Tangazo

Pages

Friday, November 1, 2013

mabondia Marcos Maidana na Adrien Broner watambiana kuzipiga esemba 14

BONDIA Marcos Maidana mwenye rekodi ya kucheza mapambano 37 kati ya hayo kashinda 34 na kupoteza 3 anatarajia kupanda ulingoni desemba 14 mwaka huu kupambana na  Adrien Broner kugombania ubingwa wa duniwa wa WBA  Uzito wa welterweight katika ukumbi wa Alamodome, San Antonio, Texas, USA
mpambano huo wa raundi 12 utakuwa mkali kulingana na mabondia wenyewe  ambapo  Adrien Broner  ana mapambano  27 na ajapoteza ata mpambano mmoja 

na mipambano mingine ya utangulizi itakuwa Victor Ortiz na Alfonso Gomez uku  bondia Beibut Shumenov akioneshana kazi na Tamas Kovacs mpambano mwingine utawakutanisha bondia  Leo Santa Cruz na Cesar Seda wakati mpambano mwingine ukiwakutanisha mabondia Keith Thurman na Jesus Soto Karass ambapo mipambano yote hiyo na ya ubingwa na itakuwa ya raundi 12
MMarcos Maidana (34-3, 31 KO’), has revealed their plan to try and defeat WBA welterweight champion Adrien Broner (27-0, 22 KO’s) on December 14th on Showtime at the Alamodome in San Antonio, Texas. Garcia says that Maidana will
Read more at http://www.boxingnews24.com/page/2/#lXcdexlXU7u6MGup.99

No comments:

Post a Comment