Tangazo

Pages

Monday, July 30, 2012

BONDIA IBRAHIMU CLASS AJIFUA KWA AJILI YA MPAMBANO WA IDI PILI

Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee Bondia huyo ambaye yupo chini ya Makocha Habbu Kinyogoli pamoja na Rajabu Mhamila 'Super D' anategemea kuonesha ufundi wa ali ya juu katika mchezo wa masumbwi nchini. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Ibrahimu Class kulia akipambana na Whence Haluni 'West Scopion' wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ilala Dar es salaam Class anajitarisha na mpambano wake na Simba Watundulu litakalofanyika Sikukuu ya Idi pili katika ukumbi wa Diamond Jublee. Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Sunday, July 29, 2012

KIDUNDWA ADUNDWA OLIMPIKI

Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kulia) akiwa hoi baada ya kudundwa kirahisi kwa pointi 20-7 dhidi ya bondia wa Moldova, Vasilii Belous katika pambano la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS

Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kushoto) akishambuliwa na bondia wa Moldova, Vasilii Belous wakati wa pambano lao la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS

Bondia wa Tanzania, Selemani Kidunda (kushoto) akiendelea kuadhibiwa na bondia wa Moldova, Vasilii Belous wakati wa pambano lao la uzito wa welter (69kg) mzunguko wa 32 kwenye Ukumbi wa ExCeL katika michuano ya Olimpiki ya London 2012 leo Julai 29, 2012. Picha: REUTERS

BONDIA MTANZANIA SELEMANI KIDUNDA APIGWA KWA POINT

Picture
Bondia Selemani Kidunda  wa Tanzania kulia akipambana na mpinzani wake katika mashindano ya Olimpic

Muhammad Ali, 2012 Summer Olympics, Boxing, Olympic Games, The Greatest of All Time, Parkinson's disease, Cassius Clay.

Boxer Muhammad Ali, left, and his wife, Yolonda Williams, participate in the Opening Ceremony at the 2012 Summer Olympics, Saturday, July 28, 2012, in London. (AP Photo/Cameron Spencer, Pool)

Boxer Muhammad Ali, left, and his wife, Yolonda Williams, participate in the Opening Ceremony at the 2012 Summer Olympics, Saturday, July 28, 2012, in London. (AP Photo/Cameron Spencer, Pool)

MASHINDANO YA NGUMI OLIMPIC YAANZA KUTIMUA VUMBI LEO

London 2012 Olympics: boxing guide

Read Telegraph Sport's guide to the boxing event at the London 2012 Olympics.

London 2012 Olympics: boxing guide
Photo: PA
Male Olympic boxers will compete in 10 weight classes, from light flyweight to super heavyweight, while female boxers will contest three weight divisions (flyweight, lightweight, middleweight).
The male bouts are contested over three three-minute rounds - compared to professional fights which last 12 rounds. Female bouts take place over four two-minute rounds.
The fighter who knocks out an opponent or scores the most points wins. Boxers score one point for every punch they land with the marked part of their glove on their opponent’s head or upper body. If three of the panel of five judges hit electronic buttons within a second of each other the boxer is awarded a point.
Any boxer who moves more than 12 points ahead of an opponent automatically wins. This system differs from professional boxing where points are awarded based on each boxer’s overall performance in a round, not for each individual successful punch.
The boxer judged to have won the round (normally the fighter who lands the most quality shots) is given 10 points, while the loser receives nine points. If the fight goes to points, the winner is the one with the highest accumulated score (i.e. the fighter who won the most rounds) as decided by the judges.

Saturday, July 28, 2012

DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH ZIPO SOKONI SASA

DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO SOKONI
DVD zenye mapambano ya mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywherth, Roy Jones ,DAVID HAYE,AMIR KHAN,DANNY GACILIA,DERCK CHISORA,MUHAMED ALI,MIKE TAYSON na wengine kibao  PAMOJA NA MPYA MAPAMBANO YA HIVI KARIBUNI YOTE  YA MABINGWA WA DUNIA ‘DVD’ hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu  na Kocha WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI  Rajabu Mhamila ‘Super ‘D’.
“Ninatarajia kuwapelekea DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika  MAPAMBANO mbalimbali ikiwa ni pamoja na  KUJIFUNZA sheria za mchezo wa ngumi,”  KATIKA DVD HIZO alisema Super ‘D’ KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA
Super D Boxing Coach DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838

BONDIA MTANZANIA ULINGONI OLIMPIKI KESHO JUMAPILI

Bondia Selemani Kidunda katikati akiwa kwenye picha ya pamoja na wawakilishi wengine wa Tanzania kwenye Olimpiki 2012. Kesho Kidunda anapanda ulingoni kumvaa raia wa Moldova.
Baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki 2012 jijini London, wakishikilia bendera ya taifa wakati wa sherehe za ufunguzi juzi Ijumaa.
Baadhi ya wawakilishi wa Tanzania kwenye mashindano ya Olimpiki 2012 jijini London, wakipozi kwa picha wakati wa sherehe za ufunguzi juzi Ijumaa.
LONDON, England

BONDIA wa ngumi za ridhaa, Mtanzania Seleman Kidunda, kesho Jumapili anapanda ulingoni kuanza kupeperusha bendera ya taifa kwenye mashindano ya Olimpiki yaliyozinduliwa juzi Ijumaa jijini London.

Kidunda, 28, ambaye ni bondia pekee kupata tiketi ya kucheza mashindano hayo katika mchezo wa ngumi za ridhaa nchini, anapanda ulingoni kuumana na Belous Vasilii, 23 raia wa Moldova.

Mshindi kati ya Kidunda na Vasilii, atakuwa na kazi ya ziada wakati atakapotakiwa kupanda tena ulingoni hapo Agosti 3, kuzipiga na Shelest Yuk wa Ukraine, ambaye yeye ameingia hatua ya pili kutokana na ubora wake.

Pambano kati ya Kidunda na Vasilii ambalo ni la uzzito wa Kilo 69, upande wa wanaume, litatanguliwa na mapambano mengine 12 ya ngumi leo.

DVD MPYA ZA SUPER D BOXING COACH ZIPO SOKONI SASA

DVD ZA SUPER D BOXING COACH ZILIZOPO SOKONI
DVD zenye mapambano ya mabingwa wa Dunia akiwemo Manny Paquaio, Floyd Maywherth, Roy Jones ,DAVID HAYE,AMIR KHAN,DANNY GACILIA,DERCK CHISORA,MUHAMED ALI,MIKE TAYSON na wengine kibao  PAMOJA NA MPYA MAPAMBANO YA HIVI KARIBUNI YOTE  YA MABINGWA WA DUNIA ‘DVD’ hizo zilizoandaliwa kwa ubora wa hali ya juu  na Kocha WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI  Rajabu Mhamila ‘Super ‘D’.
“Ninatarajia kuwapelekea DVD mashabiki wa ngumi watakaokuwepo katika  MAPAMBANO mbalimbali ikiwa ni pamoja na  KUJIFUNZA sheria za mchezo wa ngumi,”  KATIKA DVD HIZO alisema Super ‘D’ KWA HABARI ZAIDI TEMBELEA
Super D Boxing Coach DVD ZA MAFUNZO YA MCHEZO WA NGUMI ZIPO MTAANI KWA AJILI YA MAFUNZO YA MCHEZO HUO HIVI SASA KWA MATAJI YA JUMLA NA REJAREJA PIGA SIMU 0787/0774/0715/0754/0733/0713-406938 AU FIKA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI 0652755838

Friday, July 27, 2012

AGOMBEA MKANDA WA AFRIKA WA IBF AKIPEPERUSHA BENDERA YA TANZANIA NCHINI NAMIBIA

Gottlieb Ndokosho kushoto akiwa kazini.

Mtanzania Rajabu Maoja bondia mzoefu katika ngumi za kulipwa kutoka mkoa wa Tanga atapanda ulingoni Septemba 1 kupimana ubavu na bondia Gottlieb Ndokosho bingwa wa ngumi nchini Namibia.

Mpambano huo unaofanyika katika jiji na Windhoek, nchini Namibia unawakutanisha mabondia wawili ambao wanazimudu vizuri ngumi ulingoni. Hii ni mara ya kwanza kwa bondia wa Kitanzania kugombea mkanda wa IBF katika bara la Afrika nje ya nchi tangu mpambano katia ya Iraq Hudu na Ali Said wa Kenya ulivyofanyika jijini Mombasa mwaka 2000.

Wawili hao wataumana kwenye mpambano uliopewa jina la “The Battle for the Kalahari Desert” (Vita ya Jangwa la Kalahari)na waandaaji wa mpambano huo ambao ni Kinda Boxing Promotion chini ya promota Simon Nangolo wa nchi ya Namibia. Namibia iko Kusini Magharibi mwa bara la Afrika ikikingana na Afrika ya Kusini, Botswana na Angola.

Mtanzania Rajabu maoja anatokea katika jiji la tanga na ni mkali aliyejijengea umaarufu mkubwa katika masumbi hapa nchini. Maoja ni kati ya mabondia wachache wenye majina yanayotishia maisha baadhi ya mabondia wenzake katuka bara la Afrika.

Katika uhai wake wa ngumi Maoja amepigana mapambano 31 akishinda 18 na kupoteza kwa kiduchu mapambano 10 ambayo mengi sio yenye hadhi yoyote ya kumharibia historia yake kwemey ngumi na kutoka sare mapmbano matatu (3)

Naye bondia Gottlieb Ndokosho ambaye ni bingwa wa Namibia amepigana pambano 15 na kushinda 11 wakati amepoteza mapambano 3.

Mpambano huo uliopewa jina la The Battle for the Kalahari Desert (Vita ya jangwa la Kalahari) utasimamiwa na Rais wa Shirikiso la ngumi la Kimataifa bara la Afrika, Mashariki ya kati na Ghuba ya Uajemi Mtanzania Onesmo Ngowi. Aidha Ngowi ndiye Rais w kamiehsni ya Ngumi za Kulipwa nchini (TPBC) na mkurugenzi wa ngumi wa baraza la Ngumi la Jumuiya ya madola.

Watanzania, tumuezi mwenzetu rajabu maoja anapopeperusha bendera ya Tanzania. Mungu ibariki Afrika, Mungu ibariki Tanzania