Tangazo

Pages

Saturday, December 31, 2011

WACHEZAJI WATIMU YA TAIFA YA NDONDI WAILOTEULIWA KUSHIRIKI KINYANGA"NYIRO CHA KUTAFUTA NAMBA YA KUSHIRIKI OLIMPIKI 2012

 Moja ya kambi za mazoezi ya mchezo wa ngumi
 KOcha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila Super D akiwa na vifaa vya mchezo hu

 Vijana chipukizi wakijifua katika kambi ya mazoezi ya ngumi
 Kocha wa mchezo wa ngumi Rajabu Mhamila Super D akiwa na vifaa vya ngumi
MAJINA YA WACHEZAJI WA TIMU YA TAIFA YA NGUMI WALIOTEULIWA KWA AJIL YA MAANDALIZI YA MASHINDANO YA KUFUZU KWENDA KUWAKILISHA TAIFA KATIKA MASHINDANO YA OLMPIKI LONDON UINGEREZA Julai 2012.


KUTOKA NGOME BOXING TIMU:
       1. .SELEMAN KIDUNDA.
       2. PETER STANLEY
       3. .MORIS MHINA
       4. 3.KILLER  MOHAMED
       5. .ABDALAH KASSIM
       6. SUNDAY ELIAS
       7. DENIS MARTINE
       8. ABDALAH KITENGE
       9. HUSSEIN MNIMBO
       10. HARUNA SWANGA
       11. SAID PUME
       12. HASHIM SAIMON
       13. RAJABU MADINDA
       14. ABDALAH SHABANI
       15. ABDU RASHID
       16. FRANK NICOLOUS
KUTOKA MMJKT BOXING TIMU:

       1. EMILLIAN PATRICK

       2. MAXIMILIAN PATRICK
       3. ISSA ABDALAH KOBA
       4. HAMDAN ISSA
       5. SAID HOFU
       6. KASSIM HUSSEN
       7. BONIFACE MLINGWA
       8. DOGO MUSSA
       9. GRORGE COSTANTINO
       10. JOHN CHRISTIAN
       11. VICTOR NJAITI
       12. ISMAIL ISACK
       13. ELIAS MKOMO
       14. WAMBURA AMIRI
KUTOKA MAGEREZA BOXING TIMU:
       1. UNDULE LANG"SON

       2. NURU IBRAHIM
       3. SELEMAN BAMTULA
       4. MICHAEL PASCHAL
       5. SHABAN ALLY
       6. MUSIN KIMWAGA
       7. OSWARD CHAULA
       8. ANTON IDOA
       9. LUSAJO MWAIPOPO
       10. MOHAMED CHIBUMBUI
KUTOKA SIFA BOXING TIMU
       1. IDDI PIALALI

       2. ANCE JOHN
       3. SHABAN MAFIGA
       4. DOTO SHOKA
KUTOKA POLISI BOXING TIMU
       1. YAHAYA MALIKI
KUTOKA URAFIKI BOXING TIMU:
       1. FADHIR HASSAN

KUTOKA TEMEKE BOXING TIMU:
       1. EDWARD ASAJILE

       2. ABDALAH MFAUME
KUTOKA NYAMBELE BOXING TIMU (DODOMA)
       1. ANTONY NYAMBELE

KUTOKA MTONI BOXING TIMU
       1. CHUKI MOHAMED

NB: MAZOEZI KWA WACHEZAJI  51 WALIOTEULIWA YATAANZA MARA TU BAADA YA KURIPOTI BFT NA KUPANGIWA KITUO CHA KUFANYIA MAZOEZI KATI YA VITUO TULIVYOANISHA VYA UWANJA WA NDANI WA TAIFA,MAGEREZA UKONGA, MGULANI JKT,NGOME,NA URAFIKI.
MWISHONI MWA Januari 2012 KUTAFANYIKA MASHINDANO MAALUM YA MCHUJO KWA HAO WACHEZAJI WALIOTEULIWA ILI KUPATA WACHEZAJI 20.

15-22/2/2012 TIMU HII ITASHIRIKI MASHINDANO YA TAIFA YATAKAYOSHIRIKISHA MIKOA YOTE YA TANZANIA BARA KWA LENGO LA KUSHIRIKISHA MIKOA YOTE ILI TUPATE WAWAKILISHI WA SURA YA KITAIFA.

