Tangazo

Pages

Saturday, May 21, 2016

BONDIA VICENT MBILINYI AENDELEA NA MAZOEZI KUPANDA URINGONI JUNE 4 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi akimwelekeza jinsi ya kupiga ngumi ya mkunjo wa chini 'Upucat'   Mbilinyi ambaye atapanda uringoni katika mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akimnowa bondia Vicent Mbilinyi ambaye atapambana katika mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Mabondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basket Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Mabondia Ramadhani Maonya kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika uwanja wa basket Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Vicent Mbilinyi kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na Ibrahimu Maokola wakati wa mazoezi yanayoendelea katika viwanja vya hule ya Uhuru Dar es salaam Mbilinyi anajiandaa na mpambano wake mwingine utakaofanyika juni 4 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ibrahimu Maokola kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Vicent Mbilinyi wakati wa mazoezi yako yanayoendelea katika shule ya msingu Uhuru Wasichana Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

WADAU WA NGUMI WAKUTANA KUJADILI MWENENDO WA NGUMI NCHINI

 Mdau  wa mchezo wa ngumi nchini Chaurembo Palasa akifafanua jambo wakati wa mkutano wa wadau wa mchezo wa masumbwi nchini   kushoto ni Chuku Dusso Ally Bakari na Yassin Abdallah Picha na SUPER BOXING NEWS           
 BAADHI YA WADAU WALIOJITOKEZA KATIKA MKUTANDO WA KUNUSURU MCHEZO WA NGUMI PAMOJA NA MWENENDO WAKE MZIMA KUTOKA KULIA WALIO SIMAMA NI sHOMARI kIMBAU,SHABANI KAONEKA,CHUKU DUSO Mkali Kaizum CHAUREMBO PALAS NA WALIOKAA KUTOKA KUSHOTO NI FIDEL HYNES  ALLY BAKARI NA RATIBU WA MKUTANO UHO SADICK KINYOGOLI
Mdau wa mchezo wa masumbwi nchini Yasin Abdallah katikati akiongea katika mkutano wa wadau wa mchezo wa masumbwi nchini kushoto ni Chuku Duso na kulia ni Chaulembo Palasa Picha na SUPER BOXING NEWS





WAJUMBE WA MKUTANO SHOMARI KIMBAU KUSHOTO NA KULWAMAKALANGA WAJKISIKILIZA MADAS MBALIMBALI

Monday, May 16, 2016

MABONDIA WA TANZANIA WALIVYOWAADHIBU WAGENI JANA TAIFA




Bondia wa Tanzania, Francis Miyeyusho (kushoto) akimchapa konde bondia wa Uganda, Ben Sajjabi katika pambano lisilo la ubingwa uzito wa Super Bantam usiku wa jana Uwanja wa Ndani wa Taifa, Dar es Salaam. Miyeyusho 'Chichi Mawe' alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya raundi ya pili
Ben Sajjabi akiwa amelala chini baada ya kuchapwa ngumi ya uzito wa juu na Chichi Mawe
Bondia Thomas Mashali (kulia) wa Tanzania akimchapa konde Sajad Mehrabi wa Iran katika pambano la uzito wa Super Middle usiku wa jana kuwania ubingwa wa dunia wa UBU. Mashali alishinda kwa pointi
Mashali na Mehrabi wakionyesha ujuzi wa mchezo wa ngumi usiku wa jana Uwanja wa Taifa
Mashali na Mehrabi walipigaa kwa taundi 12 katika pambano kali na la kusisimua
Bondia Allan Kamote wa Tanzania (kushoto) akiwa amemchapa konde Salim Chazama wa Malawi katika pambano la uzito wa Light jana. Mabondia hao walitoka sare
Bondia Ramadhani wa Tanzania (kulia) akimchapa konde Osgood Kayuni wa Malawi (kushoto) katika pambano la uzito wa Welter. Shauri alishinda kwa pointi
Bondia Saleh Mkalekwa wa Tanzania (kushoto) akikwepa ngumi ya Mkenya, James Onyango (kulia) katika pambano la uzito wa Welter jana kuwania ubingwa wa UBO. Mkalekwa alishinda kwa pointi
Bondia Shaaban Kaoneka (kulia) akiwa amemchapa konde Mtanzania mwenzake, Hassan Mwakinyo (kushoto) katia pambano la Super Welter kuwania ubingwa wa PST. Kaoneka alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya tano
Bondia Nassib Ramadhani wa Tanzania (kulia), akimuadhibu Remmy Iga wa Uganda usiku wa jana Uwanja wa Taifa katika pambano la uzito wa Super Bantam

KING BOXER, KIBOKO YA KINYOGOLI ALIKUWA ANAJIFUA HADI MELINI



Bondia maarufu wa zamani nchini, Abdallah Mgeni ‘King Boxer’ (kulia) akifanya mazoezi kwenye Meli. Bondia huyo pekee kumpiga gwiji wa zamani wa ndondi nchini Habib Kinyogoli ‘Master’ alikuwa Baharia na muda mwingi alilazimika kuwa anafanya mazoezi yake kwenye Meli. Mungu ampumzishe kwa amani milele fundi huyo wa ngumi

