Tangazo

Pages

Tuesday, December 18, 2012

MANENO OSWALD KUZIPIGA NA MAISHA SAMSONI DESEMBA 25

NAPENDA KUWAFAHAMISHA KUWA :

Nimeidhinisha pambano la masumbwi kufanyika kwenye uwanja wa Maji Maji . 
Katika onyesho hili pambano kuu litakuwa kati ya Maneno Oswald na Maisha Samson aidha litafanyika tarehe 25 Desember, 2012.

Kibali hakikulipiwa aidha vibali vyote ninavyotoa mpaka tarehe 12 Januari, 2013 havitalipiwa chochote kile.

Wako,

Chaurembo Palasa
 MWENYEKITI WA MKUTANO WA TPBC

No comments:

Post a Comment