Tangazo

Pages

Friday, July 29, 2016

MAZOEZI MAKALI YANAENDELEA KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOO

Mabondia Faraji Sayuni kushoto na Hassani Kiwale wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde wakati wa mazoezi yao yanayoendelea katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM Kariakoo mabondia wote hawo watapanda uringoni agost 8 katika ukumbi wa kobelo pub manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

 Bondia Hassani Kiwale kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Faraji Sayuni wakati wa mazoezi yao yaliyofanyika katika kambi ya Super DCoach Uhuru GYM Kariakoo Dar es salaam mabonda hawo watapanda uringoni Agost 8 kuwakabili wapinzani wao katika ukumbi wa kobelo pub manzese Dar Es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwasimamia mazoezi mabondia Faraji Sayuni kushoto na Hassani Kiwale wakati ya mazoezi yao yanayoendelea katika kambi ya Super D coach Uhuru GYM Kariakoo Dar Es Salaam 

Na Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa ubingwa wa taifa wa kg 57 utagombaniwa na mabondia Kais Rashidi Na Faraji Sayuni siku ya Agost 8 katika ukumbi wa Kobelo Pub Manzese Dar Es Salaam  

mpambano uho wa raundi kumi za ubingwa umeratibiwa na Promot Miraji Uliza ambapo kutakuwa na mapambano mengine mbalimbali ya mchezo wa masumbwi nchini

mabondia wengine watakaopanda siku hiyo ni Abdallah Pazi atakaezipiga na Said Mkone wakati godrack Mrema atakumbana na Hassani Kiwale wakati Omari Uliza atazipiga na Bruno Fadhili na Said Jelemi atamkabili Azizi Kondo na Saleh Mkalekwa atacheza na Salum Ngula na Azizi Uliza atacheza na Mohamed Matimbwa

pamoja na mapambano mengine mengi

Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

MABONDIA KUTOKA KWA SUPER D COACH UHURU GYM

MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAZOEZI YAO YANAYOFANYIKA KWA SUPER D COACH UHURU GYM KARIAKOO KUTOKA KUSHOTO NI HASSANI KIWALE 'MORO BEST' KG 51 MOHAMED KISEA KG 54 FARAJI SAYUNI KG 56 IDDI MKWELA KG 61 VICENT MBILINYI KG 63 GESPER MSEVENI KG 66 NA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'
BAADHI YA MABONDIA WALIOPO KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D AKIWA NA  MABONDIA WAKIWA KATIKA PICHA YA PAMOJA BAADA YA MAZOEZI YAO YANAYOFANYIKA KWA SUPER D COACH UHURU GYM KUTOKA KUSHOTO NI HASSANI KIWALE 'MORO BEST' KG 51 MOHAMED KISEA KG 54 FARAJI SAYUNI KG 56 IDDI MKWELA KG 61 VICENT MBILINYI KG 63 GESPER MSEVENI KG 66

KOCHA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KUSHOTO NI FARAJI SAYUNI NA HASSANI KIWALE

Monday, July 25, 2016

MABONDIA WA KIKE KUPANDA URINGONI AGOST 7 UWANJA WA TAIFA KUWASINDIKIZA GALILE NA KALAMA

Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa 'Dippo' katikati akizungumza na mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa wakati alipowatambulisha kupigana kwa mabondia wa kike Halima Bandola na Joyce Awino watakao oneshana umwamwamba Agost 7 katika uwanja wa ndani wa Taifa Picha SUPER D BOXING NEWS

Promota wa mchezo w masumbwi nchini  Haruna Mussa katikati akiwainua juu mabondia mbele ya mashabiki wa mchezo wa ngumi za kulipwa wakati alipowatambulisha kupigana kwa mabondia wa kike Halima Bandola na Joyce Awino watakao oneshana umwamwamba Agost 7 katika uwanja wa ndani wa  Taifa Picha SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

MABONDIA wa kike katika mchezo wa ngumi za kulipwa nchini Halima Bandola na Joyce Awino watapanda uringoni Agost 7 katika ukumbi wa uwanja wa ndani wa taifa

akizungumza na mashabikiwa mchezo wa masumbwi wishoni mwa wiki iliyopita promota wa mpambano uho Haruna Mussa 'Dippo'

amesema ameamua kuwa promoto watoto wa kike kwa ajili ya kuhamasisa wasichana kuupenda na kuucheza mchezo wa masumbwi kwani kwa sasa michezo ni ajira kwa vijana

aliongeza kwa kusema katika mpambano uho kutakuwa na mpambano wa kukata na shoka mabondia Kalama Nyilawila atavaana na Selemani Galile mpambano wa raundi kumi katika uzito wa kg 72

wakati mchezo mwingine utakuwa ni kati ya Meshack Mwankemwa kutoka Mbeya atakumbana na Selemani Zugo mpambano wa ubingwa wa KG 66 raundi kumi   
 Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
 
DVD MPYA KABISA ZA MASUMBWI SASA ZINAPATIKANA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI

DVD MPYA KABISA ZA MASUMBWI SASA ZINAPATIKANA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania

BONDIA IDDI MKWELA ALIVYO MSAMBALATISHA MWITA MACHAGE K.O RAUNDI YA KWANZA

Bondia Mwita Machage kushoto akipambana na Iddi Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda kwa K.O ya raundi ya kwanza katika mpambano huo Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Iddi Mkwela kushoto akimshambulia Mwita Machage kwa makonde wakati wa mpambano wao uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Mkwela alishinda K.O ya raundi ya kwanza ya mpambano uho Picha na SUPER D BOXING NEWS
Refarii Saidi Chaku akimnyoosha mkono juu bondia Iddi Mkwela baada ya kumdunda kwa K.O ya raundi ya kwanza Mwita Machage kushoto ni bondia Vicent Mbilinyi Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akifuraia baada ya bondia Iddi Mkwela kusinda kwa K.O ya raundi ya kwanza wakati wa mpambano wake uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akifuraia baada ya bondia Iddi Mkwela kusinda kwa K.O ya raundi ya kwanza wakati wa mpambano wake uliofanyika mwishoni mwa wiki iliyopita kushoto ni Sako Mwaisege 'Dungu' Picha na SUPER D BOXING NEWS
kabla ya mpambano kuanza

Saturday, July 23, 2016

MABONDIA IDD MKWELA KUPAMBANA NA MWITA MACHAGE KESHO JUMAPILI JULAI 24 TANDIKA

Bondia Idd Mkwela kushoto akiwa na Mwita Machage baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao wa jumapili ya julai 24 katika ukumbi wa musoma bar Tandika Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia akiwa na mabondia wake Mohaed Kisua kg 51 iDDi Mkwela kg 61 Vicent Mbilinyi Kg 63 na Shabani Kaoneka Kg 72  Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu

BONDIA Idd Mkwela atapanda tena ulingoni kesho jumapili katika mpambano wake mwingine wa Kg 61 atakapo mkabili Mwita Machage katika ukumbi wa musoma bar uliopo tandika

akizungumza baada ya upimaji uzito na afya kwa mabondia watakaocheza siku hiyo 

Rais wa oganaizesheni ya ngumi za kulipwa TPBO Yassin Abdallah 'Ostadhi' amesema kuwa mabondia wengine waliopima na watagombania ubingw wa taifa ni Imani Mapambano atakaezichapa na Selemani Galile raundi kumi za ubingwa

katika mapambano haya tumeamua kuchukuwa mabondia chipkizi kwa ajili ya kuendelea kuamasisha mchezo wa ngumi sehemu mbalimbali nchini

hususani katika ukanda uhu wa Temeke ambapo tumekuwa tukichezesha vijana wanao chipukia kila wakati

 Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi

Wednesday, July 20, 2016

NGUMI KUPIGWA TANDIKA JULAI 24

KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM KUSHILIKI BONANZA VINGUNGUTI JULAI 30

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa katika picha ya pamoja na baadhi ya mabondia watakaoshirika katika bonanza la michezo mbalimbali litakalofanyika Vingunguti kiembembuzi julai 30 kwa ajili ya kuamasisha mchezo uho Picha na SUPER D BOXING NEWS
 Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Idd Mkwela kushoto na Vicent Mbiliyi wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya 'Super D Coach Uhuru GYM' Kariakoo shule ya Uhuru Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA kutoka katika kambi ya Super D Coach Uhuru GYM , iliyopo kariakoo shule ya Uhuru Dar es salaam chini ya kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini julai 30 mwaka uhu mabondia wake watashiriki katika bonanza maalumu walilo alikwa kwa ajili ya kuhamasisha mchezo wa masumbwi nchini

mabondia hawo watakaoshiliki ni Ibrahimu Class .Idd Mkwela, Vicent Mbilinyi, Fadhili Boika,Mohamed Kisua,Shabani Kaoneka, Gasper Mseveni ambao watacheza siku hiyo

Bonanza ilo lililo ratibiwa na mwenyekiti Moses Mwakibolwa pamoja na wajumbe wake Alli Bakari 'Champion' Spear Mbwembwe ambaye ni mchezaji wa zamani wa mpira wa miguu

akizungmzia bonanza hilo mmoja ya wajumbe Alli Bakari amesema kuwa lengo la bonanza hilo ni kuwatoa vijana kwenye makundi ya vijiweni uharifu pamoja na utamiaji wa madawa ya kulevya

Bonanza hili lililopewa jina la 'Hapa Kazi 2016' litafanyika nchi nzima lakini kwa kuanzia wameanza na wilaya ya Ilala 

pia kufanikisha jambo hili wamejipanga kushirikiana na tasisi mbalimbali ikiwemo kupata ufadhili wa makampuni pamoja na bank mbalimbali kwa ajili ya kuhakikisha vijana wote wanakutanishwa katika michezo na kuelimishwa jinsi ya kufanya kazi

siku hiyo kutakuwa na michezo mbalimbali ikiwemo ndondi mpira wa miguu kuvuta kamba kukimbiza kuku kwa wazee mpira wa pete kwa wasichana dhuna draft na michezo yote kwa ujumla

pia kutakuwa na zawadi ndogo ndogo kwa washiriki watakaofanya vizuri siku hiyo  

IDD MKWELA ALIVYO MSAMBARATISHA HUSSEIN GOBOSI

Bondia Hssein Gobos kushoto akioneshana umwamba wa kutupiana makonde na Idd Mkwela wakati wa mpambano wao uliofanyika hivi karibuni katika ukumbi wa Travertain Magomeni mapipa Mkwela alishinda kwa point mpambano uho uliokuwa wa raundi sita Picha na SUPER D BOXING NEWS

MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO BAADA YA KUMALIZIKA KWA RAUNDI SITA
MABONDIA WAKISUBILI MATOKEO
Refarii wa mchezo wa masumbwi nchini Sakwe Mtlya akimnyosha mkono juu bondia Idd Mkwela baada ya kumshinda Hussein Gobos kwa point wa tatu kushoo ni Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' akifurahiya ushindi uho pamoja na vijana wake wengine Picha na SUPER D BOXING NEWS

KOCHA SUPER D NA MARAFIKI ZAKE WAENDEREA KUSAPOTI MCHEZO WA MASUMBWI USONGE MBELE

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' wa pili kulia akiwa na wadau  wa mchezo wa ngumi kutoka kushoto ni Khalfani Mohamed. Bakari Songoro na bondia Abdalla Pazi walipokutana katika mpambano wa Hussein Itaba na Ibrahimu Tamba uliofanyika katika ukumbi wa vTraveltain Hotel Magomeni

Friday, July 15, 2016

SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION AENDEREA KUMWAGA SUMU KWA MABONDIA WAKE

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RASJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIENDELEA KUWANOWA VIJANA WAKE KWENYE KAMBI YAKE YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO KARIAKOO DAR ES SALAAM
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZOWA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA KATIKA KAMBI YAKE YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO KARIAKOO DAR ES SALAAM

RAJABU MHAMILA SUPER D
SUPER D BOXING COACH AND PROMOTION
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZOWA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA KATIKA KAMBI YAKE YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO KARIAKOO DAR ES SALAAM
KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA SUPER D KUSHOTO AKIONGEA NA MABONDIA WAKATI WA MAZOEZI YANAYOENDELEA KATIKA KAMBI YAKE YA SUPER D COACH UHURU GYM

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KATIKATI AKIWA NA MABONDIA IDD MKWELA KSHOTO NA VICENT MBILINYI WAKATI WA MAZOEZI YANAYOENDELEA KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO KARIAKOO SHULE YA UHURU DAR ES SALAAM
 KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' AKIWA KATIKA KAMBI YAE YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO SHULE YA UHURU DAR ES SALAAM
SUPER D AKIMNOWA BONDIA IDD MKWELA

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D' KULIA AKIMNOWA BONDIA VICENT MBILINYI WAKATI WAMAZOEZI YALIYOFANYIKA KATIKA KAMBI YA SUPER D COACH UHURU GYM ILIYOPO SHULE YA UHURU KARIAKOO DAR ES SALAAM
RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI RAJABU MHAMILA 'SUPER D'

KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI AMBAYE PIA NI MRATIBU WA MCHEZO WA NGUMI NCHINI TANZANIA RAJABU MHAMILA' SUPER D' AKIWA NA BAADHI YA VIFAA VYA KUFUNDISHIA MCHEZO WA MASUMBWI KOCHA HUYO AMBAYE PIA NI MUZAJI WA VIFAA MBALIMBALI VYA MASUMBWI ANAPATIKANA KAMBI YA 'SUPER D COACH UHURU GYM' ILIYOPO KARIAKOO Email.superdboxingcoach@gmail.com mhamila1@gmail.com www.burudan.blogspot.com www.superdboxingcoach.blogspot.com Mob;+255787 406938 +255774406938, +255713406938 Po.Box. 15493 Dar es Salaam Tanzania