MABONDIA WA TANZANIA WAPIGWA PINI KUCHEZA JUNE 4 UWANJA WA TAIFA

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Japhert Kaseba kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga na bondia Amour Mzungu wa Zanzibar siku ya june 4 mwaka uhu katika uwanja wa ndani wa taifa anaeshudia ni Katibu wa shilikiho la ngumi za kulipwa nchini Anton Rutta Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Jonas Segu kulia akitia saini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa taifa atakapozxipiga na bondia kutoka nje wanaoshudia katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma na mwingine ni Hamisi Chala Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Mfaume Mfaume akisaini mkataba wa kuzipiga siku ya june 4 mwaka uhu na bondia kutoka nje ya nchi   mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto    Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Fadhili Majiha kulia akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa katikati ni Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta kushoto ni kocha wa bondia huyo Kwame mkuluma
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wengine wa Tanzania wamepigwa pini kwa ajili ya kucheza mapambano ya kimataifa siku ya june 4 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo walisaini mkataba uho wa kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi mbele ya  Katibu wa shilikisho la ngumi za kulipwa PST Anton Rutta

waliosani kuzipiga na mabondia kutoka nje ya nchi wakiongozwa na Japhert Kaseba ataaezipiga na Amour Mzungu kutoka Zanzibar wengine wailio saini kuzipiga siku hiyo ni pamoja na

Mfaume  Mfaume, Fadhili Majiha,jonas Segu, Alphonce Mchimiatumbo, Vicent Mbilinyi pamoja na Ashiraf Selemani kutoka Zanzibar ambaye nae atazipiga siku hiyo

Mipambano hiyo mingine ya kimataifa inaletwa na promota mkongwe nchini katika maswala ya mchezo wa masumbwi si mwingine bari ni Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga 

 siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi mbalimbali kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi kutoka kwa kocha Rajabu Mhamila 'Super D'  ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba sheria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Friday, May 13, 2016

NGUMI ZA KIMATAIFA KUPIGWA KESHO JUMAMOSI MEI 14 UWANJA WA NDANI WA TAIFA

Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi akitunishiana misuli na Lulu Kayage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia Alan Kamote kutoka Tanga Tanzania akitunishiana misuli na Salim Chazama wa Malawi baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi utakaofanyika jumamosi mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
NASSIBU RAMADHANI
RAMADHANI SHAULI





LULU KAYAGE KATIKATI AKIWA NA TEAM YAKE

LULU KAYAGE KUSHOTO NA Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi
FRANSIC MIYEYUSHO
Bondia Sajjabi Ben wa Uganda akitunishiana misuli na Fransic Miyeyusho baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa kimataifa utakaofanyika siku ya jumamosi ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Na Mwandishi Wetu
HOMA ya mpambano wa kimataifa umezidi kupamba moto baada ya leo kukutanishwa mabondia wote  wa Tanzania pamoja na mataifa mengine watakaocheza 
 
akiongea na wahandishi wa habari
wakati wa upimaji uzito kwa mabondia Mratibu wa mpambano uho Anton Rutta amesema kuwa mabondia wote wamepima uzito na ngumi zitapigwa kesho 'Leo' kuanzia saa kumi na nusu jioni ambapo bondia
Thomas Mashali 'Simba Asiyefugika' atakuwa anagombea ubingwa wa dunia kg 76 mkanda wa U.B.O na Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'


 
Wakati mapambano mengine ya kimataifa yatawakutanisha mabondia 
 
 Mwanadada Lulu Kayage atakaezichapa na Chiedza Homakoma 'Nikita' wa Malawi na Allen Kamote atapambana na Salim Chazama wa Malawi  wengine ni Ramadhan Shauri atakaepambana na Osgood Kayuni wa Malawi wakati Twaha Kassim atapambana na Fred Nyakese kutoka Kenya na Saleh Mkalekwa atakumbana na Jems Onyango wa Kenya na Fransic Miyeyusho atavaana na Sajjabi Ben wa Uganda na Nassibu Ramadhani atacheza na Edwrd Kakembo wa Uganda
mapambano mengini ya kitaifa yatawakutanisha  Shaban Kaoneka atakaecheza na Hassan Mwakinyo na Issa Nampepeche atakumbana na Baina Mazola pambano ambalo kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' atatowa zawani ya vifaa vya mchezo wa ngumi kwa mshindi kati ya Nampepeche na Mazola


mapambano hayo ya kimataifa yameandaliwa na promota mkongwe Ally Mwazowa kutoka mkoa wa Tanga

siku hiyo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazo sindikiza mapambano hayo ya kimataifa ya mchezo wa masumbwi pia ngumi zitaanza mapema kuepusha usumbufu unaojitokezaga kwa wapenzi kuchelewa majumbani mwao kwa ajili ya mchezo wa masumbwi

siku hiyo pia kutakuwa na ugawaji wa zawadi kwa mabondia watakaocheza vizuri na kuonesa nidhamu ya mchezo wa masumbwi ikiwemo vifaa vya mchezo pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutamba shiria za mchezo uho nyingine zitakuwa zikiuzwa kwa galama nafuu kwa mashabiki watakaofika siku hiyo

Wednesday, May 11, 2016

BONDIA SAJJAD MEHRAB AWASILI KUMVAA THOMASI MASHALI MEI 14 TAIFA


Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' kulia akiwa na rais wa PST Emanuel Mlundwa pamoja na kocha wake baaa ya kutua nchini kwa ajili ya kugombania mkanda wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa picha na SUPER D BOXING NEWS


Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani'  kulia akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashili utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiongea na wahandishi wa habari mara baada ya kuwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomas Mashili utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa
picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Bondia  Sajjad Mehrab kutoka 'Irani' akiwasili nchini kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa wa Dunia na Thomasi mashali mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa