Tangazo

Pages

Thursday, September 29, 2011

KASEBA NA MANENO WATAMBIANA WAKUMBUSHWA SHERIA

Mabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward wakitunishiana misuri walipokutana, Dar es salaam leo kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika jumamosi hii katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta. (Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
 Mabondia wakichangia madaMabondia Japhert Kaseba (kushoto) na Maneno Osward wakitunishiana misuri walipokutana, Dar es salaam kukumbushwa sheria mbalimbali zitakazotumika katika mpambano wao utakaofanyika kesho katikati ni Katibu, wa Chama cha mchezo wa ngumi kinachosimamia mpambano huo. PST. Anton Lutta.

No comments:

Post a Comment