Tangazo

Pages

Monday, May 16, 2016

KING BOXER, KIBOKO YA KINYOGOLI ALIKUWA ANAJIFUA HADI MELINIBondia maarufu wa zamani nchini, Abdallah Mgeni ‘King Boxer’ (kulia) akifanya mazoezi kwenye Meli. Bondia huyo pekee kumpiga gwiji wa zamani wa ndondi nchini Habib Kinyogoli ‘Master’ alikuwa Baharia na muda mwingi alilazimika kuwa anafanya mazoezi yake kwenye Meli. Mungu ampumzishe kwa amani milele fundi huyo wa ngumi

No comments:

Post a Comment