Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbi nchini Rajabu Mhamila 'Super D' kushoto akiwafundisha jinsi ya kutupa makonde mabondia Isihaka Lusinde  wa pili kushoto, Castory Manjulungu na Miraji Issa wakati wa mazoezi yao yanayofanyika katika GYM ya Uhuru iliyopo kariakoo Dar es salaam Picha na SUPER D BOXING NEWS
Kocha wa
 kimataifa wa mchezo wa masumbi ncgini Rajabu Mhamila 'Super D' kulia 
akiwafundisha jinsi ya kutupa makonde mabondia Isihaka Lusinde  
kushoto, Castory Manjulungu na  naMiraji Issa 
Picha na SUPER D BOXING NEWS
 
Picha na SUPER D BOXING NEWS
| Bondia chipkizi Castory ManjulunguPicha na SUPER D BOXING NEWS | 
Kocha wa kimataifa wa mchezo wa masumbwi nchini akiwasimamia kwa makini mabondia Mohamed Muhuzi kushoto na Yusufu Bahati wakati wakiwa mazoezini Picha na SUPER D BOXING NEWS
No comments:
Post a Comment