Tangazo

Pages

Thursday, March 31, 2016

MABONDIA WANNE WAPIGWA PINI AKIWEMO THOMAS MASHALI, FRANSIC MIYEYUSHO,NASSIB RAMADHANI NA RAMADHANI SHAULI KUCHEZA NA MABONDIA KUTOKA NJE MEI 14 DAR

Bondia THomasi Mashali kushoto akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake  wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa Picha na SUPER D BOXING NEWS
Bondia THomasi Mashali katikati akisaini mkataba mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kwa ajili ya mpambano wake  wa ubingwa wa Dunia na muirani Sajjad Mehrabi utakaofanyika mei 14 katika uwanja wa ndani wa taifa kushoto ni bondia Fransic Miyeyusho Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ramadhani Shauli kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga Mei 14 na bondia Salim Salim kutok Malawi katikati ni katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta na kocha wa bondia huyo  Cristopher Mzazi
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Bondia Ramadhani Shauli akisani mkataba wa kuzipiga na Salim Salim kutoka Malawi mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa kulia ni kocha wa bondia huyo  Cristopher Mzazi
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Kiongozi wa PST Anton Ruta akitia saini mkataba wa bondia Nassibu Ramadhani kushoto
Bondia Nassibu Ramadhani akisaini mkataba wa kuzxipiga na bondia kutoka nje ya nchi mbele ya katibu mkuu wa chama cha gumi za kulipwa PST Anton Ruta kulia na kocha  wa bondia huyo  Cristopher Mzazi 
Picha na SUPER D BOXING NEWS

Katibu wa shilikisho la Masumbwi Tanzania Anton Ruta akimsainisha bondia Fransic Miyeyusho
Bondia Fransic Miyeyusho 'Chichi Mawe' kushoto akisaini mkataba wa kuzipiga na bondia kutoka nje siku ya mei 14 katika uwanja wa ndani wa tasifa kushoto ni kulia ni katibu mkuu wa PST Anton Ruta katikati ni bondia Thomas Mashali Picha na SUPER D BOXING NEWS

Na Mwandishi Wetu
MABONDIA wanne ambao wanatamba nchini Tanzania wamepigwa pini na promota wa mchezo wa masumbwi nchini Ally Mwanzoa

Baada ya kuwasainisha mikataba mabondia hawo kwa ajili ya kucheza mpambano wa kimataifa utakaofanika jijini Dar es salaam Mei 14 katika uwanja wa ndani wa Taifa

Mabondia hawo wenye majina na ndio tishio kwa sasa katika tasinia ya mchezo a masumbwi nchini ni Thomas Mashali atakaegomania ubingwa wa Dunia na

Sajjad Mehrabi kutoka Iran 


Bondia huyo aliemchachafya Fransic Cheka alipozipiga nae hpa nchini Aprili 19 mwaka 2014 katika ukumbi wa P.T.A Sabasaba na kutoka nae Droo


sasa anakuja kuzipiga kwa ajili ya ubingwa wa Dunia nchini Tanzania


Mabondia wngine waliotia saini ya kuzipiga siku hiyo ni Ramadhani hauli atakaezipiga na SalimSali kutoka Malawi


na Nassibu Ramadhani pamoja na Fransici Miyeyusho 'Chichi Mawe' watatafutiwa wapinzani kutoka nje ya nchi


nae katibu wa shilikisho la maswumbwi ya kulipwa  PST Anton Ruta aliyekuwa msimamizi kwa upande wa chama


amesema kuwa mpambano uho wa kimataifa kwa mabondia wote ambapo takribani ugeni wa nchi nne kwa pamoja utakuwa nchini Tanzania kwa ajili ya kuzipiga hapa nchini likiwemo pambano moja la ubingwa wa Dunia linalosubiliwa kwa hamu kubwa sana

 

 Katika mpambano uho kutakuwa na uhuzwaji wa vifaa vya mchezo wa ngumi pamoja na DVD za mafunzo ya mchezo wa ngumi kwa ajili ya kutambua sheria mbalimbali za mchezo zitakazokuwa zikitolewa bule kwa mabondia watakaofanya vizuri siku hiyo na vingine kuuzwa kwa galama nafuu


No comments:

Post a Comment