BAADA YA MCHAKATO HUO NA KURIDHIKA NA WACHEZAJI WALIOFIKIA VIWANGO WATAINGIA KAMBINI KWA AJILI YA MAZOEZI KABAMBE YA MWISHO IKIWA PAMOJA NA KUSHIRIKI MASHINDANO YA MAJARIBIO YA KIMATAIFA KABLA YA KWENDA CASABLANCA MOROCCO KATIKA MASHINDANO YA KUFUZU KWENDA KATIKA MASHINDANO YA OLIMPIKI.MASHINDANO YA KUFUZU MOROCCO YATAFANYIA KUANZIA TAREHE 27/4-6/5/2012.NA KATIKA MASHINDANO TUNATEGEMEA KUPELEKA WACHEZAJI 10 WA UZITO WA KUANZIA FLY WEIGHT HADI SUPER HEAVY WEIGHT


MAKORE MASHAGA

KATIBU MKUU(BFT)

            Mob:  +255 713 588818

            Email: mashagam@yahoo.com

Thursday, December 29, 2011

ZUGO GYM YAPANIA KUENDELEZA VIJANA KATIKA MASUMBWI

Kocha wa ngumi wa timu ya Zugo GYM ya Gongo la Mboto, Mbaruku Heri (kushoto), akimfundisha bondia Abedi Zugo, jinsi ya kurusha masumbwi Dar es Salaam jana, wakati wa mazoezi ya kujiandaa kucheza na Juma Mohamedi. (Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/

NGUMI ZA RIDHAA NCHINI WAOMBA WAFADHILI KUJITOKEZA KUCHANGIA

SHIRIKISHO la Ngumi za Ridhaa nchini (BFT) limewataka watanzania kuchangia maandalizi ya timu ya Taifa itakayokuwa na kibarua cha kufuzu kucheza michuano ya Olimpiki itakayofanyika Casablanka, Misri Oktoba 15 mwakani.
Akizungumza Dar es Salaam jana, Katibu Mkuu wa BFT, Makore Mashaga alisema makampuni mbalimbali wanayoyaomba udhamini huwaambia kuwa hawana sera ya kudhamini mchezo wa ngumi jambo ambalo linawafanya kuwa katika hali ngumu ya kuandaa timu ya Taifa.
"Tunawaomba watanzania kuichangia timu hii ili iweze kupata maandalizi mazuri ya kufuzu, kucheza Olimpiki kwa kuwa ukweli ni kwamba kampuni mbalimbali tunazoziomba udhamini zinatuambia kwamba hazina sera ya kudhamini mchezo huu,"alisema Mashaga.
Alisema wamekuwa wakiandaa timu ya taifa katika mazingira magumu na kwamba wanalishukuru Shirika la Mfuko wa Hifadhi ya Jamii (NSSF) Kwa kujitolea mara kwa mara katika kuisaidia timu hiyo.
Timu hiyo ya Taifa  inatakiwa kufuzu, kucheza michuano ya Olimpiki kupitia mashindano mbalimbali ya Kimataifa yanayotambulika na Shirikisho la Dunia la mchezo huo (AIBA) kwa mwakani ambapo kwa mara ya mwisho timu ya ngumi ilifuzu michuano hiyo mwaka 2007 kupitia bondia Emmilian Patrick.
mwisho

HABIBU KINYOGOLI MWALIMU WA MASUMBWI ALIEINUA WENGI

 Kocha Kondo nassoro akimwelekeza bondia chipukizi Zainabu Mhamila (Ikota) huku nyuma akielekezwa jinsi ya kutembea na kocha Habibu Kinyogoli wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya Ilala Dar es Salaam
Kocha Habibu Kinyogoli Masta (kushoto) akiwa na mwanafunzi wake ambaye kwa sasa ni kocha wa masumbwi Englang, Abdi Berleen

Wednesday, December 28, 2011

SUPER D BOXING COACH KUENDELEA KUWANOA VIJANA ZAIDI 2012

Na Mwandishi Wetu

ALIYEKUWA bondia wa ngumi za kulipwa Rajabu Mhamila 'Super D' ambaye pia ni kocha wa timu ya ngumi ya Ashanti Ilala amesema anajivunia mafanikio makubwa aliyoyapata katika mchezo wa ngumi katika kipindi cha mwaka 2011.

Akizungumza na waandishi wa habari Super D ambaye pia ni mpiga picha wa Magazeti ya Busines Time, Majira, Sports Starehe na jarida la Maisha  alisema moja ya mafanikio ni kuwaandaa vijana chipukizi wengi na kuwafikisha katika kiwango kizuri cha kuvuna matuna ya mchezo huo.

