Tangazo

Pages

Sunday, July 8, 2012

TIMU YA TANZANIA YAENDA LONDON KATIKA MICHEZO YA OLIMPIKI



  Bondia pekee kwenye mashindano ya Olimpic Selemani Kidunda katikati  na Wachezaji wa timu ya Tanzania inayokwenda kushiriki michezo ya Olimpiki wakiwa katika picha ya pamoja muda mfupi kabla ya kuondoka majira ya saa kumi jioni kwenye Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere kwenda London, Uingereza. Picha na Habari Mseto Blog

No comments:

Post a Comment