huo bondia Shauri amesema kuwa yupo fiti ingawa katika mechi yake ya mwisho aliyocheza nje ya nchi alipa cuting katika jicho la kulia ata hivya ata hakikisha anafanya vizuri katika mpambano huo

utakaofanyika Morogoro nae mratibu wa mpambano huo Kaike Siraju amesema maandalizi yote ya mpambano huo yameshakamilika kinachosubiliwa ni siku tu ya mpambano huo tu aliongeza kuwa katika mpambano huo kutakuwa na mapambano ya utangulizi yatakayowakutanisha mabondia 

Twaha Kiduku atakaezipiga na Deo Njiku wakati Juma fundi atazipiga na Epson John na mapambano merngine ya utangulizi

siku hiyo pia kutakuwa na huuzwaji wa 
DVD ambazo zinatoa mwanga kwa mchezaji kujua mchezo na kufahamu zaidi mbinu mpya zitumiwazo na mataifa mbali mbali Duniani.

Wakiwemo mabondia bingwa wa dunia kama Manny Paquaio,Floyd Maywether,Amir Khani, Mohamed Ali ,Mike Tayson na wengine wengi wanaotamba na waliotamba katika mchezo huo wa masumbwi Duniani
kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' ametoa wito kwa makampuni mbalimbali kujitokeza kutoa sapoti ya mchezo wa masumbwi kwani ndio mchezo pekee unaoweza kututoa kimasomaso watanzania tukafurahi

Monday, August 18, 2014

KOCHA SUPER D AENDEREA KUMWAGA SUMU KWA VIJANA WA KAMBI YA ILALA

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akiwaelekeza mabondia jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'upcut'
wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala iliyopo  Amana CCM hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akimwelekeza bondia Lulu Kayage jinsi ya kupiga ngumi kwa kuingia ndani bila woga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akiwaelekeza mabondia wake jinsi ya kupiga ngumi yenye mkunjo wa chini 'Upcut'
wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akiwaelekeza jinsi ya mkao wa kupiga ngumi nzuri za mkunjo
wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'  kushoto akimwelekeza bondia Lulu Kayage jinsi ya kupangua ngumi kwa kuingia ndani bila woga wakati wa mazoezi yaliyofanyika katika kambi ya Ilala hivi karibuni picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Wednesday, August 13, 2014

Maidana and the best boxing revenge stories

Mayweather Maidana 2 Mayweather vs. Maidana 2  marcos rene maidana floyd mayweather jr By Gav Duthie: Marcos Maidana claims having fought Floyd Mayweather Jr already he knows what to do to get the win he craves. Maidana told (The Ring Magazine) “First I’m going to give him a beating and then, I’m going to knock him out”.
If Maidana can pull this off it would be one of the best revenge stories in boxing history. Marcos knows he is going to have to throw everything at Mayweather because he is unlikely to beat him on points. Barring the final few rounds Maidana was hugely competitive at every stage and doing enough to secure this rematch is an achievement in itself. Floyd has only given one rematch previously in his entire career when many thought Jose Luis Castillo had done enough to beat him. The rematch was again extremely close but Maidana doesn’t want to let his second chance slip through the net.

Read more at http://www.boxingnews24.com/page/3/#ALoM9IrvHCzuMpPW.99

Showtime Sports presents award-winning series “ALL ACCESS” in advance of “Mayhem: Mayweather vs. Maidana 2”

NEW YORK (Aug. 12, 2014) – SHOWTIME Sports will offer the latest edition of the award-winning original documentary series ALL ACCESS in advance of the SHOWTME PPV event “MAYHEM: Mayweather vs. Maidana 2,” the welterweight world championship rematch on Saturday, Sept. 13 from the MGM Grand Garden Arena in Las Vegas.
ALL ACCESS: Mayweather vs. Maidana 2 premieres Saturday, Aug. 30, on SHOWTIME at 9:30 p.m. ET/PT and will be immediately followed by a special Saturday installment of ShoBox: The New Generation.
ALL ACCESS gives viewers intimate and exclusive coverage as Floyd Mayweather and Marcos Maidana prepare for the most highly anticipated rematch in recent memory. Episode 1 reveals the aftermath of their thrilling first fight and takes viewers inside the minds of both fighters for what will be only the second rematch Mayweather, the undefeated 11-Time World Champion, has ever granted.