Alisema pamoja na hilo pia ameweza kushirikiana vema na wadau wa ngumi pamoja na mapromota mbalimbali wanaoandaa mapambano makubwa kwa kutoa mchango wake wa vifaa vya ngumi ili kufanikisha mapambano mbalimbali yaliyofanyika katika kipindi cha mwaka huu.

Katika hatua nyingine Super D amekua akitoa  mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria mbalimbali  kwa njia ya DVD  zikisambazwa na kocha wa mchezo huo mkoa wa kimichezo wa Ilala 'Super D' kwa ajili ya kuwapa mambondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi.

Ndani yake wakiwemo mabondia Floyd Mywether, Manny Paquaio, Amiri Khanny, Mohamedi Ali, Mike Tayson David Haye na wengine ambapo kutakuwa na matukio ya mazoezi yao katika mataifa yao ikumbukwe kuwa ni mabingwa wa dunia. na kutakuwa na mapambano makubwa matano ya utangulizi.

Alisema mipango yake kwa mwaka 2012 ni kuhakikisha anaendelea kuwainua mabondia wengine chipkizi akiwemo bondia Shomari Mirundi na Ibrahimu Class ambao amewataja ni mabondia wazuri wanaohitaji kuendelezwa vipaji vyao.

Alisema bondia Ubwa Salum ambaye alimtwanga  Mustapha Doto,kwa pointi 60-57 alishinda  ambapo pambano hilo lilikuwa moja ya mapambano ya utangulizi ya pambano kubwa la Rashidi Matumla na Maneno Osward lililofanyika DEsemba 25 mwaka huu.

SUPER D BOXING COACH KUENDELEA KUWANOA VIJANA ZAIDI 2012


 Kocha wa Mchezo wa Ngumi Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa na vifaa vya mchezo wa Masumbwi wakati akiwa mazoezini


 Super D Boxing Coach Akiwa amezungukwa na vifaa mbalimbali vya mchezo wa ngumi


Super D Boxing Coach akiwa katika moja ya GYM kwa ajili ya kutoa mafunzo

SUPER D BOXING COACH HAPANIA KUNDELEZAIIFA ZAID MCHEZO KIMATA


Super D Boxing Coach

Monday, December 26, 2011

MANENO OSWARD VS RASHIDI MATUMLA AKUNA MBABE POINT 99 KWA 99 DROO

Bondia Rashidi Matumla (kushoto) akiwa chini baada ya kuteleza uku mpinzani wake Maneno Osward akimsubili kwa ajili ya kumpiga wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Rashidi Matumla (kushoto) na Maneno Osward wakioneshana ufundi wa kutupa masumbwi wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/
Bondia Maneno Osward (kushoto) akimuacha Rashidi Matumla chini baada ya kuanguka kwa kuteleza wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana wakati wa sikukuu ya Xmasi mpaka mwisho wa pambano point ni 99 kwa 99 hivyo kuwa droo.(Picha na http://www.superdboxingcoach.blogspot.com/)

Saturday, December 24, 2011

RASHIDI MATUMLA NA MANENO OSWARD WAPIMA UZITO LEO KWA AJILI YA MPAMBANO WAO KESHO

Rashidi Matumla na Maneno Osward WAkipima uzito leo
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiinua mikono ya mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', baada ya kupima uzito leo, kwa
ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Helnken Mtoni
Kijichi, Dar es Salaam siku ya Xmasi. (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)




Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Shabani Adios 'Mwayamwaya'
(katikati), akiwashuudia mabondia,Maneno Osward 'Mtambo wa Gongo'
kushoto na Rashidi Matumla 'Snake Man', wakitunishiana misuli baada ya
kupima uzito leo, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye
Ukumbi wa Helnken Mtoni KIjichi, Dar es Salaam siku ya Xmas. (Picha na
www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Friday, December 23, 2011

VENAS mPONJI NA CHAULEMBO PALASA KUONESHANA KAZI KESHO

 Mabondia Chaulembo Palasa kushoto na Venas Mponji wakitunishiana misuli leo baada ya kupima uzito kwa ajili yas mpambano wao kesho
Mratibu wa pambano la Ngumi za kulipwa, Kaike Silaju (katikati), akiinua mikono ya mabondia, Chaulembo Palasa kushoto na Venasi Mponji, baada ya kupima uzito, kwa ajili ya pambano lao, litakalofanyika kwenye Ukumbi wa DDC Keko, Dar es Salaam kesho


