Tangazo

Pages

Wednesday, July 25, 2012

MABONDIA ZOLA D NA MCHUMIATUMBO WASAINI MKATABA WA KUZIPIGA SIKU YA IDI

Mratibu wa mpambano wa Mabondia wa uzito wa Juu Shomari Kimbau katikati akitia saini kwa ajili ya kuwapiganisha mabondia Mchumia Tumbo kushoto na Zola D
Bondia David Mlope maarufu kama Zola D King (kushoto) akisaini mkataba wa pambano lake na mpinzani wake Alphonce Mchumiatumbo (kulia)litakalofanyika Sikukuu ya Eid El Fitri katika uwanja wa Bandari Temeke anayeshuhudia ni Mwenyekiti wa Mtandao wa Wasanii Tanzania (SHIWATA), Cassim Taalib.

No comments:

Post a Comment