Tangazo

Pages

Sunday, April 8, 2012

MABONDIA TOMASI MASHARI VS SELEMANI GALILE KUMALIZA UBISHI KESHO

 Bondia Tomasi Mashari akipima uzito kwa ajili ya mpambano wake wa ubingwa na SElemani Galile kesho.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
 Bondia SElemani Galile akipima uzito kwa ajili ya mpapano wake wa ubingwa wa Taifa na Tomasi Mashari Kesho.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
 Bondia Tomasi Mashari kushoto na Selemani Galile wakiwa wameshikilia mkanda wa upingwa wa taifa utakaofanyika kesho katikati ni promota wa mpambano huo Prospa Rweimamu.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com)
 Bondia Tomasi Mashari kushoto na Selemani Galile wakiwa wameshikilia mkanda wa upingwa wa taifa utakaofanyika kesho katikati ni promota wa mpambano huo Prospa Rweimamu.(Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment