Tangazo

Pages

Friday, July 15, 2016

BONDIA IDD MKWELA NA HUSSEIN GOBOSI WAPIMA UZITO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO TRAVERTAIN MAGOMENI

Bondia Idd Mkwela katikati akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela  akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kushoto akipima uzito kwa ajili ya mpasmbano wake wa kesho julai 16 na Hussein Gobosi mpambano utakaofantika Travertain Magomeni kushoto ni msimamizi wa upimaji uzito Pembe Ndava nadr donard Madono Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Idd Mkwela kushoto akitunishiana misuli na Hussein Gobos baada ya kupima uzito kwa ajili ya mpambano wao utakaofanyika kesho julai 16 katika ukumbi wa travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na mabondia Vicent Mbilinyi kushoto na Idd Mkwela ambaye anatarajia kucheza kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni ambapo atazipiga na Hussein Goboss Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' katikati akiwa na Young Coach
Edward Emmanuel Lyakwipa kushoto mabondia Idd Mkwela wa pil kushoto na kulia ni bondia Vicent Mbilinyi na Idd Pialali baada ya bondia Idd Mkwela kupima uzito kwa ajili ya kupambana na Husein Gobosi mpambano utakaofanyika kesho katika ukumbi wa Travertain Magomeni Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na MWANDISHI WETU

MABONDIA Idd Mkwela pamoja na Hussein Gobosi wamepima uzito kwa leo kwa ajili ya mpambano wao kesho jumamosi ya julai 16 katika ukumbi wa Travetain Magomeni mpambano uho wa Kg 61 utakuwa wa raundi sita

umekuwa na changamoto kemkem baada ya kila bondia kutambiana kwa kambi zao katika sehemu mbalimbali ikiwemo katika mitandao mbalimbali ya kijamii

mbala na mpambano uho kesho kutakuwa na mapambano mbalimbali ya ngumi zitakazopigwa kesho ambapo bondia Hussein Itaba atapambana na Ibrahimu Tamba katika uzito wa kilo gram 76mpambano wa raundi nane

katika upimaji uzito huo uliiofanyika soko la ndizi mabibo katika uwanja wa mpira wa  las vegas

kulikua na shangwe na shamlashamla za mashabiki waliojitokeza kwa ajili ya kushudia shughuli nzima ya upimaji uzito
 Katika Mchezo huo kutakua na Uuzwaji wa DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha  'Super D' kwa ajili ya kuwapa mabondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khani, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi
 
No comments:

Post a Comment