Read more at http://www.eastsideboxing.com/#gZARtGysQx8sxkQA.99

Monday, August 11, 2014

BONDIA JUMANNE MASHOMBO AMGALAGAZA SALUMU GUMBO KWA POINT

Bondia Jumanne Mashomba akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi na refarii Rajabu Mhamila 'Super D' baada ya kumpiga Salumu Gumbo kwa point
 Salumu Gumbo kushoto akipambana na Jumanne Mashombo wakati wa mchezo wao mashombo alishinda kwa point
 Jumanne Mashombo kushoto akipambana na Salumu Gumbo wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki Mashombo alishinda kwa point
 wakisubili matokeo

NGUMI ZILIVYOPIGWA MBAGALA

 Bondia Maulid Gogodigo kushoto akioneshana umwamba na Hassan Kidebe wakati wa mpambano wao uliofanyika Mbagala katika ukumbi wa Amenya Pub Kidebe alishinda kwa point mpambano huo picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Bondia Seleman Mkalakala  kushoto akipambana na Ibrahim Maokola wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa tpbc uliofanyika katika ukumbi wa amenya pub mbagala Maokola alishinda kwa K,o ya raundi ya nne katika mpambano huo picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Maokola akivalishwa mkanda na Habibu Kinyogoli
Maokola akishangilia baada ya kunyakua mkanda wa TPBC

Sunday, August 10, 2014

NGUMI ZILIVYOPIGWA MWANANYAMALA CCM MWIJUMA

Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fadhil Boika kushoto akipambana na Juma Biglee wakati wa mpambano wao Biglee alishinda kwa point mchezo uho picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabondia Fadhili Boika kushoto na Jyma Biglee wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumaliza mpambano wao
Bondia Abdallah Pazi kushoto akimshambulia kwa makonde Maneno Osward wakati wa mpambano wao uliofanyika mwananyamala  Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Maneno Osward kushoto akipambana na Abdallah Pazi wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa CCM Mwijuma mwananyamala Pazi alishinda kwa K,O ya raundi ya tatu picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Saturday, August 9, 2014

MABONDIA MANENO OSWARD NA ABDALLA PAZI WAPIMA UZITO KUZIPIGA KESHO JUMAPILI MWANANYAMALA CCM MWIJUMA

Mabondia Maneno Osward kushoto akitunishiana misuli na Abdallah Pazi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho jumapili katika ukumbi wa CCM Mwijuma Mwananyamala jijini Dar es salaam picha na WWW.SUPESDBOXINGCOACH.BLOGSPOT.COM
 bBondia Juma Biglee akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho
 Bondia Abdallah Pazi akipima uzito kushoto ni Maneno Osward

MADA MAUGO ALIPA KISASI CHA KUIPIGWA NA THOMASI MASHALI

Bondia Thomasi Mashali kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Maugo alishinda kwa point mpambano huo Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Said Memba kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Khalid Chokoraa wakati wa mpambano wao uliofanyika jana Chokoraa alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Khalid Chokora kushoto akilusha konde kwa saidi Memba wakati wa mpambano wao chokoraa alishinda kwa point
Bondia Thomas Mashali kulia akimrushia konde la mkono wa kulia bondia Mada Maugo wakati wa mpambano wao uliofanyika juzi katika uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam Maugo alishinda kwa point mpambano huo
picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mabondia Mada Maugo kushoto na Thomas Mashali wakipambana ulingoni