Tangazo

Pages

Sunday, August 31, 2014

BONDIA IMANI DAUD AMSAMBALATISHA HAMADUU MWALIMU KWA POINTBondia Imani Daud kushoto akipambana na Hamaduu Mwalimu wakati wa mchezo wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita tandika Dar es salaam Daud alishinda kwa pointi katika mpambano huo wa raundi sita picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Hamaduu Mwalimu akimrushia konde Imani Daud wakati wa mchezo wao uliofanyika Tandika Dar es salaa Daud alishinda kwa point www.superdboxingcoach.blogspot.com


Bondia Nobel Syrvesta kushoto akipambana na Bakari Dunda wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Nobel alishinda kwa point picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment