Tangazo

Pages

Friday, July 6, 2012

JAPHERT KASEBA VS FRANCIS CHEKA WAPIMA UZITO KUONESHANA UMWAMBA KESHO

Bondia Japhert Kaseba kushoto na Francis Cheka wakioneshana umwamba wa kila mmoja kutaka kumchakaza mwezake wakati walipopima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa taifa siku ya jumamosi katikati ni mratibu wa mpambano huo Kaike Siraju.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Baazi ya Mabondia na Makocha wakisubili kupima uzito kwa mabondia kwa ajili ya Mpambano wa siku ya sabasaba katika tamasha la matumaini.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Fransic Cheka akipima uzito kwa ajili ya kumkabiri mpizani wake Japhert Kaseba kesho katika uwanja wa Taifa wakati wa Tamasha la matumaini ambapo kutakuwa na burudani mbalimbali mbali Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mratibu wa mpambano wa ngumi Kaike Siraju katikati akiwainua mikono juu mabondia Japhert Kaseba kushoto na Francis Cheka baada ya kumaliza kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika siku ya sabasaba katika uwanja wa taifa wakati wa Tamasha la Matumaini kwa watanzania litakalokusanya burudani mbali mbali..Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Japhert Kaseba kushoto na Francis Cheka wakioneshana umwamba wa kila mmoja kutaka kumchakaza mwezake wakati walipopima uzito leo kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika katika uwanja wa taifa siku ya jumamosi katikati ni mratibu wa mpambano huo Kaike Siraju.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia kutoka Kambi ya Ilala Ibrahimu Class akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake na Sadiki Momba utakaofanyika Kesho katika uwanja wa Taifa
 Bondia toka kambi ya Ilala Ibrahimu Class akipima Afya kwa ajili ya mpambano wake na Sadiki Momba utakaofanyika kesho katika uwanja wa taifa
Bondia Francis Cheka akipima Afya kwa ajili ya mpambano wake na Japhert Kaseba utakaofanyika kjesho katika uwanja wa TaifaPicha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment