Tangazo

Pages

Friday, July 6, 2012

MABONDIA WA KAMBI YA ILALA WATEMBELEA ZA GAZETI LA SUPER STAR

Super D (katikati) na mabondia wake wa kambi ya Ilala, wakisoma gazeti pekee la michezo na burudani linalotoka kila siku la SuperStar walipotembelea ofisi za gazeti hilo
Baadhi ya mabondia wa kambi ya Ilala wakiwa katika ofisi za gazeti la Super Star leo
Muhariri Mkuu wa Gazet la Super Star Michael Marcurs amwelekeza jambo Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' anaewanoa kambi ya Ilala wakati walipotembelea ofisi za Gazeti hilo leo
Msanifu kurasa wa Gazeti la Super Star Gido Kanyopa kushoto akiwaelekeza jinsi gazeti la Super Star linavyoandaliwa wapili kulia ni Bondia Ibrahimu Clacc
Kocha wa kimataifa wa ndondi, Rajabu Mhamila ‘Super D’ (kushoto), akimkabidhi Mhariri wa SuperStar, Michael Maurus, DVD za masumbwi kwa ajili ya kutambua sheria na kanuni za mchezo huo, wakati kocha huyo pamoja na mabondia wake wa kambi ya Ilala, walipotembelea ofisi za gazeti hilo, zilizopo majengo ya Millenium Business Park, Ubungo Shekilango, jijini Dar es Salaam
Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAM, wazalishaji wa gazeti la SuperStar, MMoses Anemba (kulia), akipokea DVD kutoka kwa  Super D ambaye amevutiwa na gazeti la SuperStar ambalo limekuwa mstari wa mbele kuripoti habari za ndondi wakati alipotembelea Gazeti hilo leo.

1.    Mkurugenzi Mtendaji Mkuu wa Kampuni ya EAM, wazalishaji wa gazeti la SuperStar, MMoses Anemba (kulia), akimkabidhi Super D gazeti la SuperStar ambalo limekuwa mstari wa mbele kuripoti habari za ndondi.
Mhariri wa SuperStar, Michael Maurus (wa tatu kulia), akiwa na Super D (wa tatu kushoto) pamoja na mabondia wa kambi ya Ilala, walipotembelea ofisi za gazeti hilo
Super D (katikati) na mabondia wake wa kambi ya Ilala, wakisoma gazeti pekee la michezo na burudani linalotoka kila siku la SuperStar walipotembelea ofisi za gazeti hilo
Super D (katikati) na mabondia wake wa kambi ya Ilala, wakisoma gazeti pekee la michezo na burudani linalotoka kila siku la SuperStar walipotembelea ofisi za gazeti hilo

No comments:

Post a Comment