Tangazo

Pages

Tuesday, April 10, 2012

TOMASI MASHARI AMCHAKAZA SELEMANI GALILE KWA POINTI NA KUNYAKUWA UBINGWA WA TAIFA

Bondia Selemani Galile akipambanma na Tomasi Mashari 'Simba' wakati wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa uliofanyika Dar es Salaam jana Mashari alishinda kwa pointi na kunyakua ubingwa.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

Bondia Tomasi Mashari kushoto akipambana na Selemani Galile wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana Mashari alishinda kwa point.(Picha na www.superdboxiongcoach.blogspot.com)Selemana Galile kushoto akioneshana ufundi wa kutupa masumbwi na Tomasi Mashari 'Simba' wakati wa m,pambano wao jana Mashari alishinda kwa pointi.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Tomasi Mashari 'Simba' akiwa na mkanda wake wa ubingwa baada ya kuunyakua kwa kumtwanga Sewlemani Galile.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
Tomasi Mashari 'Simba' akiwa na mkanda wake akishangilia na mashabiki wake baada ya kumtwanga Selemani Galile.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)

watu wakimshangilia Tomasi Mashari 'Simba'simba simba simba Tomasi Mashari akiwa na wapambe wake

No comments:

Post a Comment