Tangazo

Pages

Tuesday, July 3, 2012

TPBO YAUPONGEZA UTAWALA WA TPBC


Organaizesheni Ya Ngumi Za Kulipwa Tanzania  [TPBO ]Inaupongeza Utawala Wa TPBC Kwa Kutowa Msimamo Huu, Na Sasa Ni Saa Ya Ukombozi Kwa Mapromota Dhidi Ya Baadhi Ya Mabondia Ambao Hawataki Kuheshimu Mikataba Yao Kwa Makusudi Tu.

TPBO Inaahidi Kuheshimu Maamuzi Yoyote Yatakayo Amuliwa Na TPBC Dhidi Ya Bondia Ambaye Atautumia Mchezo Wa Ngumi Za Kulpwa Kama Nyenzo Ya Kufanyia Uhalifu Wa Aina Yoyote Na Hasa Huu Wa Wizi Wa Kuaminiwa.

Ktk Kuhakikisha Ngumi Za Kulipwa Zinaheshimiwa Nchini Tanzania Ni Budi Wadau Wakuu Tuwe Na Umoja Madhubuti Ili Kukomesha  Uhalifu Wa Aina Yoyote Kupitia Mchezo Huu ,

TPBO Inawataka Mabondia Wote Wa Kulipwa Kuwaheshimu Mapromota Wa Mchezo Huu ,Kwani Ni Watu Muhimu Sana Kwao .

Kwa Sababu Bila Promota ,Bondia Hawezi Kupata Mafanikio Na Hata Umaarufu Walionao Ni Sababu Ya Kuwezeshwa Na Pesa Za Mapromota.

Ninawashauri Mapromota Waache Mara Moja Kuwapatia Malipo Ya Awali [Advance] Mabondia Kwani Siyo Taratibu Za Ngumi Za Kulipwa ,.Bondia Anapaswa Kulipwa Baada Ya Kumaliza Kupigana Ulingoni / Au Kama Kuna Ulazima Wa Kusaidiana Pesa Za Awali Ni Vyema Wanasheria Wahusishwe. Kushuhudia Makubaliano Hayo

No comments:

Post a Comment