Tangazo

Pages

Sunday, July 22, 2012

Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Ngumi, Enzo Calzaghe Ametoa Ofa ya kumfundisha bondia Amir Khan



Kocha wa Kimataifa wa mchezo wa Ngumi, Enzo Calzaghe Ametoa Ofa ya kumfundisha bondia Amir Khan


Bingwa wa dunia wa zamani wa ndondi  Enzo Calzaghe  aliekuwa anashikilia taji la WBA Uzani wa-welterweight  amejitolea kumkochi bingwa Amir Khan na nafasi ya kujenga upya kazi yake na yeye.

Khan, 25, anasisitiza kuwa hawezi kustaafu baada ya kusimamishwa katika raundi ya nne kwa kupoteza ubingwa wa WBC kwa kupigwa na Danny Garcia Las Vegas Jumapili. iliyopita

Lakini inaweza kuangalia kufanya kazi na mkufunzi mwingine kwa sababu sasa kocha Freddie Roach hawezi kufanya kabisa kwake.

"Lengo langu la pili ni kuzungumza na Amir Khan na timu yake," alisema Calzaghe.

Miaka mitatu iliyopita watu wengi walijua kuwa Amir Khan ni Bondia asie pigika

 
"Watu wanasema anapaswa kuacha lakini sidhani Kama ni lazima kuacha kwa sasa anasema mkufunzi  huyo


Nae Bondia Amir Khan anasisitiza kuwa ana uwezo mkubwa wa kuendelea na mchezo huo kwa kuwa umri wake una mlusu 

Ambapo amecheza  won 26 (KO 18) + lost 3 (KO 2) + drawn 0 = 29 mapambano 29 na kupoteza 3

No comments:

Post a Comment