Tangazo

Pages

Friday, May 29, 2015

BONDIA FRANSIC CHEKA KUZIPIGA KESHO MAY 30 UKUMBI WA P.T.A SABASABA

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Francis Cheka kushoto na Kiatchai Singwancha wakitunishiana misuli baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya May 30 utakaofanyika katika ukumbi wa P.T.A sabasaba 
PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Selemani Zugo naq Twaha Kiduku wakitunishiana misuli

BONDIA JOSEPH SINKALA AKITUNISHIANA UBAVU NA IBRAHIMU MAOKOLA BAADA YA KUPIMA UZIDO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO W MEI 30 KATIKA UKUMBI WA P.T.A SABASABA PICHA NA SUPER D BOXING NEWS

BONDIA EPSON JOHN AKIPIMA UZITO

Friday, May 22, 2015

MABONDIA WAPIMA UZITO KUTWANGANA KESHO PANANDI PANANDI ILALA BUNGONI


Bondia Raymond Mbwago kutoka katika Super d Boxing Clab ya Uhuru Kariakoo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho katika ukumbi wa Panandi panandi Ilala kulia niu msimamizi kutoka katika kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Salim Mponda akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa kesho utakaofanyika katikas ukumbi wa panandi panandi ilala bungoni kulia ni Alli Bakari Champion ambaye ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi TPBC Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Ramadhani Maonya kutoka Super D Boxing Clab iliyopo Shule ya Uhuru Kariakoo akipim uzito kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa panandi panandi ilala Dar es salaam kulia ni msimamizi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa TPBC Ally Bakari Picha na SUPER D BOXING NEWS
Msimamizi wa marefarii wa mchezo wa masumbwi kutoka kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini TPBC Ally Bakari kushoto akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia Ramadhani Maonya kulia na Bilali Ngonyani katikati Picha na SUPER D BOXING NEWS

Msimamizi wa Marefarii kutoka Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Nchini TPBC Ally Bakari kulia akiwakumbusha sheria mbalimbali mabondia waliojitokeza katika kupima kwa ajili ya mpambano wa kesho jumamosi katika ukumbi wa pandi panandi ilala bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS

Tuesday, May 19, 2015

SUPER D BOXING CLUB YATEUWA MABONDIA WATATU KUPIGANA MEI 23 PANANDI PANANDI



Kocha Mohamed Chipota kulia akimfundisha bondia Ramadhani Maonya jinsi ya kutupa makonde wakati wa mazoezi yanayoendelea katika club ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru kwa ajili ya kujiandaa na mpambano wake utakaofanyika mei 23    katika ukumbi wa Panandipanandi Ilala bungoni Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Hysam Mwakinyo kushoto akioneshana umwamba wa kutupa makonde na Raymond Mbwago mabondia hawo kutoka clab ya Super D Boxing iliyopo shule ya Uhuru wanajianda na mapambano yatakayofanyika mei 23 katika ukumbi wa panandi panani Ilala Bungoni Picha na SUPER D BOXING NEWS 
Na Mwandishi Wetu 
Kamisheni ya ngumi za kulipwa nchini Tpbc kwa kushirikiana na Kinyogoli foundation inawatangazia mabondia wanaotaka kuingia ngumi za kulipwa mei 23 katika ukumbi wa panandi panandi zitafanyika ngumi  za (semi profession) zitakazoshirikisha mabondia chipkizi kutoka club mbali mbali nchini

ambapo upimaji wa uzito utafanyika hapo hapo mei 22 Rais wa TBPC Chaurembo Palasa ametoa wito wa mabondia kujitokeza kwa ajili ya kuonesha uwezo wao na kupagwa katika madaraja mbalimbali ya viwango vyao.

aliongeza kwa kusema wanaitaji wafadhili wajitokeze kwa ajili ya kuwasapoti vijana hawo chipkizi kwa njia moja au nyingine

Club ya Super D iliyopo shule ya uhuru Dar es salaam imeteuwa mabondia watatu watakaoshiliki katika mashindano hayo wakiongozwa na Raymond Mbwago kg 64 na Hyasam Mwakinyo KG 66 pamoja na Ramadhani Maonya KG 51 mabondia hawo wote kutoka club ya Super D inayo ngozwa na kocha Mohamed Chipota iliyopo Katika shule ya Uhuru

BONDIA ADAM NGANGE WA CHANIKA AMSAMBALATISHA IDDI PIALALI WA BAGAMOYO




 Mabondia Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam kushoto  na Iddi Pialali wa Bagamoyo Mkoa wa Pwani wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano huo wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS
 Bondia Adam Ngange kushoto wa Chanika akimrushia konde la kulia bondia Iddi Pialala wa Bagamoyo wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita katika ukumbi wa chuo cha sanaa bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS
Bondia Iddi Pialali wa Bagamoyo akimtupia makonde mfululizo bondia Adam Ngange wa Chanika wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita  katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA Ngange alishinda kwa point mpambano uho wa raundi sita picha naSUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
BONDIA Adam Ngange wa Chanika Dar es salaam amemsambalatika Iddi Pialali wa Kiwangwa Bagamoyo kwa point katika mpambano wao mkali wa raundi sita

uliofanyika katika ukumbi wa chuo cha sanaa Bagamoyo TASUBA ambapo kulikuwa na shamla shamla za kutosha kwa upande wa Pialali

ukumbi ulifulika watu mbalimbali na mashabiki wa kutosha kabisa mpambambano ulivyo anza 

ngumi zilianza kupigwa kwa Pialali kwa kumshambulia sana Ngange mnamo raundi za mwanzo rakini kadri mpambano ulivyokuwa unasonga mbele na raundi kuzidi kwenda mbele

ndipo Ngange akazinduka na kuanza nae kumshambulia kwa kasi zaidi ambapo mpaka kufika raundi ya sita

raundi ambayo ilitawaliwa na ngange kupiga ngumi za misri ya paka anavyopiga kibao na kurudisha mkono alipo utoa mpaka raundi ya mwisho ya mchezo Ngange alikuwa mshindi kwa point mbili zaidi ya Pialali akika lilikuwa pambano zuri ambalo lilikusanya mashabiki wengi wa mkoa wa Pwani na Dar es salaam 

mpambano uho ulileta raha zaidi baada ya kudhuliwa na mabondia mbalimbali nchini wakiongozwa na Japhert Kaseba,Thomas Mashali. Said Mbelwa. Shabani Kaoneka na Ibrahimu Tamba mabondia ambao wanatamba kwa sasa nchini Tanzani
a

Wednesday, May 6, 2015

BONDIA CHEKA KUPANDA ULINGONI MEI 30 P.T.A SABASABA

BONDIA Fransic Cheka atapanda ulingoni kwa mara ya kwanza kabisaa baada ya kutoka jera ambapo atacheza na Kiatchai Singwancha . kutoka 
Thailand mpambano uho wa raundi kumi utafanyika katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba jijini Dar es salaam,


akizungumza matahalisho ya mpambano uho promota Kaike Siraju amesema kuwa amejipanga vizuri kwani kila kitu kinaenda vizuri kwa ivi sasa ambapo mabondia wa utangulizi wote wanatarajia kusainishwa wiki hii

 mpambano uho utakaosimamiwa na chama cha ngumi za kulipipwa nchini P.ST chini ya rais wake Emanuel Mlundwa

wamesema kuwa wao wako tayali kwa mpambano uho na bondia wa Thailand ataingia nchini siku tatu kabla ya mpambano uho ambao uatavuta isia za wapenzi wengi wa mchezo wa ndondi nchini

siku iyo  Vicent Mbilinyi 'Sugu'  atavaana na  Keis Amal 

Katika mpambano huo siku hiyo kutakuwa na uzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi  kali pamoja na kutambua sheria zake zikiwa na mabondia wakali kama vile
Floyd Mayweathar,Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo vitakaokuwa vikitolewa na Rajabu Mhamila 'Super D' kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa pesa taslimu na kocha huyo kwa ajili ya kuamasisha