Tangazo

Pages

Sunday, November 3, 2013

SAID MBELWA KUMVAA SHABANI KAONEKA KATIKA MASUMBWI NOVEMBA 10

MPAMBANO WA MASUMBWA KUFANYIKA 10/11/2013 KATIKA UKUMBI WA ZULU PARADAISE PUGU KILUMBA JUMAPILI HII SIO YA KUKOSA SIKU HIYO KUTAKUWA NA DVD ZA MAFUNZO YA NGUMI DVD hizo na nyingine mbali mbali zitakuwa zikiuzwa kama mpambano wa EVANDER HOLYFIEL VS RIDDICK BOWE YA TAREHE 13,NOVEMBA,1992,MUHAMMAD ALI VS JOE FRAZIER

Manny Paquaio, Saul 'canelo' alverez ,Floyd Mayweathar,Mike Tyson,Mohamed Ali,Ferex Trinidad,Miguel Cotto na wengine wengi

DVD hizo za ngumi kali zitakuwa zikiuzwa na kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini Rajabu Mhamila 'Super D'

Pamoja na kutambua sheria na taratibu za mchezo huo siku hiyo pia kuta kuwa na vifaa vya mchezo huo wa masumbwi vitakavyotolewa zawadi kwa mabondia na Kocha Super D ambaye ameweka ahadi ya kugawa, Gum Shit ,Clip Bandeji,DVD za Mafunzo kwa mabondia, Bukta,Protector na vifaa mbalimbali kwa mabondia watakao onesha uwezo wa ali ya juu wa kutupiana masumbwi
DVD KWA SASA ZINAPATIKANA MAKUTANO YA BARABARA YA UHURU NA MSIMBAZI DAR ES SALAAM KARIAKOO ZAIDI WASILIANA NA SUPER D SUPER COACH KWA NAMBA YA SIMU 0713406938 Rajabu Mhamila 'Super D'
Photojournalist at Majira, Business Times
Email.superdboxingcoach@gmail.com
mhamila1@gmail.com
www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mob;+255787 406938
+255774406938, +255713406938
Po.Box. 15493
Dar es Salaam Tanzania

No comments:

Post a Comment