Tangazo

Pages

Monday, February 4, 2013

KASEBA VS MANENO KUONESHANA KAZI MARCH 2 DDC MAGOMENI KONDOA

Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa  Dar es salaam leo utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwanyoosha mikono juu mabonia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Maneno Osward kushoto akitunishiana msuli  kwa usongo na Japhert Kaseba wakati wa utambulisho wa mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com
Mabonia Bondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wakiwa wamepozi kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

Mratibu wa mpambano wa ubingwa wa Taifa, Pendo Njau katikati akiwangalia mabondia Maneno Osward kushoto na Japhert Kaseba wanavyotunishiana misuri Dar es salaam wakati wa kutambulisha mpambano wao wa ubingwa wa Taifa utakaosimamiwa na PST March 2 katika ukumbi wa DDC Magomeni Kondoa Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.com

No comments:

Post a Comment