Mabondia waliokuwa wakitamba miaka 1994 kutoka kushoto ni Rajabu M
hamila Super D, Shabani Mhamila Star Boy na Marehemu Adamu Abdurahamani
wakiwa wamepozi kulia na Abdul Ndago ambaye alikuwa shabiki mkubwa wa mapbondia hawo
Wednesday, May 30, 2012
SUPER D, STAR BOY NA ADAMU WALIVYOTIKISA AGA YA MASUMBWI
Tuesday, May 29, 2012
Carl Froch says his achievements now "eclipse" those of fellow British super-middleweight greats Joe Calzaghe, Chris Eubank and Nigel Benn.
29 May 2012
Last updated at
12:20 GMT
"If you're asking me how I compare, I've eclipsed them, gone past them, it's as simple as that," said Froch.
"I've had eight big fights on the spin, all for world titles. You've got to put me up there with the others, at least."
The 1990s were a golden era for the 168lb division in Britain, with Benn, Eubank and Irishman Steve Collins engaging in a classic series of
blog ya masumbwi yaanzishwa
kwa wale jamaa zangu wapendao masumbwi na kujua sheria zaid za
masumbwi msiogope kutembelea katika kiblogy chetu cha
http://bigrightboxing.blogspot.com/ na msisite kukitolea mawazo ili
twende sawa katika kuendeleza na kukuza mchezo nchini mwetu
regalds
IBRAHIM ABBAS KAMWE
+255 713 501991
+255 767 501991
+255 784 501991
+255 774 502991
ibrakamwe@yahoo.com
ttp://bigrightboxing.blogspot.com/
masumbwi msiogope kutembelea katika kiblogy chetu cha
http://bigrightboxing.blogspot.com/ na msisite kukitolea mawazo ili
twende sawa katika kuendeleza na kukuza mchezo nchini mwetu
regalds
IBRAHIM ABBAS KAMWE
+255 713 501991
+255 767 501991
+255 784 501991
+255 774 502991
ibrakamwe@yahoo.com
ttp://bigrightboxing.blogspot.com/
Sunday, May 27, 2012
MCHUMIA TUMBO AMGALAGAZA Bahati Mwamfiale
Baadhi ya mashabiki wakiwa wamebeba viti kwa ajili ya kujifunika wakati
mvua ilipokua iki nyesha kwenye mpambano huo Dar es salaam jana.PICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
Kocha wa Mchezo wa Masumbwi Rajabu Mhamila 'Super D' akiwa amepozi wakati wa mpambano huoPICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
SUPER D BOXING COACH AKIONESHA DVD ZAKE ALIZOKUWA AKIZA KATIKA MPAMBANO
HUO DVD HIZO ZENYE MBINU NA SHERIA ZA MCHEZO WA MASUMBWI AMBAZO
ZIMEEDITIWA KITAALAM KWA AJIRI YA KUFUNDISHA MBINU ZA MCHEZO HUO KUJUA
SHERIA NA KANUNI ZAKE NDANI KUKIWA NA MABONDIA WA KIMATAIFA KAMA MANNY
PAQUAIO,FLOYD MAYWEARTHER,AMIRI KHANY, MOHAMEDI ALI LENOX LEWIS NA
WENGINE WENGIPICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Alphoce Mchumiatumbo kushoto akimshambulia kwa makonde bondia
Bahati Mwamfiale wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana
Mchumia tumbo alishinda kwa K,O raundi ya tatuPICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Alphoce Mchumiatumbo kulia akipambana na Bahati Mwamfiale wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam janaPICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Alphoce Mchumiatumbo kushoto akimwangalia bondia
Bahati Mwamfiale baada ya kumfulumusha makonde na kukaa chini wakati wa mpambano wao uliofanyika Dar es salaam jana
Mchumia tumbo alishinda kwa K,O raundi ya tatu
PICHA NAwwwsuperdboxingcoach.blogspot.com
IDDY MNYEKE AJINOA KUMKABILI FADHIRI AWADHI JUNE 9
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na
Vitor Njait wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya
Ilala Mnyeke anajitahalisha na mpambano wake dhidi ya Fadhiri Awadhi
utakaofanyika June 9 katika ukumbi wa Frensi kona Manzese Dar es salaam
.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Iddy Mnyeke kushoto akioneshana ufundi wa kutupiana makonde na
Vitor Njait wakati wa mazoezi yanayoendelea katika kambi ya ngumi ya
Ilala Mnyeke anajitahalisha na mpambano wake dhidi ya Fadhiri Awadhi
utakaofanyika June 9 katika ukumbi wa Frensi kona Manzese Dar es salaam
.Picha na www.superdboxingcoach.blogspot.comwww.superdboxingcoach.blogspot.com
Saturday, May 26, 2012
RAJABU MHAMILA 'SUPER D' NA VISIBITISHO VYA KUWA KOCHA WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI DUNIANI

CHETI CHA UTAMBULISHO WA KUFUZU MAFUNZO YA NGAZI YA KWANZA YA UKOCHA WA
MASUMBWI KIRICHOTOLEWA NA SHIRIKISHO LA NGUMI ZA RIDHAA NCHINI TANZANIA
BFT KWA RAJABU MHAMILA 'SUPER D'
CHETI CHA UTAMBULISHO WA KUFUZU MAFUNZO YA NGAZI YA JUU YA UKOCHA WA
MASUMBWI KIMATAIFA KIRICHOTOLEWA NA KAMATI YA OLIMPIC DUNIANI KWA
KUSHIRIKIANA NA KAMATI YA OLIMPIC TANZANIA YA KUMTAMBUA SUPER D NI KOCHA
WA KIMATAIFA WA MCHEZO WA MASUMBWI NCHINI
MOJA YA NEMBO INAYOTUMIWA NA SUPER D KUMTANGAZA KWA NJIA MBALIMBALI
IKIWEMO FLANA ALIZOWAI KUTOA KWA MAKOCHA WENZIE WAKATI YUPO KATIKA
MAFUNZO YA MCHEZO HUO KIMATAIFA
Friday, May 25, 2012
MABONDIA DIMOSO NA MROSO KUPSAMBANA JUNE 2 DDC KARIAKOO

Na Mwandishi Wetu
MPAMBANO wa masumbwi kufanyika june 2 mpambano huo ulioandaliwa na Zugo Promoter ni wa kirafiki utakao wakutanisha mabondia kutoka Arusha na Dar es salaam akizungumza na waandishi wa habari Meneja wa Zugo. Suleiman Zugo.
Alisema mabondia hawo ni George Dimoso wa Dar es salaam atakayepambana na Robert Mroso mpambano utakaofanyika katika ukumbi wa DDC Kariakoo jijini Dar es salaam
Mpambano huo utakaotanguliwa na Ambukile Chusa atakaezichapa na Ysufu Jibaba, Emanuel Philimoni na Saidi Mbelwa,Abeid Zugo na Rashidi Nyagatwa na mpambano mwingine utawakutanisha James Martin na Ally Mahiyo
Katika mpambano huo kutakuwa na burudani mbalimbali zitakazotolewa na wasanii aiza mchezo huo umeandaliwa kwa ajili ya kuinua mchezo wa masumbwi ili uweze kusonga mbele.
Zugo aliongeza kwa kusema wanatakiwa wafadhili wajitokeze kuzamini mchezo huo ili uweze kusonga mbele na kuliletea sifa taifa letu.
Mbali ya kuwepo na mpambano huo siku hiyo kutakuwa na
huuzwaji wa DVD za Mafunzo ya Mchezo wa Masumbwi wakiwemo mabondia Lenox Lewis,
Evander Holfiled,David Haye, Waldmil Klitichiko,Manny Paquaio, Floyd Maywether,
Roj Jones na wengine wengi
Zitakuwa zikisambazwa kwa ajili ya kuwapa
mabondia,mashabiki marefarii kutambua sheria na kanuni za mchezo huo Duniani
ambazo zimeandaliwa na Kocha wa Kimataifa wa Mchezo wa Masumbwi Nchini, Rajabu
Mhamila Super D Alisema kuwa tangia aanze kutoa mafunzo kwa njia hiyo watu wengi wameanza kuwa na uwelewa wa mchezo wa masumbwi nchini kwa kutambua sheria na mambo mbalimbali ya mchezo alisema Super D boxing Coach ambapo mpaka sasa ameweza kutoa matoleo nane tofauti ya mabingwa wa ngumi Duniani Akichanganya na mabondia wa Nchini.
Thursday, May 24, 2012
EMAMANUEL TAGOE AVULIWA UBINGWA WA IBF.

Shirikisho
la Ngumi la Kitaifa bara la Afrika, mashariki ya kati na Ghuba ya Uajemi
(IBF) limetangaza kumvua ubingwa wa mabara katika uzito wa Junior Light
uliokuwa unashikiliwa na bondia Emmanuel Tagoe wa Ghana (Pichani).
Katika
kumvua ubingwa huo ambao Tagoe alikuwa autetee tarehe 26 May Rais wa
Shirikisho hilo barani Afrika, Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi
bwana Onesmo Ngowi alisema kuwa Tagoe anavuliwa ubingwa kutokana na
kudanganya kwake kwenye vipimo vya afya!
Hii ni mara ya kwanza kwa Shirikisho hilo kumvua ubingwa bondia kwa madai ya kudanyanya kwenye vipimo vya afya!
Bondia
Emmanuel Tagoe alikuwa azipige na bondia Antonio De Vitis wa Italia
kugombea ubingwa wa Junior Lightweight May 26, mwaka huu!
Msimamizi
mkuu wa mpambano huo alikuwa Rais wa IBF katika bara la Afrika,
Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi Mtanzania Onesmo Ngowi. Ngowi pia
ni Rais wa Kamisheni ya Ngumi za Kulipwa Tanzania na Mkurugenzi wa
Baraza la Ngumi la Jumuiya ya Madola (CBC).
Hii
inawaweka mabondia wote katika hali ya hatari ya kuvuliwa ubingwa wao
endapo tu wataonekana kuwa wamedanganya katika vipimo vya afya zao.
Aidha, tabia ya mabondia wengi kutumia madawa ya kulevya inahatarisha
ushiriki wao katika mchezo wa ngumi.
Katika
msimamo wake huo Ngowi alisema kuwa ameuchukua uamuzi huo ili kutoa
fundisho kwa wale wote wanaofikiri kuwa udannganyifu hususan utumiaji wa
madawa ya kuongeza nguvu utawasaidia katika michezo.
Wanamichezo
wanatakiwa wajue kuwa vipaji, juhudi za kufanya mazoezi na kujituma
ndivyo pekee vitakavyowapa ushindi katika michezo na sio dawa za
kulevya.
Matumizi ya
madawa ya kuongeza nguvu yamepigwa marufuku hata michezo mbalimbali
kama Olympic, World Cup na mashindano mengi ya ya kitaifa na kimataifa.
Hili ni
fundisho rasmi kwa mabondia wa kitanzania wanaotumia madawa ya kulevya
kama bangi na mengine ili washinde katika mapambano yao. Kwa kazi hii
mchezo utabaki kwa wa wenye vipaji tu!
Imetolewa na
Kitengo cha Mahusiano (PRO)
International Boxing Federation Africa (IBF/AFRICA).
WATANZANIA WATAKIWA KUWEKEZA KWENYE NGUMI
Mchezowa ngumi za kulipwa ni mchezo pekee unaoweza kumpa mtu, taasisi au kampuni inayowekezafaida kubwa kwa kipindi kifupi sana. Ni mchezo ambao mbali na mingine ambayohuwa inategemea uchezaji wa ushirikiano wa wale wanaoshiriki una hamasa kubwasana hivyo kutoa fursa kubwa kuupromoti au kuudhamini.
Katikakipindi changu cha uongozi wa bara la Afrika, Mashariki ya Kati na Ghuba yaUajemi nitajitahidi sana ili mtanzania mmoja mmoja, taasisi pamoja namakampuni ya biashara yaweze kufaidika sana katika mchezo huu.
Watuwengi huwa na imani hasi kuhusu mchezo wa ngumi na hivyo kutoweza kujua thamanina faida zinazopatikana kwenye mchezo huu.
Mbalina
kutoa ajira kwa njia ya kipato wanazopata washiriki kwa maana ya
mabondia, kunapia ajira kwa wale wanaohudumia hatua kwa hatua wakati wa
maandalizi ya pambanokama vile makampuni ya matangazo kama vile
magazeti, redio, televisheni na blogs mbalimbali.
Aidha
makampuni za huduma kama vile vinywaji, na vyakula. Makampuniya nguo.
Kamapuni ya huduma kama vile mapambo. Makampuni yanayotoa huduma ya
utalii na usafiri. Makampuni ya huduma za ulinzi, Pia, makampuni ya bima
yanawezasana kutoa huduma kwa washiriki pamoja na mapromota wa mchezo
huu.
Watanzaniahatuna
budi kuchangamkia fursa hizi zinazotolewa na mchezo huu unaopendwa sana
ulimwenguni. Mchezo huu mbali na soka ndio mchezo unaoweza kuingiza
pesa nyingisana kwa waandaaji, mabondia na wale wote wanaoshiriki.
Wenzetu kama Afrika yaKusini, Ghana, Namibia, Zambia wako mbali sana kwa
uwekezaji huu.
Napendakuwahimiza
watanzania watumie nafasi hii nzuri kujifunza na kuwekeza kwenyemchezo
huu. Shirikisho la Ngumi la Kimataifa IBF chini ya uongozi wangu
litakuwalinatoa semina mbalimbali kwa wadau wa mchezo huu ili waweze
kujua fursa zilizokona kuzitumia barabara!
Nafasiyangu
itaniwezesha kuipendelea Tanzania kwa kiwango kikubwa kwani “mtu ni
kwao” hivyo nadhamiria kuitumiafursa hii barabara!
Nitakuwana
ofisi za aina tatu. Moja nitakuwa na ofisi kwenye Shirikisho hili kule
NewJersey, Marekani kama kitengo kinachohudumia mabara (continents).
Nitakuwa naofisi nyingine kwenye nchi za Mashariki ya Kati (Middle East)
na Ghuba yaUajemi (Persian Gulf) kule Dubai, United Arab Emirates
(UAE).
Aidhanitakuwa na ofisi za shirikisho hili hapa kwetu Dar-Es-Salaam, Tanzania kuhudumianchi za bara la Afrika (Africa continent).
Ninaondokakwenda
kwenye mkutano mkuu wa mwaka kule Honolulu, Hawaii, Marekani
nikiwanimejiandaa vyema kuiwakilisha Tanzania. Tayari tumeshapata miadi
ya kukutanana balozi mbalimbali katika nchi za Afrika, Mashariki ya Kati
na Ghuba yaUajemi (ubalozi wa Tanzania jijini Washington DC ukiwa
mojawapo) ya kuzungumzianamna gani tutakavyoweza kushirikiana na
serikali zao kukuza “Sports Tourism” programambayo nina furaha kubwa
kuianzisha ndani ya IBF/USBA.
Karibunitushirikiane kuendelza mchezo wa ngumi.
Imetolewana:
OnesmoNgowi
Rais wa Shirikisho laNgumi la Kimataifa na Chama Cha Ngumi Cha Marekani (IBF/USBA)
Rais wa Shirikisho laNgumi la Kimataifa na Chama Cha Ngumi Cha Marekani (IBF/USBA)
Katika bara la Afrika,Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi
WAPIGANAJI WA MUAY THAI WAPEPERUSHA VEMA BENDERA YA TANZANIA IRANI

WKF TANZANIA has new leader ship.
habari za kazi kuanzia 3-9 may 2012 NIMESHIRI KWA MARA YA PILI2011
.IFMA .WMC. terhan iranian kwenye mashindano ya dunia. muay-thai world
competitions cup SPORT AND PEACE .tulikua inch 51 na tanzania akiwemo

Our new WKF TANZANIA president is Mr. Emmanuel SHIJA. He is expert in Muay Thai and leader of “Tanzania Muay Thai academy” in Daressalam. This is the biggest City in Tanzania, located on the Indian Ocean.
Soon we will see the professional fighters of Tanzania in the World ranking. Mr. Shija confirmed also the participation of the team in the World Championship in Varazdin, Croatia in July.
:


Emmanuel SHIJA akiwa na shabiki wake baada ya kupigana nchini irani hivi karibuni

SuperStar kama kawaida mitaani likiwa na habari bomba...
Usikose nakala yako ya gazeti la michezo la kila siku la SuperStar,
utapata mambo mengi ya michezo na burudani, usajili wa majuu na wa
ndani.
BONDIA Amir Khan SASA KUPAMBANA NA Danny Garcia Las Vegas 14 July

Amir Khan says he will fight WBC light-welterweight champion Danny Garcia in Las Vegas on 14 July.
Khan, 25, was originally scheduled to face Lamont
Peterson earlier this month in a rematch for the WBA and IBF
light-welterweight titles.
However, that bout was cancelled after the latter tested positive for elevated testosterone levels.
That left Khan looking for another opponent and he tweeted: "May the best man win on 14 July. Khan vs Garcia."
Danny Garcia profile
- Born: March 20, 1988
- Nickname: Swift
- Total fights: 23
- Total wins: 23 (14 by KO)
- Titles held: WBC light-welterweight (March 2012- )
Garcia, 24, is undefeated, with 23 wins including 14 knockouts.
"I feel like this is how it's supposed to be: the best
versus the best, both of us in our prime and giving the fans a great
fight," Garcia told www.espn.com.
"I'm just happy - I feel like I have what it takes to beat this guy.
"I've watched Khan a lot. He's a good fighter, but I don't think he's what people say he is, getting all this credit.
"I feel like he will leave himself open for some big shots and we'll see if he can take them. I can box and I can punch. I'm going to hit him with stuff he won't see. I can't wait."
Garcia recently secured the vacant WBC light-welterweight title with victory by a unanimous decision over Mexican legend Erik Morales, who had been stripped of the belt for failing to make the weight.
It is not yet clear what titles, if any, will be at stake between Garcia and Khan.
Khan's promoters, Golden Boy, is trying to have the result of the Peterson-Khan fight from December overturned to a no decision and the WBA and IBF belts returned to Khan.
However Garcia tweeted on 19 May: "If he [Khan] doesn't get his belts back, we can't fight. A unification bout is the only fight that can not let me fight my mandatory."
Garcia is due for a mandatory defence against Ajose Olusegun but, should Khan be given one or both belts back, the WBC would sanction Garcia-Khan because unification bouts take precedence over mandatory fights.
Also related to this story
- Khan-Peterson rematch called off 10 May 2012 Boxing
- AudioKhan annoyed by fight cancellation 10 May 2012 Boxing
- I am still the champ - Peterson 16 May 2012 Boxing
- Make drug tests compulsory - Khan 17 May 2012 Boxing
- Khan fight 'career make or break' 14 Mar 2012 Boxing
Froch: I've got it all to prove but home crowd will help me beat Bute

Prove your worth: Carl Froch (left) is hoping to bounce back against Lucian Bute (right)
For Canada-based Romanian southpaw Bute it is a chance to prove himself in a rare appearance on 'away' turf.
For Froch, whose only other defeat was by Mikkel Kessler in Denmark in 2010, it is the chance to exorcise some of the ghosts from December's defeat by Ward and underline his world title pedigree.

Beaten: Froch (left) was defeated by the astute Andre Ward (right)
'This is the comeback from the bitter disappointment on that night in Atlantic City. I've been on the road now for three years, fighting away from home.
'Nothing has been comfortable, nothing has been easy, but there is a really good feel about this fight with it being in Nottingham.
'I've got a fantastic fanbase, as proved by the fact the arena is going to be sold out.
'With the career I've had, over the last three years I've been through every emotion. I've been through the highs and lows. I know what it's like to taste defeat and it's not nice.'

Wallop: Romanian Bute (right) will provide a tough challenge to Froch
'It wasn't my night against Andre Ward in Atlantic City and I lost a very close fight against a top fighter. I'm going to put it right on Saturday against Lucian Bute.
'He is coming to Nottingham - my city, my hometown, my fortress - anyone who is anyone is going to be there on Saturday shouting and cheering for me, and that's going to give me such a lift. I know what it's like to fight against the crowd from when I went to Denmark to fight Mikkel Kessler.
'He's like David Beckham over there, he gets blanket coverage in the papers all week, and you could hear a pin drop when I was landing my shots.

Bounce back: Froch says he has 'a lot to prove' when he fights Bute
'So I know how that feels and it doesn't matter whether you're unbeaten or a champion, when you step into the arena and you're doing your work and it's silent, but when you're opponent lets his shots go the crowd erupt and you feel the vibrations through your chest.
'The sound is deafening, it takes you down when you're under fire.'
Bute, a Romanian based in Quebec, Canada where he has a huge following, said: 'I'm excited. Two months ago I was here for the press conference and then I went to Florida for my training camp for seven weeks.
'It was a good, good training camp despite a little technical problem (a foot infection).
'I'm very happy, I've worked very hard for this fight. I know it's not an easy fight for me but I came here to win. I'm a winner.'
Wednesday, May 23, 2012
KESI YA MINTANGA JUNI 11
Mintanga |
Kwa mujibu wa shajala ya Mahakama, kesi hiyo itaendelea kusikilizwa siku hiyo mbele ya Jaji Dk. Fauz Twaib, ambaye alikuwa akiisikiliza tangu mwanzo.
Kesi hiyo iko katika hatua ya kusikilizwa mashahidi wa upande wa Jamhuri, ambapo mashahidi ambao wameshatoa ushahidi ni pamoja na Godfrey Mroso ambaye ni mfanyakazi wa Kampuni ya Anvelope Travel Agency, Mrakibu Mwandamizi wa Polisi (SSP) , Charles Ulaya na kocha wa zamani wa timu ya Taifa ya ngumi, Nassoro Michael.
Mintanga alifikishwa katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu mwaka 2008, akikabiliwa na mashitaka ya kula njama na kusafirisha dawa za kulevya kilo 4.8.
ONESMO NGOWI KUONGOZA UJUMBE MZITO WA MASUMBWI DUNIANI
TAARIFA KWA VYOMBO VYA HABARI
Rais wa Shirikisho la Ngumi la Kimataifa katika bara la Afrika (IBF) Onesmo Ngowi wa Tanzania ataongoza ujumbe mzito toka Afrika
na Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi katika mkutano wa 29 wa
Shirikisho la Ngumi la Kimataifa na Chama Cha Ngumi Cha Marekani
(IBF/USBA). Mkutano huo utafanyika katika jiji la Honolulu, kwenye jimbo
la Hawaii nchini Marekani alikozaliwa Rais wa sasa wa Marekani Barak
Obama.
Jimbo
la Hawaii linajulikana sana duniani kama jiji la starehe ambalo hupokea
watalii wengi sana duniani wanaokwenda kule kustarehe. Hawaii ni jimbo
lililoko Kaskazini mwa nchi ya Marekani likiwa karibu zaidi na bara la
Asia!
Ujumbe
wa Afrika na Mashariki ya Kati atakaoungoza Ngowi utajumuisha viongozi
na wanachama wa Shirikisho la IBF katika nchi za Afrika ya Kusini,
Botswana, Namibia, Uganda, Ghana, Cote D’Ivoire, Morocco, Tunisia, Dubai, Oman na Jordan.
Hii
ni mara ya kwanza kwa Onesmo Ngowi kuongoza ujumbe toka Afrika na
Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi kwani mara zote huwa anaongoza
ujumbe wa bara la Afrika katika mikutano ya IBF/USBA. Kuongezewa wigo wa
madaraka kwa Ngowi kumekuja wakati ambapo IBF/USBA inapanua wigo wa
shughuli zake katika masoko yanayoinukia hususan katika mataifa
yanayozalisha mafuta kwa wingi duniani.
Mashariki
ya Kati ni moja na sehemu zenye utajiri mkubwa sana duniani kutokana na
uzalishaji wake mkubwa wa mafuta na gesi. Nchi ya Dubai ambayo ni
kiungo kikubwa sana cha biashara za kimataifa ikiziunganisha Ulaya, Asia
na mataifa mengine ya Marekani, Afrika imeteuliwa na IBF kuwa ni kitovu
cha shughuli zake Mashariki ya Kati na Ghuba ya Uajemi.
Baadhi
ya wajumbe mashughuri watakaokuwa katika msafara huo na nchi zao kwenye
mabano ni pamoja na: Issac Tshabalala, Alfred Bugwane, Branco
Milenkovic (Afrika ya Kusini), Justin Juuko (Uganda), John Akaba (Cote
D’Ivoire), Skeikh Ahmed Omar (Morocco), Mohammed Hatimy (Tunisia) Sheikh
Khalifa Hassan, Mohammed Othman (Dubai), Yakub Yossef (Jordan), Julian
Homaulaba (Botswana), Michael Tetteh, Henry Mann-Spain (Ghana) na
Hussein Mohammed (Oman).
Katika
mkutano huo unaotarajiwa kuanza May 29 mpaka Juni 2, Ngowi atawasilisha
rasimu ya mradi wa IBF wa Utalii wa Michezo (IBF Sports Tourism) katika
kikao hicho baada ya kuteuliwa na mkutano wa mwaka jana uliofanyika
katika jiji la Las Vegas, liliko kwenye jimbo la Nevada nchini Marekani.
Katika kikao cha mwaka jana Ngowi alitakiwa kuja na rasimu ya mradi wa
IBF wa Utalii wa Michezo ambapo nchi za Tanzania na Ghana ziliteuliwa
kama nchi za majaribio katika bara la Afrika.
Kufanikiwa
kwa mradi huu kutaifanya Afrika hususan Tanzania kufaidi sana kutokana
na mtandao mpana wa IBF ambao uko katika nchi zaidi ya 203 duniani.
Katika mradi huu IBF wa Utalii wa Michezo wanachama wa IBF katika nchi
hizi watashawishiwa kuzitembelea Tanzania na Ghana kama watalii pamoja
na kuwekeza katika miradi mbalimbali.
Aidha
katika mradi huu IBF itafanya mikutano yake ya robo mwaka na mwaka
katika nchi za Tanzania na Ghana ikikuza utalii. Mikutano ya mwaka ya
IBF/USBSA huudhuriwa na watu zaidi ya 3000 toka nchi zaidi ya 203 kila
mwaka.
Imetolewa na,
Kitengo cha Mahusiano (PRO)
International Boxing Federation Africa (IBF/Africa)
Benjamin William Mkapa Pension Towers
Mezzanine Floor,
Dar-Es-Salaam - Tanzania
Tel: +255-754-360828
E-mail: ibfafrica@yahoo.com
Technology House, 35-38 Ghalla Road
P.O BOX 1106 MOSHI - TANZANIA
Tel/Fax: 255-27-2754743
Cell: +255-744-360828
E-mail: ibfafrica@yahoo.com
Monday, May 21, 2012
RAMADHAN KUMBELE ATWAA MKANDA WA UBINGWA WA TAIFA TPBO, AMCHAPA MOKIWA KWA KO RAUNDI YA PILI
Mbunge
wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azan, akimvisha mkanda wa Ubingwa Taifa
(TPBO) Bondia Ramadhan Kumbele kutoka TMK, baada ya kumchapa mpinzani
wake James Mokiwa wa Kinondoni, katika pambano lao la Raundi 10, ambalo
lilimalizika katika raundi ya pili tu ya mchezo lililofanyika katika
ukumbi wa Vijana Kinondoni jana. Kumbele alishinda kwa KO katika raundi
ya pili.
Mbunge
wa Jimbo la Kinondoni, Idd Azan, akimwinua mkono juu Ramadhan Kumbele
kutoka TMK, baada ya kumchapa mpinzani wake James Mokiwa wa Kinondoni,
katika pambano lao la Raundi 10, ambalo lilimalizika katika raundi ya
pili tu ya mchezo lililofanyika katika ukumbi wa Vijana Kinondoni jana.
Kumbele alishinda kwa KO katika raundi ya pili.
Ramadhan
Kumbele, akimpeleka chini mpinzani wake James Mokiwa katika raundi ya
pili, Konde ambalo lilimfanya kushindwa kurejea na kuendelea na mchezo.
Mwamuzi
akimwesabia Bondia James Mokiwa bila mafanikio, kwani Bondia huyo
hakuweza kuinuka ili kuendelea na mchezo, jambo lililomfanya mwamuzi
huyo kumpatia ushindi Kumbele.
Bondia Swedy Hassan (kushoto) akichapana na mpinzani wake, Mwaite Juma, katika pambano hilo, Swedy alishinda kwa KO,
Doi Miyeyusho, (kulia) akimwadhibu mpinzani wake, Jumanne Mtengela. Katika pambano hilo, Doi alishinda kwa TKO.
Watoto, Martin Richard na Yohana Thomas, wakionyeshana umwamba katika mapambano ya utangulizi.
Msanii wa muziki wa kizazi kipya kutoka Singida, Chungai, akitoa burudani jukwaani.
Saturday, May 19, 2012
MABONDIA CHIPUKIZI
Katika
picha ni baadhia ya mabondia chipukizi wa bigright boxing na mwalimu
wao IBRAHIM KAMWE wakimalizia mazoezi yao ya mwishomwisho kwa ajili ya
mpambano wa ngumi unaotegemewa kufanyika jumapili20/05/2012 katika
ukumbi wa Vijana Hall kinondoni wakisindikiza pambano la ubingwa wa
taifa wa Bantam weight chini ya usimamizi wa TPBO kati ya RAMADHAN
KUMBELE na JAMES MOKIWA raundi kumi.
Vijana
hao wameahidi kuonesha mchezo mzuri wa ushindi 'kama ilivyo kawaida
yetu ushindi wetu ibada'Mabondia hao wanaotegemea kupima uzito
jumamosi19 katika ukumbi wa STEREO club-kinondoni na Heavy weight
Anord'biggie'120kg v/s Karim'big paquiao118kgs raundi sita, feather
weight-Doi miyeyusho v/s Jumanne Mtengela, Light weight Jafar Majia v/s
Daudi Muhunzi, Fly weight-Sadat miyeyusho v/s swed hassan,Martin Richard
v/s Yohana Thobias na mapambano mengi mengineyo yakiwemo ya watoto na
Burudani toka kwa KARAPINA,MAKHIRIKHIRI WA KIBONGO NA TID.
Mapambano
haya yote yameratibiwa na Tasenga na BigRight Promotion kwa lengo la
mfululizo wa mapambano ya kuinua vipaji vya mabondia wa Tanzaniana
kutafuta mabingwa wa taifa kabla ya kimataifa.
Subscribe to:
Posts (Atom)