 Abed Zugo akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake Kesho kushoto ni Zuwena Kibene na MUstafa Buchato
 Bondia Said Zungu akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake kesho kustoto ni Zuwena KIbene na MUstafa Buchato

BONDIA FLOYD MAYWEATHER AHUKUMIWA KIFUNGO

Monday, December 19, 2011

RASHIDI MATUMLA VS MANENO OSWARD WAPIMA AFYA ZAO NA KUKUTWA WAPO FITI KUZIPIGA DESEMBA 25

RASHIDI MATUMLA VS MANENO OSWARD WAPIMA AFYA ZAO NA KUKUTWA WAPO FITI KUZIPIGA DESEMBA 25

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA Rashid Matumla ‘Snake Man’ na Maneno Osward ‘Mtambo wa Gongo’ wanatarajia kupanda ulingoni kuzichapa Desemba 25 mwaka huu katika pambano lisilo la ubingwa.
Pambano hilo linatarajia kuwa la raundi 10 uzito wa kati litakalofanyika kwenye Ukumbi wa Heinken, Mtoni Kijichi jijini Dar es Salaam .
Siku kumi kabla ya mpambano mabondia Rashid Matumla na Maneno Osward walishauriana kupima vipimo mbalimbali vikiwemo ukimwi na madawa ya kuongeza nguvu kama wanatumia na wameshapimwa na Daktari wa mchezo wa ngumi nchini Charles Kilaga, sheria za mchezo huo haziruhusu kutumia dawa za aina yoyote ya kuongeza nguvu
Hivyo mabondia wote wamekutwa wapo fiti na wanatarajia kuzipiga jumapili ya tarehe 25
Mkurugenzi wa Kampuni ya Adios Promotion, Shabani Adios 'Mwayamwaya' ambaye ndiye muandaaji wa pambano hilo, alisema pambano hilo limeandaaliwa ili kumaliza ubishi baina ya mabondia hao ambapo katika pambano la mwisho Matumla alimchapa Oswald kwa pointi ambaye aliwalalamikia majaji kuwa hawakumtendea haki wakati walishawahi kupigana mara mbili nyuma ambapo Matumla kamshinda Maneno Mara mbili na Maneno kushinda mara moja.inachukuliwa kwamba mpambano huo utakuwa wa kumaliza ubishi baina yao. 
 
Mpambano huo Utasindikizwa na mabondia mkongwe Rashidi Ally atazichapa na Kulwa Mbuchi, Selemani Jumanne na Ibrahimu Madeusi wakati Shabani Zunga atavaana na Mohamedi Kashinde, na bondia Sweet Kalulu na Saleh Mtalekwa
Katika Mchezo huo kutakua na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi pamoja na kutambua sheria zake mbalimbali zitakazokua zikisambazwa na kocha wa mchezo huo Rajabu Mhamila 'Super D Boxing Coach' kwa ajili ya kuwapa mambondia mbalimbali mbinu za mchezo na mashabiki kujua sheria za masumbwi. Super D alisema katika DVD hizo kutakuwa na mapambano mengi ambayo yanaweza kutumika kama mafunzo muhimu kwa mabondia ,makocha marefa pamoja na mashabiki wa mchezo kujua sheria mbalimbali. '' Kuna mapambano kama ya akina Amir Khan, Manny Paquaio, Floyd Maywhether, David Haye, Mohamedi Ali pamoja na mtanzania Roja Mtagwa anayefanya shughuli zake Marekani. DVD hizo ni nzuri na hata walio tayari katika mchezo huo wanatakiwa kujua sheria na mafunzo ya ngumi, DVD hizo zinafundisha mambo mengi '' alisema Super D.

Sunday, December 18, 2011

MADA MAUGO AMGALAGAZA SELEMANI SAIDI KWA KO RAUNDI YA TATU


Refarii akimuesabia bondia Selemani Saidi Baada ya kupokea kichapo toka kwa Mada Maugo jana
Bondia Mada Maugo (kulia) akipambana na Selemani Said, wakati wa mpambano wao uliofanyika mzalendo pub jana Maugo alishinda KO raundi ya tatu
Mohamed Bawaziri katikati akiwa na Msanii Khalidi Chuma 'Chokolaa' na Fadhili Majia KUshoto
Wanenguaji wa Bendi ya Mapacha watatu wakiwajibika wakati ma mpambano wa masumbwi mzalendo Pub Dar es salaam jana
Mada Maugo akinyoshwa mkono juu kuashilia ushindi