Tangazo

Pages

Sunday, October 2, 2011

MABONDIA WA TANGA WANYAKUA MIKANDA YOTE YA TPBO KATIKA VIWANJA VYA TANGAMANO

 Bondia Haji Juma wa Tanga kushoto akipambana na  Juma Sel;emani wa Dar wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa KG.48 uliofanyika katika viwanja vya tangamano jijini tanga





 Bondia Saidi Mundi wa Tanga (kushoto) akimwadhibu bondia Mohamedi Bakari wakati wa mpambano
wao wa kugombea ubingwa wa uzito wa kilo.52 uliofanyika katika viwanja vya Tangamano jijini
Tanga jumamosi iliyopita, Mundi alishinda kwa T.K.O raundi ya pili na kuwa bingwa wa ngumi
za kulipi TPBO.(http://www.superdboxingcoach,blogspot.com/)

Bondia Saidi Mundi wa Tanga akinoshwa mkono juu baada ya kumtwanga Mohamedi Bakari wakati wa
mchezo wa kugombania mkanda wa ubingwa wa taifa wa chama cha ngumi za kulipwa TPBO viwanja
vya tangamano TANGA.(http://www.superdboxingcoach,blogspot.com/)








No comments:

Post a Comment